Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Hivyo vijiwe vya kahawa mimi sivijui.

Report ya CAG ilikua amended. Mi sijawahi kuvijua or kufahamu vijiwe vya kawaha.

Wewe ni mmoja wa wana-kahawa.
 

Wewe unachojua ni kile ulichofindhishwa darasani, in absence of what you acquired from learning institutions, huna za kuzaliwa nazo.

Si wengine tulikua tunasoma na kuandika kabla hatujajua shule ni nini na tulikua na umri mdogo sana.

Former missionary mimi, sivijui vijiwe vya kahawa mimi.
 
ni kweli kabisa wizara ya ardhi inabidi ifanye kazi imelala sana kwenye planning @wizara ya ardhi
 
Unatumia free data alafu kelele kibaoooo
 
Air Tanzania inafika China lini?πŸ˜‚πŸ˜‚
Vp kushu kenya airways bado inamiliki ndege 3 chakavu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… naskia loss imefika 333m usd na hapo bado hamujasema ukweli
 
Hiki ndicho ulichoandika

β€œWewe unachojua ni kile ulichofindhishwa darasani, in absence of what you acquired from learning institutions, huna za kuzaliwa nazo”

Hizi ni hasira zako tu. Hunifahamu. Kwa hiyo huzijui academic qualifications zangu and more importantly, hujui my level of intelligence.

Bla bla bla...who cares if you were a missionary? Did you retire or drop out? If you retired, you’re actually wasting your potential. Nenda kanisani kafundishe Vijana kuhusu Mungu ili waogope kuwa mafisadi in the future! Sio kutengeneza propaganda hapa JF.
 
Unatumia free data alafu kelele kibaoooo
Haha, unakula facts, unanuna. Hakuna free huku ka huna hela itakula kwako. Msipende vya bure sana, wachina waliwajulia ndo maana wakawafanyia 'maovu' yale, loh. Ka mm president wenyu, namfukuzia mbali mchina akifanya utopolo ka huo, dadeki! 🀣 🀣 🀣
 
Who amended that report? And do you have any proof?
Yeah ninayo.

Dear brother,


Tuache kubishana pasipo sababu, there is a lot to learn from you na waweza kujifunza ubaya wa ujunga wangu.

Lets be neutral na tureason kwa pamoja.

Report ile ndio alikua apokee Magufuli, je ndio kind ya report angeletewa na CAG? NO.

Maana hata wewe umedai kua ufisadi ulikua ukifanyika gizani, let me say "could be" - meaning, CAG alikua akificha kwakua walikua wanamwogopa.

Sasa woga uliisha lini? Maana report mpaka March mwanzoni ilikua tayari.

Sasa wewe huoni hapo, kuna adjustments zilifanyika kwenye report baada ya kufa??
 
Vp kushu kenya airways bado inamiliki ndege 3 chakavu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… naskia loss imefika 333m usd na hapo bado hamujasema ukweli
Kwetu kuna loss lakini kazi kama kawaida, ndio hali ya biashara. Kuna kupanda na kushuka, ukizingatia janga linalokumba dunia kwa sasa. Huko Tz naskia zimelala AIRPORT zile zenyu, hazina kazi? πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…