The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,997
Mkuu hiyo difference usisahau ni USD wala co shs, pia tusiwe watu wa kutaka kila kinachofanyika nchi nyingine na kwetu kifanyike, cc tuna BRT vp Ghana wanayo? Na km wanayo je inafuata plan ipi mana ishu co kujenga tu, sawa yao ni 4level yetu 3level vp plan yao? Alafu infrastructure zinajengwa kwa bajeti na plan ya eneo husika so tulidhike na hivi vyetu cz hyo interchange yao na hii yetu zote zina save same purpose, usisahau pia hapa Dar kuna flyovers 7 zinatakiwa.Infrastructure: Construction of Ubungo Interchange complete by 25 per cent
Construction of the Ubungo Interchange has reached 25 per cent of construction and is expected to be completed by December 2020, the Parliamentary Public Accounts Committee was told today by...www.thecitizen.co.tz
Ubungo interchange ni almost 87 m[emoji121]
Iyo ya Ghana ni 94 m some sources zinasema 84m
Na 4tier interchange with a difference of 7m na yetu ya Ubungo
Ya kwetu inayo sasa tena kwenye level mbili tofaut ndio maana nimemwambia yetu iko very complex 🤣🤣🤣🤣Kwn interchange mpka kuwepo na BRT lanes? Uliskia wapi mzee baba
Pateni kwanza three level alaf njoo uongee na mm 😀😀😀😀Leo level imekua sio shida tena[emoji23][emoji23]
Kwahiyo nyie mmejenga lini na mmejenga nini ili tuamini hiki usemacho.Tanzania Jengeni pia nyinyi mkue na mahali pa kusafisha Kama Nairobi[emoji1787]Nairobi Ni Kama Gari mpya imepata Vumbi na mwenyewe Hana shughuli kuosha Yani amezoea magari,si Kama TukTuk/Daresalaam ikichafuka wanaosha Ndio washine kiasi [emoji22]eeeh imenikumbusha kiti nzee yenye mamangu alikuwa akifunikianga na vitamba za viti ili tufiche aibu kwa wageni kitambo sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji1787]
Kashindwa kutofautisha complexity of drawings ni hicho tu 😃😃😃😃Mkuu hiyo difference usisahau ni USD wala co shs, pia tusiwe watu wa kutaka kila kinachofanyika nchi nyingine na kwetu kifanyike, cc tuna BRT vp Ghana wanayo? Na km wanayo je inafuata plan ipi mana ishu co kujenga tu, sawa yao ni 4level yetu 3level vp plan yao? Alafu infrastructure zinajengwa kwa bajeti na plan ya eneo husika so tulidhike na hivi vyetu cz hyo interchange yao na hii yetu zote zina save same purpose, usisahau pia hapa Dar kuna flyovers 7 zinatakiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimfahamu ili iweje? Km ni wewe mwenyewe itanisaidia nn ss, kwn ni ajabu nyie wakunya kumiliki id zaidi ya moja?Ulisoma nilichokiandika, hivi wewe unamfahamu mulisaa ama ni ubishi tu ndio unataka..ama unataka niseme labda kachanganya ma file manake mie sijamuuliza yeye lkn jamaa kajibu ndio manake nikakaba..we km una laziada sema bana
Hiyo interchange ya Ghana ina BRT na ina facility ya BRT stations including DART Parking? Pia kuna madaraja mawili upande wa TBS na Riverside? Je Pedestrian overcrossing? Na kama tungeweka interchange ya Ghana how practical would the public transportation be? Will bus stands remain there? Au sie na mabingwa wa kuropoka bila kuangalia realities?s
I mean ubungo sio Tazara
Tupe ways za kujenga brt system tuoneSoma hapa upate uelewa ndio maana miaka mitatu leo munahangaika na BRT kazi ni kuchora barabara alaf inakaa miaka mitatu kimya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1766968
Mzee lengo lako ni nini zaidi!?Infrastructure: Construction of Ubungo Interchange complete by 25 per cent
Construction of the Ubungo Interchange has reached 25 per cent of construction and is expected to be completed by December 2020, the Parliamentary Public Accounts Committee was told today by...www.thecitizen.co.tz
Ubungo interchange ni almost 87 m☝
Iyo ya Ghana ni 94 m some sources zinasema 84m
Na 4tier interchange with a difference of 7m na yetu ya Ubungo
Iko vzr ila km jua kali flani hivi au naangalia vby mana naona km wanalipua lipua hivi.Hii unaeza fananisha na ubungo hata kwa kutumia macho[emoji116][emoji116][emoji28][emoji28] na je yao ina support BRT system???View attachment 1766969
Sasa mbna nyie mnataka kenya tujenge vitu km vya kwenu, ama ni vile mumeona mumepigwa hku mkisahau hapo nyuma mnatulazimishia tuwe na interchange km hilo lenu...Mkuu hiyo difference usisahau ni USD wala co shs, pia tusiwe watu wa kutaka kila kinachofanyika nchi nyingine na kwetu kifanyike, cc tuna BRT vp Ghana wanayo? Na km wanayo je inafuata plan ipi mana ishu co kujenga tu, sawa yao ni 4level yetu 3level vp plan yao? Alafu infrastructure zinajengwa kwa bajeti na plan ya eneo husika so tulidhike na hivi vyetu cz hyo interchange yao na hii yetu zote zina save same purpose, usisahau pia hapa Dar kuna flyovers 7 zinatakiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Neno complex unalileta wewe ili uvutie kwako, mwenzako kakwambia yao ni 4 tier..we ulitakiwa ukubali au unataka kusema nguzo za brt lanes ni tofauti na zile zinazopita magari ya kawaida darYa kwetu inayo sasa tena kwenye level mbili tofaut ndio maana nimemwambia yetu iko very complex [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nioneshe mahali nimeiambia serikali ya Kenya ijenge infra km za Tanzania.Sasa mbna nyie mnataka kenya tujenge vitu km vya kwenu, ama ni vile mumeona mumepigwa hku mkisahau hapo nyuma mnatulazimishia tuwe na interchange km hilo lenu...
Ona sasa mlivyoumbuka, yani mumepigea kishenzi, msalaba like interchange yani inafanya kazi km rounda tu walai
Endelea kujipa matumaini lkn ukweli ni kwamba, mumepigwa vizere wa msalaba like interchange[emoji2960]Iko vzr ila km jua kali flani hivi au naangalia vby mana naona km wanalipua lipua hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna harufu ya loan na scandle ndani yake [emoji116][emoji116]
Future tanzanian CEOs[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nchi kwishaaaa