So ww na mzungu nani anaeona zaidi yani mzungu afunge sattelite zaidi ya 500 hewani asione slum dar aone za dunia nzima ikiwemo nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣 nilishakwambia neno slum tanzania halipo huku tuna tatizo moja tu unplanned sattlemnet lakini social service zote zipo njia zipo na accommodation zipo
Ni za nn hzo vibanda 🤣🤣🤣🤣Nani kakuambia hizo nyumba za kuishi!? Vibanda vya wauza mboga. Lakini hivi unajiaibisha bana wee.
Nani atakua nayo wakat pesa ya kula watu hawana wengine njaa inawatafuna 😃😃😃 sana watapita politicians na matajiri wakila siku wale wakiwemo watoto na ndugu wa politicianKama huna unapita chini😂😂😂,,hii Nairobi tamu Sana,,
Nyumba zote mabanda ya nguruwe hata hio value inatoka wapi😂😂😂Siyo services tu mkuu, na pia cross sectional value of properties is not uniform. Kwa mfano Manzese kuna mijengo ya hadi TZS 1 billion. Lkn ukienda mathare, despite of unpleasant neighbourhood, nyumba zote zina almost equal value.
Most people are still poor, those are small vendors. Until when the GoK can fully industrialise and create jobs, you can't see those.Hii pia save mkuu, watu wamejenga mabanda hadi barabarani, na wanakatiza tu popote , angalia mkulungwa mwenye shati nyeupe hapo akikatiza kule.
Sasa ile hadithi ohh nye nye sisi tuna uchumi mkubwa uko wapi?? Uchumi wenyewe unahemewa na madeni na hauna nafuu alaf unazungumzia fully industrilization ww hushangai viwanda vya sukari karibia vyote kenya vimekufa na viwanda vingi tu vinapumulia mashine 😃😃😃 dunia imebadilika sio dunia ileeee mulioizoeaMost people are still poor, those are small vendors. Until when the GoK can fully industrialise and create jobs, you can't see those.
You have to think about either kicking them out for beautification or looking the other way so that they can fend for their families. We have along way to go. It's not an easy decision politically
😁😁😁😁 njooni tu bila permit na visa alaf muone sasa
Nionyeshe eneo ndogo tu kama hili huko Dar slumYaani Third world City itabaki tu kuwa Third world hata kama ukiwawekea Kitu cha maana. Nilidhani hawa wakulungwa hawana MABANDA[emoji23].
Angalia wanavyotumia Vitu vyao. [emoji23], Angalia Vitu walivyonavyo, au wanavyotumia ( MALORI) for Passengers
Yaani hilo eneo pia na Public Park(Watu wametandika kabisa kama Picnic Site[emoji23].
Advanced City gani Pedestrian hathaminiki, Anachora njia mwenyewe kama Panya [emoji23]. Kweli bado tupo nyuma.
View attachment 1776049
View attachment 1776050
View attachment 1776051
View attachment 1776052
View attachment 1776053
Mm hawa wanachoniuzi ni uchafu, yn miji yao michafu sana.Yaani Third world City itabaki tu kuwa Third world hata kama ukiwawekea Kitu cha maana. Nilidhani hawa wakulungwa hawana MABANDA[emoji23].
Angalia wanavyotumia Vitu vyao. [emoji23], Angalia Vitu walivyonavyo, au wanavyotumia ( MALORI) for Passengers
Yaani hilo eneo pia na Public Park(Watu wametandika kabisa kama Picnic Site[emoji23].
Advanced City gani Pedestrian hathaminiki, Anachora njia mwenyewe kama Panya [emoji23]. Kweli bado tupo nyuma.
View attachment 1776049
View attachment 1776050
View attachment 1776051
View attachment 1776052
View attachment 1776053
Most people are still poor, those are small vendors. Until when the GoK can fully industrialise and create jobs, you can't see those.
You have to think about either kicking them out for beautification or looking the other way so that they can fend for their families. We have along way to go. It's not an easy decision politically
Sisi tulishajenga zamani, nyie ndiyo mnastuka leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Liko empty coz it's under construction,,tena eti kasema Dar iko tarmacked yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,Kama upanga bado kna njia za matope wapi kwingine kunaweza kuwa na tarmac
For every high end area within Nairobi there is a corresponding shantys.Yaani Third world City itabaki tu kuwa Third world hata kama ukiwawekea Kitu cha maana. Nilidhani hawa wakulungwa hawana MABANDA[emoji23].
Angalia wanavyotumia Vitu vyao. [emoji23], Angalia Vitu walivyonavyo, au wanavyotumia ( MALORI) for Passengers
Yaani hilo eneo pia na Public Park(Watu wametandika kabisa kama Picnic Site[emoji23].
Advanced City gani Pedestrian hathaminiki, Anachora njia mwenyewe kama Panya [emoji23]. Kweli bado tupo nyuma.
View attachment 1776049
View attachment 1776050
View attachment 1776051
View attachment 1776052
View attachment 1776053
Mnaview mawingu mnasema Kilimanjaro, hakika mzimu wa Kilimanjaro unawatesaNairobians can now view Mt. Kilimanjaro from Nairobi along the new ICD Road in Nairobi
View attachment 1775824