CAPABLE GOD
JF-Expert Member
- Dec 5, 2020
- 288
- 343
Nikikujibu ni njia ya kurudisha imani kwa washirika na dunia kwa ujumla hawa baada trump kuvurunda....ntakuwa nimekosea?Unajua kuna maswali unaniuliza ninaweza nikeshe nikikujibu?
Na kikuuliza kwanini Marekani sasa hivi ina female Vice President na ni black woman utanijibu nini?
Hahaha keep it broMm wazalendo wote wa humu nawaelewa, so wakikosea huwa najiuliza sana why? Niko hivyo, kuna wazalendo humu huwa wananikwaza lkn huwa nakausha naacha cku iishe cz najua kwenye maisha kukwazana ipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu nambie basement ya huo uchumi ni ipi?African democracies sio Afrika kusini tu. Kuna Ghana, ambayo last I checked ina uchumi mkubwa kuliko Tanzania.
Kwani ni uongo kwamba construction haikuanza 2013??🤣🤣🤣🤣 au pia unabisha jengeni kwanza alaf muongee sasa acheni mturuki ajenge afanye investment akimaliza sasa panueni makalio yenu hapa, kwani pinnacle ilikuaje sasa limebaki shimo la mavi pale 🤣🤣🤣🤣ichoboy01 ulisema 88 Nairobi haitajengwa, what can you say now😂😂. I promise you that this building will get completed before your Mzizima tower which was started in 2013👇👇
View attachment 1769884
Proposal bila utekelezaji ni sawa na zero kuna render mia mbili alaf alaf hakuna utekelezaji hausaidiii 🤣🤣🤣 sisi tunataka kuona concrete jungle alaf mupanue ushuzi sasaHuku tukijenga majengo kila siku nyinyi sidhani kama mtapata proposal yeyote hadi mwaka 2050
Ngoja tuendelee kitafuta slum kwa karibu sasa 🤣🤣🤣🤣 asante ndinda
11.5 b dollar au 11b ksh naona umechanganya chai na soda🤣🤣🤣Na hakuna mahali madini yenyu imepeleka Tanzania Imagine,Do you know in Kenya only 4% of minerals are Touched na inaletanga $11.5billion yearly,96% percent of mineral in Kenya are untouched,Usisahau Tuna Madini yote
Na pinnacle ilikua hvohvo leo miaka minne sasa 🤣🤣🤣🤣Since 2014 mnachimba shimo tu🤣🤣🤣
Mzee kwenye hills za matusi sio hulka yangu......Kama baba yako alivyo mpumbavu......I’ll miss you the most [emoji2956]
Hahaha....kwa hiyo ni mwendo waMkuu hakuna kupepesa macho ni kwamba hakuna democracy duniani, hakuna na haitakaa itokee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeeh....Mkuu wa CIA alikuwa anastafu alipoulizwa unaonaje ulimwengu wa ujasusi.....alijibu ulimwengu ni adaa...unajua alimanisha nini Mkuu?Democracy ambayo hao waliyoianzusha wanai violate democracy gn hii, democracy ya kuiba mali za wanyonge from Africa? What is the true meaning of democracy? Kwamba kuhakikisha bara tajiri linazidi kuwa maskini? Au ndo democracy ya kuhakikisha asiyejua asijue daima, what is the meaning of democracy? Nmekuja kugundua democracy ni mkenge tulioingizwa waafrika ili tuzidi kuwa maskini. Hao walioanzisha democracy Rais wao anachaguliwa na wachache bila kujali kura zilizopigwa na wengi, huu ni mkenge tunaoingizwa waafrika kupitia elimu yao walio ifix at 90 drgree, mm cwezi kuingia mkenge huu japo nmesoma elimu yao hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna democracy duniani anayebisha aje aniambie nchi gani ina democracy, wkt mwenyezi Mungu mwenyewe kuna mahali anaonesha upendeleo wa dhahiri, naomba mwenyezi anisamehe sn km nitakuwa nmeenda against ila huo ndio ukweli.Hahaha....kwa hiyo ni mwendo wa
survive for fitest....live for existence....nakupata sana mkuu
Mzee umenikosha sana...hadi raha yani..huo ndo uzalendo.....kwa kweli ashukuriwe Mungu kwa matendo makuu ya ajabu namba hiiEti nianze kusema "Kenya inatuzidi kwenye ushuzi flani" hiyo haitakaa itokee nawaambia, mm ninachojua na nilichofundishwa shuleni tangu darasa la kwanza, form 4, form six, mpk chuo kwamba hakuna nchi duniani hapa tamu kama Tanzania na iko hivyo akilini mwangu mpk cku nakufa, hii nchi Mungu anaipenda sana, unaweza kuona corona imesumbua dunia nzima mpk nchi wanazosema wao ni za ahadi lkn hapa imegonga mwamba, locust invasion imeishia Kenya, kimbunga Jobo kimeishia huko huko hapa kwetu kilitaka kuingia lkn Mungu kwasababu anaipenda nchi hii akaagiza jeshi la malaika mfano wa upepo likaenda kukifukuzia mbali, sasa leo eti atokee mtu aanze kuniambia eti Tz cjui ninini, never in my life bora kufa maamaee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini usiwe specific. USA iliiba rasilimali za wapi? Usifananishe serikali za watu na firms!