Watanzania, mnajua hii kitu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ati 'oh mabasi ya mwendo kasi yanadumu, oh... Kumbe mchina kafanya yake tayari! 🤣 🤣 🤣 Poleni!! Dadeki!
View attachment 1760312
Mnajenga stand za BRT, jangwani??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 1760314
After flooding is what ur posting 😀😀😀 au kwakua BRT nyinyi hamuna na mushajua hamutakua nayoWatanzania, mnajua hii kitu? 😂 😂 😂 Ati 'oh mabasi ya mwendo kasi yanadumu, oh... Kumbe mchina kafanya yake tayari! 🤣 🤣 🤣 Poleni!! Dadeki!
View attachment 1760312
Mnajenga stand za BRT, jangwani??? 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 1760314
JPM aliwanyanganya tonge mdomoni (mradi mkubwa wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania EACOP) [emoji23][emoji23][emoji23]Alimuumiza nani kama sisi watanzania tunaona kua hatujaumizwa wewe mkenya inakuaje useme aliumiza watu wakat sisi watanzania tunaona hakuumiza watu na kafanya makubwa zaidi kuliko marais wote waliopita
Hebu nijulishe BRT ngapi zimekufa huko so far? 😂After flooding is what ur posting 😀😀😀 au kwakua BRT nyinyi hamuna na mushajua hamutakua nayo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na kwenye tanzanite aliwabana makende kisawasawaJPM aliwanyanganya tonge mdomoni (mradi mkubwa wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania EACOP) [emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani watampenda!
Ukimjulisha stress na depression walizonazo!
Nijulishe wewe ni ngapi zimekufa manake unaonekana unajua 😅😅😅 zinazokuja wame agiza zitakazotumia gas sasa endelea kujipa matumaini 😅😅😅😅😅Hebu nijulishe BRT ngapi zimekufa huko so far? 😂
Alafu ujue hatuna haraka sisi, mwendo wa aste aste tu hapa. Huku kwetu tunasubiri Scania ama Isuzu walete mzigo. Nafikiri unalijua hilo tayari! 🤣 🤣 🤣
Hahaha, poleni jamani, hela ya bure ilienda hapo sababu ya kukosa maona na kuwaachia wenye akili ya utopolo kufanya kazi za serikali! 🤣
Hamuna haraka miaka mitatu mulichora ya nn sasa hii kama hamuna haraka 🤣🤣🤣Hebu nijulishe BRT ngapi zimekufa huko so far? 😂
Alafu ujue hatuna haraka sisi, mwendo wa aste aste tu hapa. Huku kwetu tunasubiri Scania ama Isuzu walete mzigo. Nafikiri unalijua hilo tayari! 🤣 🤣 🤣
Wewe sio mtanzania, wewe ni MATAGAAlimuumiza nani kama sisi watanzania tunaona kua hatujaumizwa wewe mkenya inakuaje useme aliumiza watu wakat sisi watanzania tunaona hakuumiza watu na kafanya makubwa zaidi kuliko marais wote waliopita
Wewe ndio ujipe matumaini, ona hapa, na usilie 😢😂 sababu sio mimi naandika ni wabongo wenzio waliochoshwa na hali tata ya BRT! 🤣Nijulishe wewe ni ngapi zimekufa manake unaonekana unajua 😅😅😅 zinazokuja wame agiza zitakazotumia gas sasa endelea kujipa matumaini 😅😅😅😅😅
Scania Plans To Introduce Its Gas Buses In Tanzania
Scania Tanzania Ltd has made an announcement about its CNG (Compressed Natural Gas) buses and why they would be ideal for the Tanzanian market and especially for BRT city buses. This product is just one part of the company’s commitment in ensuring that they are driving the shift towards a...www.scania.com
For sure magu is in the depths of hell burning for ruining Tanzanians life'sSorry t
to say but he is now rotting or perhaps resting in hell[emoji19]
Kuchora kusikufanye unyongwe na tonge la dona! 🤣 🤣 🤣Hamuna haraka miaka mitatu mulichora ya nn sasa hii kama hamuna haraka 🤣🤣🤣
View attachment 1760334
Bila kusahau zile tit for tat..unajua hawa wajinga huwa wakifanya tit hawataki na hawapendi kufanyiwa tat sasa wakakutana na kiboko yao hakika aliwanyoosha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kwenye tanzanite aliwabana makende kisawasawa
Na mimi nilikuwa najiuliza swali Hilo hilo. Hawa watakuwa wanajenga mansions. Lakini kuna allocations za pesa hazileti sense. TZS 360 million kwa ajili ya uzio na landscaping?hello Tanzanians. hizi nyumba za wakuu wa mikoa na wilaya.. zinakuwa ni nyumba ya mkuu wa mkoa binafsi au zinakuwa za serikali?? yan kila mkuu wa mkoa anaekuja anakaa hapo?
afu hizi gharama sasa[emoji1438]♂️
Urban planning Tanzania ni aibu!! Hii population inavyokua kwa kasi tunatengeneza hatari ya miji yetu kujaa slums. Na wizara ya ardhi Sijui inafanya kazi gani? Hii thread inatazamwa na watu wengi mno. Basi toeni suggestions za kupanga miji yetu. Huwezi jua hizi discussions zitakuwa wake up call kwa hii wizara!
ni nyumba za serikali!Na mimi nilikuwa najiuliza swali Hilo hilo. Hawa watakuwa wanajenga mansions. Lakini kuna allocations za pesa hazileti sense. TZS 360 million kwa ajili ya uzio na landscaping?
View attachment 1760368
Sio kwamba masikini wa Kenya ana afueni, nope bali masikini wa Tanzania ni tajiri wa Kenya,Maisha ya kenya ni magumu kw wageni km nyie watz, mtanzania akija kenya atakufa njaa manake kila kity kitamshinda kuanzia bills mpka bidhaa na huduma zingine na wakaati mkenya wa kawaida akija tz ana mudu na kuwekewa heshima kitaani..
Stay to your lane please!!
Sawa. Lakini kuna hesabu hapo haziingii akilini mwangu.ni nyumba za serikali!