Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwakweli hapa kazi ipo.
TTCL, hoyeee!... 😂 😂 😂 Mlisema aje eti, "if it's a fckng spade, call it a spade, not a gaddamn big spoon"... Nyie jirani nyie, nawazoom tu! 🧐😂








Wacha niwavutie "Safaricom" waje wawape push kiasi, au sio wazee!? 🤣
 
Nilie nn wakat BRT ya tanzania ndio imeshinda award duniani na sasa ina miaka mitano 😀😀😀😀😀 bado unaota BRT

 
Wasikilize citizen tv wakiongelea habari ya BRT tanzania 😀😀😀👇👇👇
 
Alaf wanashangilia humu ndani 😁😁😁 na sasa inaelekea 9trillion
 

Wala usilalame hapa!

Tunarudi kule kwa Kikwete, mnako kutaja.

Mwana-mkataa pema! Tulia dawa ikuingie🤣🤣🤣
 
Wala usilalame hapa!

Tunarudi kule kwa Kikwete, mnako kutaja.

Mwana-mkataa pema! Tulia dawa ikuingie🤣🤣🤣
Tafadhali usiniingize kwenye propaganda zako za siasa za Tanzania. Nimeshakwambia peleka story zako kwenye vijiwe vya kahawa. Kwani wakati wa Magufuli hakukuwa na ubadhilifu wa fedha kwenye taasisi za serikali? Au ufisadi haukuonekana kwasababu ulifanyika Sirini?
 
hapo ndipo government yetu ilizingua walifanya upuuzi ila kwa sasa washahamisha si jangwani tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…