Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hakuna watu wajinga dunia hii kama mkenya yani watoke kua na mullionarea 2000 mpaka 20000 within 12 months with this corona nchi imekufa inakopa halima kulipa asha
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hakuna watu wajinga dunia hii kama mkenya yani watoke kua na mullionarea 2000 mpaka 20000 within 12 months with this corona nchi imekufa inakopa halima kulipa asha
Wao wanatumia scale zao yn ukiwa na ksh 1mil tayari wewe ni dollar millionaire[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu ni mafala waliopitiliza πŸ˜‚πŸ˜‚ yani wao hufkiri watadanganya kila mtu hii dunia 21st century hata nzi huwezi mdanganya
 
Tonge mdomoni ila inauma alooπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nakushangaa umpeanic kuzidiwa na wakati hatujaanzaga leo, tafuta knightfrank kutoka 2010 ujichekie mwnywe km unabisha
Wacha mambo ya 2010, kipindi hicho matajiri wengi Tz walikuwa hawamo kwenye database walikuwa wanaogopa kukatwa kodi, Magu alipoingia mambo hayo yakapungua kwa kiasi kikubwa na ndiyo maana ukaona tumewapiga gap takatifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaiogopa ripoti ya 2021, errors zote za 2020 zikichakachukiwa..sai ni mwendo wa vitasa, eti nilishangaa kenya 2018 eti walikua 8000 ghafla mwisho wa 2019 wanasema 2000
Ss lete link from Knight Frank wakisema kwamba report ya 2020 ilikuwa na errors alafu lete report yao mpya ikionesha mnatukaribia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2019 phase 1 80%[emoji23][emoji23]
Leta ushahidi huo na mm nautaka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
2019 ilikua from 60 to 70 yani usitake upende usipende mwezi wa nane bullet electric train ya kwanza africa mashariki inaanza kazi πŸ˜… na trust me hutazuia kitu mzee wa dollar millionares
 
Mbona nyie hampo[emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu tuwekee hayo maelezo yako kitoka hapo kw link
 
Unaniletea maneno ya porojo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… siasa za twitter za kina kigogo na genge lake
SGR
Phase one 91% 300km
Phase two 58% 442km
Phase five site preparations 341km

Alaf tunashindana nnπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Airport inahusu ndege sio SGR. Uko sawa mkuu, au ushatoa loki? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Alafu mkipewaga ukweli na watu wa kwenyu mnaliaga sana, yaani tukitoa sisi porojo, akitoa mbongo, porojo. Nyie kubalini tu, ni hali ya maisha, msiaibike! 🀣 🀣 🀣
 
Fursa kwa watanzania sasa 🀣🀣🀣 nchi imekwisha mkate juu, unga juu, petroli haishkiki na sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…