Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,927
Kwa hiyo C to C inapitia Mtera? Original C to C transafrica highway inapitia Mbeya- Rungwa-Itigi -Singida hadi Arusha inaendelea huko Nairobi hadi Cairo1. Kwanini uzungukie Singida wakati njia ya Iringa ipo vizuri
2. Pitia hapa Tanroads uone status ya hiyo barabara.
Tana River countyTana River County
View attachment 1761601
View attachment 1761602
View attachment 1761604
View attachment 1761605
View attachment 1761606
View attachment 1761607
View attachment 1761608
View attachment 1761609
View attachment 1761610
View attachment 1761611
View attachment 1761612
View attachment 1761613
View attachment 1761614
View attachment 1761615
View attachment 1761616
View attachment 1761617
View attachment 1761618
View attachment 1761619
Mzee nimekuomesha route ya kutokaKwa hiyo C to C inapitia Mtera? Original C to C transafrica highway inapitia Mbeya- Rungwa-Itigi -Singida hadi Arusha inaendelea huko Nairobi hadi Cairo
Njia ya Iringa/Mtera ni ndefu na mountainous kuliko ya kupitia Rungwa/ Singida.Afu hii ya Rungwa ina branch pale kwenda Tabora na kuwa route fupi kutoka Mbeya kwenda kanda ya ziwa via Tabora na kwenda Arusha via Singida
Soma hii map hapa chiniView attachment Trunk_and_Regional_Road_Map (1).pdfWanaosema mikoa inavumbi tunawataka watutajie mkoa gani.
Hapa ni sumbawanga mkoa wa Rukwa
View attachment 1763219View attachment 1763220View attachment 1763221
Mzee unanipotezea muda. Kwenye barabara tumeshatoka. Nimekupatia hizo routes leta za kwenu za Kenya. Umekuwa mtu wa kulalamika tuuuuuuu!! Kama mjamzito.Soma hii map hapa chiniView attachment 1763665
Mlianza nyinyi!wakuu tusijisahau tunaharibu content ya huu uzi,,,
ikumbukwe kuwa huu uzi ni dar vs nairobi
naona watu mpo bize kupost city nyingine acheni hayo mambo ..
Usijitingishe tulia sindano iingie vizuri upate dawa.Mlianza nyinyi!
Mkuu huyo co mkenya huyo ni mbongo anaitwa Choice Variable JIPU kwa ID nyingine, huyo anahasira na Magu huwezi muelewesha akakuelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee unanipotezea muda. Kwenye barabara tumeshatoka. Nimekupatia hizo routes leta za kwenu za Kenya. Umekuwa mtu wa kulalamika tuuuuuuu!! Kama mjamzito.
Anazingua.Mkuu huyo co mkenya huyo ni mbongo anaitwa Choice Variable JIPU kwa ID nyingine, huyo anahasira na Magu huwezi muelewesha akakuelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Gor Mahia bus, Basi la Gor Mahia [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzoee tu mjinga huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anazingua.