Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usipanic tulia mzee shirika lina ndege tatu chakavu miaka 40 alaf munauliza loss ya 333m usd πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hio hela inaweza nunua dream liner mpya na cessna caravan 30 na change ikabaki
Loss kila mtu ameipata, hata the so called 'first world' countries ka huangalii ni wewe. So kama kwenyu hamna losses zozote hii miaka miwili imepita, basi hamfai kuwa level hata ya Africa, au nasema uongo.? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Sitaki ubishi ndio manake nimeamua kufuta na kuachilia mbali
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 kwamba 2020 mulikua two thousand alaf 2021 with corona and lockdown mumefika twenty thousand πŸ˜‚πŸ˜‚
Nchi inakopa asha kumlipa juma with interest
 
Loss kila mtu ameipata, hata the so called 'first world' countries ka huangalii ni wewe. So kama kwenyu hamna losses zozote hii miaka miwili imepita, basi hamfai kuwa level hata ya Africa, au nasema uongo.? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Inategemea na loss huwezi kupata loss ikafika 333m usd wakat muna ndege tatu chakavu munazomiliki alaf mutuambie kila mtu anapata loss 🀣🀣🀣 mchawi mpe mwanao amlee kwanza
 
Umepanic tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hutaki bullet train
We siku yako itafika leo utoto kando, labda uje kistaarabu ndio nita argue na wewe..

Lkn usijali, huaga nina siku zako special za kukusemesha
 
We siku yako itafika leo utoto kando, labda uje kistaarabu ndio nita argue na wewe..

Lkn usijali, huaga nina siku zako special za kukusemesha
Hasira za uhuru ndio unatuletea sisi 🀣🀣 akawaingiza choo cha kike
 
Kuna sehemu lazima mulilaaniwa πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡
View attachment 1760903
Hiyo bullet trains ni editing jomba, tangu huu mradi uanzishwe sijawahi sikia ati bullet trains ndo zinaja, tunazojua ni hizo SGR za diesel tu. Usilete vitu visivyokuwa, hata hapo naona 2013 ilitumika kwa kuomba kura, uongo mtupu coz nilkuwepo na hakuna kitu ka hicho aliahadi isipokuwa SGR pekee. Get your facts right kiddo! 🀣 🀣 🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka vbaya mno
 
Aliepost ni nani mm au kiongozi alieua kenya πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kumbe alitumia kuomba kura hahahhaha na sasa akawaletea painted 1950s train
 
Mmoja ya wanafunzi walienda south korea kusomea huyu hapa sio porojoπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Inategemea na loss huwezi kupata loss ikafika 333m usd wakat muna ndege tatu chakavu munazomiliki alaf mutuambie kila mtu anapata loss 🀣🀣🀣 mchawi mpe mwanao amlee kwanza
Na ndo nimekwambia, bakini na faida yenyu tuone itazaa nini, ka si kicheko kutuachia huku! 🀣
 
June ni test ya kwanza itafanyika alaf august ndio safari ya kwanza kufanyika tuliza kipapa mzee [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
August mwaka huu huu, na isipofanyika utatoka jf sio ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…