Nimekuletea screenshot inayoonyesha 100ksh unapata 2GB+2GB night data, hapo unataka nini mzee..Mzee sijui unaelewa unacho weka hapa. Ndio unadhidi kuthibitisha cost ya 1GB Kenya ni kubwa.
A honest observation, reality kwa ground. Possibly economic and political factors, propaganda can't grow a country. My hypothesis.Nataka kuuliza swali moja. Hivi Mbona skyscrapers mpya hazijengwi Dar? Unlike Nairobi, Dar hakuna hata proposed skyscrapers. Yaani hata tetezi ya jengo refu Hamna! Kwa mji unaokua kwa kasi kama Dar, real estate development inatakiwa kuwa hot kwa sasa. Lakini sasa mambo yaliyopo ni kinyume. Kwa nini?
Mkinielewesha nini hasa? Kukomoa watoto wadogo kwa kuwafukuza shule? Majibu yangu labda huyasomi. Hata hapo juu nimeyaweka. Wewe kama hutaki kujihusisha kwenye mjadala huu, endelea na mambo yako! Mind your own business. Maana sikukujibu wewe bali wale walioniuliza!Mzee hebu mambo ya Tanzania yapeleke kwenye majukwaa ya Tanzania. Maana hats tukikuelewesha hutaki. Sasa sisi tufanyeje. Umeuliza swali tumekujibu halafu unakataa.
Kwanini usiweke jibu lako!? Be serious bro.
Hoja kwishaa[emoji23][emoji23]Mzee unajiaibisha usione tumekaa kimya tunakushangaa.
Kenya internet is too expensive.
Zoea kaka, tafuna limau kimwanaume 😂😂😂Yani ubungo inawatoa nyongo mpaka leo hahahaha leo umenifurahisha sana
Mkuu Picha utapata......ila process njoo ujionee mwenyewe...hizoo.Tupia kabisa na vipicha kadhaa, usisahau kutuonyesha process ilivyo hapo, sio mabango tu. Ntaka kuona process yenyewe ya MELI ilitengewa hapo!
Mzee hasira ya nini!?Mkinielewesha nini hasa? Kukomoa watoto wadogo kwa kuwafukuza shule? Majibu yangu labda huyasomi. Hata hapo juu nimeyaweka. Wewe kama hutaki kujihusisha kwenye mjadala huu, endelea na mambo yako! Mind your own business. Maana sikukujibu wewe bali wale wakioniuliza!
Facts ndio dawa😅😂😂😂, wanted to send screenshot ya hii,Hoja kwishaa[emoji23][emoji23]
Too expensive kw maneno yako lkn sio hapaView attachment 1767620View attachment 1767622View attachment 1767623
Jamaa kabaki na maneno ya kwenye khanga tu sasa, mwenzake kakimbia mada mapema tu..Facts ndio dawa[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23], wanted to send screenshot ya hii,
Hahaha!!eti nini mkuu, "propanga can't grow a country"[emoji2960][emoji2960]A honest observation, reality kwa ground. Possibly economic and political factors, propaganda can't grow a country. My hypothesis.
Shida sio yangu. Sitafuti maandiko na sitafuti kuelimishwa Maana tayari nimeelimika! Mbona watanzania wengine wakipost tweets kuhusu Mimba za utotoni kenya huwajii juu? Hasira ni za kwako! Wale wanaotaka kujadili na wewe kuhusu petty competitions basi zungumzeni. Lakini kama kuna mtu anayetaka kuongea kuhusu something else, let them! Last I checked this was a platform where everyone is encouraged to speak openly! If you can’t stand openness and free expression of thought then this place is not for you.Mzee hasira ya nini!?
Hapa tupo kwenye battle kati ya Kenya na Tanzania.
Halafu wewe mtanzania unataka tuanze kukueleza mambo ya Tanzania are serious!? Unajua vita kweli Mzee!?
Umeongelea kuhusu
1. skyscrapers hapa dar
2. Watoto kufukuzwa shule
Mzee hebu kuwa serious. Hiyo issue ya watoto kuna maandiko mengi mno na yalishatolewa ufafanuzi.
Tafuta maandiko hayo.
Mzee hivi unajielewa kweli wewe!?Hoja kwishaa[emoji23][emoji23]
Too expensive kw maneno yako lkn sio hapaView attachment 1767620View attachment 1767622View attachment 1767623
Mzee anzisha thread ya kujadili hicho Mbona simple. Siyo kupandilia mjadala tofauti.Shida sio yangu. Sitafuti maandiko na sitafuti kuelimishwa Maana tayari nimeelimika! Mbona watanzania wengine wakipost tweets kuhusu Mimba za utotoni kenya huwajii juu? Hasira ni za kwako! Wale wanaotaka kujadili na wewe kuhusu petty competitions basi zungumzeni. Lakini kama kuna mtu anayetaka kuongea kuhusu something else, let them! Last I checked this was a platform where everyone is encouraged to speak openly! If you can’t stand openness and free expression of thought then this place is not for you.
Na Airtel 100mb Ksh 10 at times.,Mzee hivi unajielewa kweli wewe!?
70MB for 10Ksh
Ndio mama Ngina anakudanganya hivyo. Wewe twende tu battle ya Telecom uone. Ngoja naanza mimi halafu utafuata.Mkuu Venus Star sekta ya telecomunications tumewazidi kw karibia kila kitu..
*Ubunifu
*Huduma bora
*Miundombinu bora(mitandao)n.k
Sasa hapo unaongea kitu gani sasa mwenzako kaweka 70mb kwa 10ksh.Na Airtel 100mb Ksh 10
Tufanye hivi. Mind your own damn business. Kama kuna topic ambayo mtu hajakutag au kuku-quote au topic ambayo haiendani na competition ya Dar Vs Nairobi basi pita kama huoni kinachoendelea. Kwasababu huwezi kudictate mtu apost kitu unachotaka wewe!Mzee anzisha thread ya kujadili hicho Mbona simple. Siyo kupandilia mjadala tofauti.
Upo huru kuanzisha mjadala huo. Zaidi ya hapo unataka kuleta confusion tu.
Siwezi nikaacha Mzee kama unataka hivyo kuna PM mtumie mtu unayetaka akueleweshe.Tufanye hivi. Mind your own damn business. Kama kuna topic ambayo mtu hajakutag au kuku-quote au topic ambayo haiendani na competition ya Dar Vs Nairobi basi pita kama huoni kinachoendelea. Kwasababu huwezi kuductate mtu apost kitu unachotaka wewe!