Wakat dodoma outer ring inajengwa 112km dual carriageway😀😀😀And another one. New Dual Carriageway spanning for over 84 KM in the rural Kenya speedily under construction
View attachment 1775789
View attachment 1775788
Lakini ndio walioteka soko lenu na ndio walioua mziki wenu 🤣🤣🤣🤣 so kwa hilo nikupe pole kubwaAibu, aibu kama Diamond kukopi Saida Karori Nyimbo zake, Aibu tuuu kama Diamond kukopi yule MJ kwenye nyimbo zake. Eti ajaribu moon walker?? Aibu aisee!!!!!!!!! Watanzania yani hamna akili zenu lazima muige??????
So ww na mzungu nani anaeona zaidi yani mzungu afunge sattelite zaidi ya 500 hewani asione slum dar aone za dunia nzima ikiwemo nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣 nilishakwambia neno slum tanzania halipo huku tuna tatizo moja tu unplanned sattlemnet lakini social service zote zipo njia zipo na accommodation zipoKuna mtu sijamuelewa hapa kwenye forum, husema kwamba mzungu akisema kitu ndo hivyo basi??? Akili gani hii??? Kwani mzungu ndiye mungu wake au vipi??? Akasema hapa kuwa mzungu amesema Umoja, Donholm yani Eastlando in Nairobi ni Slum. Sawa iwe ni slum, na kama hapa ni Slum, Dar ita itwa nini??????? Maana hapa pameshinda Dar mara Ishirini.
View attachment 1775793
View attachment 1775794
View attachment 1775795
Kama nadanganya, mtu achukue muda wake akatazame zile video humu za ujenzi wa SGR Dar. Zina aerial views nzuri za kufunga mjadala.
Naiona kilimani hapo nairobi ni ndogo sana aseeeNgong Road, Joins Nairobi City Center to Ngong. Ngong is in Kajiado county but under the wider Nairobi Metropolitan area led by General Badi
View attachment 1775806
Na hapa 🤣🤣👇👇👇 mlima unawatoa roho nyinyiNairobians can now view Mt. Kilimanjaro from Nairobi along the new ICD Road in Nairobi
View attachment 1775824
Soon atapotea mazima,hlf info zake siku si za uhakika,itakua wameanza kumdhibiti kiainaThis Kigogo is no longer relevant.
Magufuli ameshakufa, hakuna anaemsikiliza tena.
Is dodoma a village/Rural area?Wakat dodoma outer ring inajengwa 112km dual carriageway😀😀😀
7.8m in just a week👇👇🤣🤣Aibu, aibu kama Diamond kukopi Saida Karori Nyimbo zake, Aibu tuuu kama Diamond kukopi yule MJ kwenye nyimbo zake. Eti ajaribu moon walker?? Aibu aisee!!!!!!!!! Watanzania yani hamna akili zenu lazima muige??????
😅😅😅😅 investment iliowekwa dodoma hakuna mji wowote east africa unaeza fikia mzee 🤣🤣🤣🤣Is dodoma a village/Rural area?
This place is a no mans land. I know the place, it is just on the border of Kenya and Tanzania. No one will ever disagree that the best views of Kilimanjaro are from Kenya.Na hapa 🤣🤣👇👇👇 mlima unawatoa roho nyinyi
View attachment 1775841View attachment 1775842View attachment 1775843
According to who mama ngina or? Mlima uko tanzania na njia za kuupanda uko tanzania hvi wewe kwa akili ya kuzaliwa unafkiri best point of view utakosekana tanzania are u serious??🤣🤣🤣🤣 mlima huo unaingiza pesa nyingi zaidi kuliko national park zote za kenya combined 😁😁😁This place is a no mans land. I know the place, it is just on the border of Kenya and Tanzania. No one will ever disagree that the best views of Kilimanjaro are from Kenya.
Ok. sawa unplanned settlements. Jibu moja tu, hapa ni slum?So ww na mzungu nani anaeona zaidi yani mzungu afunge sattelite zaidi ya 500 hewani asione slum dar aone za dunia nzima ikiwemo nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣 nilishakwambia neno slum tanzania halipo huku tuna tatizo moja tu unplanned sattlemnet lakini social service zote zipo njia zipo na accommodation zipo