Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wengi akili zao ziko brainwashed na wazungu wao hudhani mzungu kwao ndio civilized wakat wale wanapoteza ulimwengu wakat kwao kisirisiri wananyoosha mambo yao
Eti turuhusu wazazi wasome Govt school si upunguani huu, hata mm mwanangu akipata mimba nitapeleka private school, tubaki humo hakuna kupepesa macho, ndio maana nlikuwa namuunga mkono the late Magu cz alikuwa straight bila kupepesa macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo pamoja...
 
Sasa wasubiri nchi zenye jangwa 100% walete misaada na chakula kwenye failed state, nchi inaenda kopa 5km rail from france tena rais anafunga safari mpaka france kukopa loan ya 5 km railway alaf wanaongelea uchumi 🤣🤣🤣🤣
 
Oneni kitu wamejengewa hawa watu🤣🤣
Aisee miongoni mwa dalili za kiyama kenya ni miongoni
View attachment 1765148View attachment 1765149




Wenye povu zao🤣🤣🤣

ujue nn, hapo bado hakijaanza kutumika kinaonekana tayar kako congested or compressed (kimebanana).. kikianza kutumika je.. ?

baada ya mda watasema hakitoshi.. wenye akili zao wameshakula tayar mabillions in that unimpressive project..
 
ujue nn, hapo bado hakijaanza kutumika kinaonekana tayar kako congested or compressed (kimebanana).. kikianza kutumika je.. ?
Ngoja usikilize cost yake sasa ndio utachoka zaidi 😄😄😄😄
 
Ngoja usikilize cost yake sasa ndio utachoka zaidi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

by the look, unaona tayar kimebanana.. hata spacing distance ya pale mawasiliano ni kubwa sana lkn kuna mda magar hayatoshi.. hiki cha kenya je
 
Naona wakenya wote sikuhizi wanatoka Kilifi, bora ushapata jibu. Alafu nikuulize hivi nyie vibaraka wa mtaani hukata 85 usd per night huko kwenyu? Basi hata mmemzidi beberu, dadeki. Walilia oh Nairobi, sasa angalia Kilifi, alafu hujui lolote, tuachie sisi wenye kuyakaa maeneo hayo. Nauona uchungu, usjali. 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…