Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

https://www.facebook.com/

MY TAKE
Roho inauma badala ya sie kuutumia kwenye World Cup Qualifiers tunaukodisha kwa vile hatumo kwenye qualifiers! [emoji2297]
Si hatujui mpira wacha wanaojua wautumie, wachezaji wanapewa kila kitu hakuna kelele za kutolipwa mishahara kwa wachezaji yn kila kitu wanapewa lkn wanashindwa ku deliver, tena wakati mwingine tunacheza na watu wenye njaa kabisa lkn tunashindwa kuwafunga, wacha wanaojua wautumie tu mkuu. Sisi tubaki na ligi tu ila national team ni upuuzi mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejikatia tamaa sio? Kumbuka Spain nao walisota sana mpaka kushinda World cup!
 
Kuna mkenya kishawahi kuniomba nimfanyie mpango apate pasi ya Tanzania,halafu ukija humu unawakuta wakunya wanachonga balaa,sidhani kama kuna Mtanzania ana nia ya kumiliki pasi ya kunyaland
90% ya Wakenya wana wish kuwa Watz usione hawa wa humu wanajifanya kutunisha misuli lkn wao pia wangependa kuwa Watz. Nani asiyependa kuishi nchi ambayo haina vita, haina ukabila, haina madhoruba dhoruba ya kidunia, yenye mshikamano na upendo km hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🀣🀣🀣
Umenikumbusha kipindi fulani nilikutana na binti mmoja wa kikenya analazimishia urafiki, alivyoona sizimikii. Ikabidi afunguke na kusema basi anaomba nimpe mtoto. Sababu ni kuwa anapenda sana damu ya Tanzania.
πŸ˜πŸ˜€πŸ˜
 
Mimi huku nilipo kuna kipindi nilikua nawagonga watoto wa kikamba na kikuyu vibaya mno,na washkaji zangu wakenya huku wenyewe wanatoswa na dada zao lakini kwa sisi wa TZ kama kumsukuma mlevi vile,wanatupenda sana πŸ˜€
 
Yaani wakiona mTanzania inakuwa shidaa. Hata kuongea hawaongei.
Wanaanguka tu.
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜€
 
Story za vijiweni ushazileta JF, wadanganye wenzio tu kwa comedy hizo! 🀣 🀣 🀣
 
Mimi huku nilipo kuna kipindi nilikua nawagonga watoto wa kikamba na kikuyu vibaya mno,na washkaji zangu wakenya huku wenyewe wanatoswa na dada zao lakini kwa sisi wa TZ kama kumsukuma mlevi vile,wanatupenda sana πŸ˜€
Duh, ifungulie uzi hii, maana chai ya moto isiyo sukari! 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…