Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why 2 weeks tho? Watu wengi wa tanzania wanafanya biashara na china. I expected myb 2 routes a week but it's just 1 route for 2 weeks? mbona kama naona it's a bad deal? Ama I'm I tripping?

Kwa Sasa China inaruhusu watu waliochomwa chanjo yao Kuingia China na ndio Criteria ya kupata Visa. Kwa sasa hakuna mbongo anaweza ingia China. Hizi flights wateja wengi ni Chinese Nationals wanaorudi Kwao.
 

Bros Venus Star ichoboy01 The best 007 NDINDA .. Kuna mkenya mmoja juz Kati kipindi venus anawapiga vitasa vya mabasi, alidai eti sisi tunategemea usafir wa mabasi tu, naomba mumtag aje aone mwenyewe mambo haya kwamba sio mabasi tu tuna treni na ndege na hakuna chombo chochote Kati ya hivyo ambacho hakijazi abiria, NB, Hizi ni treni tu za kawaida (MGR) zikija treni za umeme hii battle itabid isimame kwa siku kumi ikiwa kama ishara ya heshima
 
Dar es Salaam tupo na interchange tatu done ambazo quality yake sio kawaida no 2 no 3 sasa ka mkubwa Kim Dawizzy nataka nikujuze kwamba miaka minne nyuma hatukuwa na interchange hata moja en boom we now have three interchange, n mbili zenye hadhi kama hiz zipo under construction soon zinaingia mzigoni, sisi jo nani.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na unapiga kelele etiπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚, interchange tatu nchi nzima!., Moja three level kienyeji Sana, a simple Criss cross., matako ya masikini yanalia mbwataπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na unapiga kelele etiπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚, interchange tatu nchi nzima!., Moja three level kienyeji Sana, a simple Criss cross., matako ya masikini yanalia mbwataπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani unafikiri hali ilivyo saahii whistleblowers watakaa kimya!? Si umeona moto ulivyowaka Matarajio alivyotolewa? Hata Samia atakalishwa akienda sivyo!
Conforting yourself,huyo matarajio mara ya ngapi anakoswa koswa mbona hata marehemu wenu alimtumbua na kumrejesha?
 
Tulia wewe watu wafanye Kazi,nyie ndio wajinga ambao uwezo hamna ila mnataka 50/50 ambayo haitakaa uwepo

Mwingine anakwambia yabakie then itakuwa faida ya nani maana teknolojia inabadilika yanaweza kuishia kinyesi tuu baadae,wajao wasifaidike na wa sasa wasifaidike
 
Yani hizi numbers zinaonesha kiasi gani mzungu ni muonga wa mambo mengi ya Africa name hajui kitu.

Ati $20,000 ndio zinakifanya uwe kwenye top 1% Kenya! ? Kama ni hivyo basi wantanzania tuna pesa nyingi sana! !!

Mimi watu wenye $20, 000 in cash, ukitoa Fixed Assets wanafika hata 100.

Watu wanoenda China kufata mzigo wakiwa na dola 100,000 nawajua kama 50.

Na hao wote ni watu wa kawaidi tu. Tunakuaanao vijiweni. Huwa tunawaita "wako vizuri "

Kwa huku TZ naweza nikasema kwenye hii miji mikubwa. Dar, mwanza, arusha, zanzibar, mbeya. Mtu kuwa na dola 20, 000 ni kawaida sana.

Kwa hivyo naweza kuthubutu kusema sisi watanzania kunahela sana kuliko wakenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…