Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
My point hereπππ popularity sio profitability πππ, the reason Azam is popular in Tz but not the leading., unajijibu tuπππKwa mfano, league ya Ug, Rwanda na Burundi, Azam ndio wanairusha live .. bidhaa zetu zetu uko ndio zinatamba kila chochoro yani ni kama makoloni yetu πππ, mtatuambia nini bhana .. mambo ya ajabu kabisa
Ni kweli tutawatawala katika nishati ,mazao nk wapende wasipende tutawaburuza kama nguruweTegemea Tz kuitawala Kenya kwa kiasi kikubwa sn this time mana hamtokuwa na ujanja zaidi ya kukubali tunachotaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Is popularity profitability?πππ Mbu Mbu Mbu ni wewe kabisaaπππAchana na huyo mbu mbu mbu.
Azam is the jewel of East Africa in continental brands ranking.
Azam was Tanzania's number one top of mind brand and came at number five in the ranking of most admired African brands when prompted, according to the 2020 Brand Africa 100 survey. The survey is the continent's best brands highlight which is done every 10 years.
Ni Tanzania tuπππ., Pia mimi nimeonaππ.,We jombaaa Yosef Festo njoo hapa nikupe hii sisi sio levels zenu kabisa ..alaf kuanzia leo muache kujilinganisha nasi kwa kampuni kubwa hapa EA. Huu ni uwekezaji mkubwa wa Azam South Africa
πππ Huyu anaongea nini huyu.?Is popularity profitability?πππ Mbu Mbu Mbu ni wewe kabisaaπππ
We vipi wew jomba hiyo ni SA mzee , au hujaangalia hiyo video.? πππ Umeona unaanza kuchanganyikiwa sasaNi Tanzania tuπππ., Pia mimi nimeonaππ.,
Tuko hapa kushuhudia ndoto zako za mchana,πππ hizi pambio mtaimba hadi basi., success is not in a conduct, it is a principle, yenye is among the few foreigners living in Tz, (if u know u know) nyie wengine mtangoja sanaππππ.,Ni kweli tutawatawala katika nishati ,mazao nk wapende wasipende tutawaburuza kama nguruwe
Sijasema ni Rwanda ama wewe umeonaje?., understand business dynamics wacha kuropokwa ropokwa tu, ππWe vipi wew jomba hiyo ni SA mzee , au hujaangalia hiyo video.? πππ Umeona unaanza kuchanganyikiwa sasa
We jamaa unanichosha sana πππ. Nyie hamtuwezi bhana, hebu lete kwanza kampuni ya Kenya inayoweza kushindana na Azam ili nitoke jf πππSijasema ni Rwanda ama wewe umeonaje?., understand business dynamics wacha kuropokwa ropokwa tu, ππ
Who is foreigner?Tuko hapa kushuhudia ndoto zako za mchana,[emoji23][emoji23][emoji23] hizi pambio mtaimba hadi basi., success is not in a conduct, it is a principle, yenye is among the few foreigners living in Tz, (if u know u know) nyie wengine mtangoja sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].,
....unadhani mumewekeza nje ya nchi kuliko Kenya eti?πππ., Tanzania, Tanzania, Tanzaniaπππ., Raisi wenu anajua vyema, nyie wengine ni kelele za vijiweni.,ππ., Bring facts hapa ya countries za EAC zenye businesses both in and outside its borders, far and wide na annual revenues tuone., take your time please usikuje kukurupuka hapa na mapicha na tu selected video clips unafikiria ndio basi..,We vipi wew jomba hiyo ni SA mzee , au hujaangalia hiyo video.? πππ Umeona unaanza kuchanganyikiwa sasa
Siwapangii. Ulipoleta hoja bila shaka ulitaka ijadiliwe, siyo?Kwani unatupangia? The gas will be exported.
Marekani wanajitambua. Hawawezi kufanya biashara ya mafuta nje ya nchi yao ikiwa kwao hayawatoshelezi. Sasa nyie wapuuzi mtakuwa supernormal idiots ikiwa mtakuwa mnalenga zaidi udalali wa gesi kabla hamjaitumia kwenye uchumi wenu wa ndani.Do you know America is an Oil producer na ata hawana Oil kwao,They invest in Other countries e.g Saudi,American company mines oil and then sells for itself.[emoji14]If you think you know[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama hujashikanisha Ni sawa
πππ Yani unaongea ujinga sana .kwa mfano jirani hapa tz yani vikampuni uchwara 500 kutoka kenya zimewekeza eti 1b $ ππππ ukigawanya hapo 1bΓ·500=2m each πππ.. kuwekeza dola milioni mbili kwa kila kampuni ni mambo ya ajabu sana ππ.. nyie kwenu uko hakuna kitu bhana ......unadhani mumewekeza nje ya nchi kuliko Kenya eti?πππ., Tanzania, Tanzania, Tanzaniaπππ., Raisi wenu anajua vyema, nyie wengine ni kelele za vijiweni.,ππ., Bring facts hapa ya countries za EAC zenye businesses both in and outside its borders, far and wide na annual revenues tuone., take your time please usikuje kukurupuka hapa na mapicha na tu selected video clips unafikiria ndio basi..,