MkitiYani we Kachengcheng umemaanisha unaweza kununua hili jengo π. πππ Mr Mapesa , serikali yenu yenyewe haiwez jenga hii ππ
View attachment 1774167View attachment 1774168View attachment 1774169View attachment 1774170
A mosqueπππ., sasa imepata the right resident.Yani we Kachengcheng umemaanisha unaweza kununua hili jengo π. πππ Mr Mapesa , serikali yenu yenyewe haiwez jenga hii ππ
View attachment 1774167View attachment 1774168View attachment 1774169View attachment 1774170
hapo hakuna chochote hapo kitakachozingatiwa ni suala ya hilo bomba la gesi tu hivyo vingine kuhusu kuruhusu watu kuwekeza vitabaki na figisu kama vilivyokuwaNgoja Tuone,Sasa hivi Ni Fair trade,Mutajua hamjui my Friends[emoji857][emoji1139]
Which coast? Been in Mombasa for the last two years they are not popular!πππ, Products are there but not popular at all!., Coca cola anauza Mombasa kushinda Azam by far!,., products uchwara haziwezi Kenya, hilo nakuhakikishia wewe mwehuπππ.,Ww kataa kubali azam kashika coast ya kenya na baadhi ya maeneo ya bara kenya na tusibishane kwa hili nakwambia π€£π€£π€£
Oya jamani mnaskia huyu ππππ Azam sio tv decoder, tv na Azam club tu wew mjomba,Azam ina vyaluka, vinywaji, na vitu kibao ambavyo ni popular Africa nzima n bado haipo kampuni ya Kenya ya kushindana na Azam, ukibisha ngoja ukibisha nakupa fact MZEE, n guess what tz kuna kampuni kibao zinazoipiga gepu AzamWewe ni kilaza kabisaa!., Kaa ukijua., hujui popularity sio mapato, Azam ni TV(decoder) na football clubπππ.,so kwasabavy wengi mnatazama Azam Tv n club mnadhani Azam sasa ndio kusema πππ, weka annual profit yao tuone hawezi kua wa kwanza hata hiyo Tz yenyeweπ.,
Coca cola ni brand ya Kenya.? πππ .. taja brand za kenya ambazo zinaweza shindana na brand zetu πππ.. heb zitaje au hakuna .?ππWhich coast? Been in Mombasa for the last two years they are not popular!πππ, Products are there but not popular at all!., Coca cola anauza Mombasa kushinda Azam by far!,., products uchwara haziwezi Kenya, hilo nakuhakikishia wewe mwehuπππ.,
Kaka kilaza, sasa unataka nijibu rhetorical questions! Since when?., such obvious facts I ignoreπ Nikama kuniuliza Kama akina dada wanataga mayai ama wanna zaa?., Boss check yourself, kiddish contests peleka vijiweni, data ziko tu waazi, can't massage your ignorance and laziness ππππ., you have to prove me wrong with facts showing comparison analysis, hekaya za abunuasi peleka mbali.ππ Hawa jamaa vipi.? Nimemtaka huyu jomba Yosef Festo ataje kampuni kubwa za uko kwao Kenya anazodai eti zinaingiza faida kubwa kuliko kampuni za tz, naona anaruka ruka tu eti wao wanapata faida kubwa πππ hovyo kabisa
Eti msikiti ππ heb weka jengo lenu la ikulu hapo tuone πππMkiti
A mosqueπππ., sasa imepata the right resident.
Na tunaanza na Uganda kwanza.Wanaumia sana kuona sasa tunawapekekea gas na sio wao tu mpaka uganda na rwanda pia plan zipo π€£π€£π€£π€£
Ya Nini ninunue hiyo TakaTaka and I can Build you tallest building in TZYani we Kachengcheng umemaanisha unaweza kununua hili jengo π. πππ Mr Mapesa , serikali yenu yenyewe haiwez jenga hii ππ
View attachment 1774167View attachment 1774168View attachment 1774169View attachment 1774170
We ni mpuuzi sana, nimekupa kazi rahisi sana leta kampuni ya kenya kubwa unayoijua wewe tulinganshe na kampuni za tz , mfano kampuni ya Azam pekee πππKaka kilaza, sasa unataka nijibu rhetorical questions! Since when?., such obvious facts I ignoreπ Nikama kuniuliza Kama akina dada wanataga mayai ama wanna zaa?., Boss check yourself, kiddish contests peleka vijiweni, data ziko tu waazi, can't massage your ignorance and laziness ππππ., you have to prove me wrong with facts showing comparison analysis, hekaya za abunuasi peleka mbali.
