Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,818
Ndo maana wakasema hamna akili. Sasa huyu wenu pia ni MJ. Hawezi fanya lake akili hazimruhusu hadi aige ya wenyewe???Najua ulikua hujazaliwa wewe vazi la michael jacksonππππ€£π€£
View attachment 1775200
Ndo maana wakasema hamna akili. Sasa huyu wenu pia ni MJ. Hawezi fanya lake akili hazimruhusu hadi aige ya wenyewe???
Ikitoa wakenya basi watakao salia ni Waarabu, Aziz, Mohamed n.kKwamba $1.7usd ndio mmeushika uchumi, Wakenya kweli mnaumwa safura [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Moto kama pasi, hili tower under construction pic ya mwisho ni lipi?
Ikiwa kenya wazungu wanamiliki mashamba yenye rotuba wanapanda maua wanaenda kuuza kwao nyinyi munafaida gani kuzaliwa kenya ???alaf wanawaacha na njaa kila mwaka ikiwamaliza πIkitoa wakenya basi watakao salia ni Waarabu, Aziz, Mohamed n.k
Labda madini walionayo ni muogokaa na miraa π€£π€£π€£π€£Kuna mpumbavu alikuwa anadai 96% ya madini Kenya remain unexploited!
Githeri kwanza ni chakula gani basi ndio maana wanapigwa na wake zao π€£π€£π€£Githeri hawataki?
So michael jackson hakua na akili wakat alitikisa dunia ??πππ si ndio maana nilikwambia hilo vazi hata historia yake ulikua huijui najua umeshangaa sana, kwenu history munafundishwa mashamba ya miraa asili yake basiNdo maana wakasema hamna akili. Sasa huyu wenu pia ni MJ. Hawezi fanya lake akili hazimruhusu hadi aige ya wenyewe???
Sio harmonize pekee ni wasanii wote tanzania wamefanikiwa π€£ππlengo lake ni nyie kumuongelea.. na amefanikiwa katik hilo [emoji817]
Kwenye mtihani, mara nyingi wakukopi hana akili, ndo ivo. Wengine hukopi hadi jina, akili za Wabongo hizo!!!So michael jackson hakua na akili wakat alitikisa dunia ??πππ si ndio maana nilikwambia hilo vazi hata historia yake ulikua huijui najua umeshangaa sana, kwenu history munafundishwa mashamba ya miraa asili yake basi
Kwa age yako je ulijua amecopy?? Vijana wengi sana hawakua na idea hio kua amecopy ππππ tatizo ww hupendi mafanikio yake lakini ndio kashatoka tayar na ni miongoni mwa wasanii matajiri sana east africa π π πKwenye mtihani, mara nyingi wakukopi hana akili, ndo ivo. Wengine hukopi hadi jina, akili za Wabongo hizo!!!
Aibu, aibu kama Diamond kukopi Saida Karori Nyimbo zake, Aibu tuuu kama Diamond kukopi yule MJ kwenye nyimbo zake. Eti ajaribu moon walker?? Aibu aisee!!!!!!!!! Watanzania yani hamna akili zenu lazima muige??????Kwa age yako je ulijua amecopy?? Vijana wengi sana hawakua na idea hio kua amecopy ππππ tatizo ww hupendi mafanikio yake lakini ndio kashatoka tayar na ni miongoni mwa wasanii matajiri sana east africa π π π