Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

. Uliambiwa ukabisha haya SASA majibu hayo hapo, nyie hamtuwezi hata kidogo na tukipata fursa ya kufanya investment kwenu basi ujue ndio tumewatawala, mnatuogopa na vibiasha vyenu ucharwa

huyu ndo mwamba sasa, na uwekezaji wake unakuaga sio wa kitoto

hiv mmenotice wawekezaji (individuals not companies) wa kitanzania wana nguvu (mitaji) kuliko wa kikenya .. MO, Bakhresa, Rostam , Asas na yule wa Lake Oil wakiwekeza kenya kwa ujumla watawekeza zaid ya $1b
 
Unafkiri hawayajui hayo wakenya.? Wanayajua yote hayo wanaogopa kupigwa bao tu.. tz ipo vizur bhana .. hii EA hakuna nchi ya kushindana na tz kwasasa
 
acha ubishi wakitoto wafanyabiashara wa nchi mbili wapo hapo nairobi wanazungumza kero zao ,,,
wewe usiye na biashara hata ya shoe shine unabishana nao we kama nani upinge[emoji1787][emoji1787]
Hunijui Kaka,mie naeza nunua Bugati na Niichome,unasikia naweza nunua mpaka ikulu yenu🀣🀣🀣🀣Don't think you know me,Niuraigwa wee kigui Giki??
 
Hunijui Kaka,mie naeza nunua Bugati na Niichome,unasikia naweza nunua mpaka ikulu yenu🀣🀣🀣🀣Don't think you know me,Niuraigwa wee kigui Giki??
Bro The best 007 naomba ukaenayo hii☝️ kwa matumiz ya baadae πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, usiweze kununua huo uchafu wenu hapo eti ikulu uje uweze kununua ikulu ya bongo.? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hawa jamaa vipi.? πŸ˜‚πŸ˜‚. Wanachekesha sana hawa watu, eti mama kasema nairobi ni half london
Half london imezungukwa na slums ambazo hata nguruwe hawezi kuishi 🀣🀣🀣🀣
 
Bro The best 007 naomba ukaenayo hii☝️ kwa matumiz ya baadae πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, usiweze kununua huo uchafu wenu hapo eti ikulu uje uweze kununua ikulu ya bongo.? πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa juu Tuna Ongea JF watu wanathani wanijua,You may never know who you are Talking ToπŸ˜›πŸ€‘
 
yaan wafanya biashara watatu wa bongo wakiwekeza kenya wanafunika wafanyabiashara wao 500 waliowekeza tz kwa vikampuni uchwara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hawezi kuleta,,,,,,hawakawii kuleta bank na safaricom ambayo kwa kenya ndiyo inaonekana ikiingiza mpunga
 
Hunijui Kaka,mie naeza nunua Bugati na Niichome,unasikia naweza nunua mpaka ikulu yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Don't think you know me,Niuraigwa wee kigui Giki??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa mzee wa bugatti hongera
 
yaan wafanya biashara watatu wa bongo wakiwekeza kenya wanafunika wafanyabiashara wao 500 waliowekeza tz kwa vikampuni uchwara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja Tuone,Sasa hivi Ni Fair trade,Mutajua hamjui my FriendsπŸ€‘πŸ‡°πŸ‡ͺ
 
Wewe ni kilaza kabisaa!., Kaa ukijua., hujui popularity sio mapato, Azam ni TV(decoder) na football clubπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,so kwasabavy wengi mnatazama Azam Tv n club mnadhani Azam sasa ndio kusema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, weka annual profit yao tuone hawezi kua wa kwanza hata hiyo Tz yenyeweπŸ˜‚.,
 
Imekuingia kikamilifuπŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Ww kataa kubali azam kashika coast ya kenya na baadhi ya maeneo ya bara kenya na tusibishane kwa hili nakwambia 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…