Ata nilikuwa nimethani Ni kitu ya maana,Kweli Kama nyumba za Eastleigh za Wasomali Yani Zafanana Kabisa kabisaYani we Kachengcheng umemaanisha unaweza kununua hili jengo π. πππ Mr Mapesa , serikali yenu yenyewe haiwez jenga hii ππ
View attachment 1774167View attachment 1774168View attachment 1774169View attachment 1774170
πππ. Dah wakenya bhanaYa Nini ninunue hiyo TakaTaka and I can Build you tallest building in TZ
Uheheheheh maumivu kwenye area yake π€£π€£π€£π€£ azam tv imeshika coast ya kenya kila ukipita mombasa dish zote azam tv alaf unataka kutuambia nnπ π πWhich coast? Been in Mombasa for the last two years they are not popular!πππ, Products are there but not popular at all!., Coca cola anauza Mombasa kushinda Azam by far!,., products uchwara haziwezi Kenya, hilo nakuhakikishia wewe mwehuπππ.,
Linganisha na ikulu yenu basi πππAta nilikuwa nimethani Ni kitu ya maana,Kweli Kama nyumba za Eastleigh za Wasomali Yani Zafanana Kabisa kabisa
ππππππWekezeni na kwa akina DRC, South Sudan, Uganda, Rwanda, Burundi n.k., above what Kenya has done tuone piaπππ, hadithi hadithi hatutaki, eti hakuna nchi ya kushindana na Tz!!πππ., Kiswahili mingi bure kabisaπππUnafkiri hawayajui hayo wakenya.? Wanayajua yote hayo wanaogopa kupigwa bao tu.. tz ipo vizur bhana .. hii EA hakuna nchi ya kushindana na tz kwasasa
Nyang'au haaminiki daima,lazima tuwe makini na mikataba yetuKuna kitu sijakielewa bado! Nimeona ilo bomba litapitia bandari ya Tanga mpaka Mombasa..!! Lengo lakupeleka Gas Kenya sio wao wauze kweli?
Unadanya wenzakoππ, Azam can't beat GOTV and Zuku in coastπππ, unapenda kujikweza mr. Mwanza, sasa wewe unaishi Mombasa kunishinda eti?., Uko ovyo sana, wewe ni muongo sana, nikama wewe ni kafiri hivi, hauogopi kudanganyaππππ., MwehuuπππUheheheheh maumivu kwenye area yake π€£π€£π€£π€£ azam tv imeshika coast ya kenya kila ukipita mombasa dish zote azam tv alaf unataka kutuambia nnπ π π
Azam Media: Our vision is to bring Africaβs narrative to the world
In its early days barely 15 years ago, it was simply known as Azam TV, and started specifically as a channel for Azam FC, a soccer team that has since grown to rival giants Simba FC and Young...www.thecitizen.co.tz
Kwa mfano, league ya Ug, Rwanda na Burundi, Azam ndio wanairusha live .. bidhaa zetu zetu uko ndio zinatamba kila chochoro yani ni kama makoloni yetu πππ, mtatuambia nini bhana .. mambo ya ajabu kabisaππππππWekezeni na kwa akina DRC, South Sudan, Uganda, Rwanda, Burundi n.k., above what Kenya has done tuone piaπππ, hadithi hadithi hatutaki, eti hakuna nchi ya kushindana na Tz!!πππ., Kiswahili mingi bure kabisaπππ
Achana na huyo mbu mbu mbu.Oya jamani mnaskia huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Azam sio tv decoder, tv na Azam club tu wew mjomba,Azam ina vyaluka, vinywaji, na vitu kibao ambavyo ni popular Africa nzima n bado haipo kampuni ya Kenya ya kushindana na Azam, ukibisha ngoja ukibisha nakupa fact MZEE, n guess what tz kuna kampuni kibao zinazoipiga gepu Azam