Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunakuja sasa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Mama angethubutu kutamka wakenya nao waje Tz kufanya kazi Tanzania bila work permit kesho Teargass na familia yake yote wangekua dar lux,but bi mkuu kaukwepa huu mitego yote,sio ajira utalii wala avition hotuba zake zote kakomaa na ushirikiano wa kibiashara tu πŸ˜…,biashara biashara biashara πŸ˜…
 
Pale muhimbili kuna local carwash wakenya,wanaosha kwa ndoo na matambala,labda huko kwao wanadai wamefungua kampuni ya kuosha magari TZ na yenyewe iko kwenye ile orodha ya kampuni 500 πŸ˜‚
 
Katika hayo makampuni makubwa ni yale foreign owned ambayo subsidiary zake za Kenya zime-invest Tanzania kama EA Brew, Unilevel na many of flower firms! Hamna hata moja la kizawa la Kenya lililo na muscles ya ku-invest over $100 mln!
 
Pale muhimbili kuna local carwash wakenya,wanaosha kwa ndoo na matambala,labda huko kwao wanadai wamefungua kampuni ya kuosha magari TZ na yenyewe iko kwenye ile orodha ya kampuni 500 [emoji23]
Hawa wa kuosha magari kwa matambara waje tu tupambane na hali. Nawaonea huruma sana. Kwao hali ya umasikini ni mbaya sana. Waje tu kuhangaika [emoji23]
 
Your president said either compet and complicate things or go cooperate and do the the business pande moja mna UHURU wakufanya biashara na SULUHU wa kuenda vikwazo πŸ™‚πŸ˜›
Mzee Kazi yangu vipi mbona unavunga. Imekushinda sasa ni miezo 6 imepita.
 
Hawa wa kuosha magari kwa matambara waje tu tupambane na hali. Nawaonea huruma sana. Kwao hali ya umasikini ni mbaya sana. Waje tu kuhangaika [emoji23]
Waje kufanya nini? Wa Tanzania wameshindwa kufanya hizo kazi?
 
Is that three level 🀣🀣🀣 hvi ww akili yako iko sawa kweli hio na pangani interchange inatofaut gani hebu tuanzie hapo???😝😝😝😝
Okay it's one level,moving on swiftly
 
We fala kweli yn Azam anauzia wazungu huko ulaya na wamekubali standards eti we mnuka mavi wa mathare unasema hazina standard unajisikia lkn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiria anatoa bidhaa Tz moja kwa moja ama anawekeza na kutengeneza huko huko?.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nyie kawadharau anawatengenezea vitu uchwaraπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Zoom sasa hapo uone nyumba za matope mpaka utachoka 🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Lia hadi basi., Mombasa sio Dar , ukipata nyumba ya tope in that area hapo nafunga account., Dar is slum in EACπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., vumilia na usonge mbele, Kiswahili punguza, wacha picha ijiongelee.,
 
Rais wenu alivyo mpumbavu anasubiri reciprocal πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mtakaa sana
Tanzania mtabaki kuiona kwenye bongo flava na bongo movies
Hamuna kende ata kidogo ni domo domo, kama mko na uwezo si mgefungua tupatane uso kwa uso, mko ovyo hakuna chenye unaniambia weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., na bado tutawatafuna, wakulima wanaleta mazao yao kwa bei uchwara, raw materials pia, we process into finished goods and export as made in Kenya and make dollars, idiots!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mumeingia box kirahisi sana!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wa roho mbaya ni watanzania, wengi wamenuna, as we appreciate, mko ovyo vichwani., Kenya is a big brother Tanzania is a whining babyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., jiangalie kwanza, chunguza vile raiya wenu na viongozi wanavyofikiriaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, pole bro, hii tabia yenu sio laana ni ujinga tu, na dawa iko.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Umeona tayariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., mwenzako kaudhika anataka ukojoe ulaleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ichoboy01 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hatutaki kukuja into poverty stricken country, tunataka mlete raw materials haraka upesi., Kaeni huko huko kwa poverty na low life., superstition and mediocrity.., naah we don't want., It is your resources we are after not your country, get it clear, and we have themπŸ’ͺπŸ˜πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Pale muhimbili kuna local carwash wakenya,wanaosha kwa ndoo na matambala,labda huko kwao wanadai wamefungua kampuni ya kuosha magari TZ na yenyewe iko kwenye ile orodha ya kampuni 500 πŸ˜‚
Nyie omba omba wako kwa ile orodha ya kampuni 23πŸ˜…πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚., always the worstπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waliopinga hapa kuwa uchumi wa Tanzania imeshikiliwa na Wakenya wapo wapi.

Bwana wenu Mwarabu Rostam Aziz ametufungia hilo.

 
Tunakuja sasa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Mnakuja kuzubaa zubaa tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,

Mko ovyo, hapa mtakuja kutalii na kuzubaa zubaa tu, Mtajua hamjui., Wacha tumenyane na waarabu wenu na wahindi nyie mikwara bakini tandale muendelee kutizama kwa mitandao, jamii forums haswa, na through Azam or Millard Ayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…