Bus kawajaribu mkamharibia bus lake jamaa kawakimbia[emoji23][emoji23]Na kwa akili yako bus car alitengezewa na dar coach haya lia sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1757925View attachment 1757926
View attachment 1757930
S.t kayumba product, siku zote kuelewa ni ngumu...We jamaa ujinga wako wa kijinga sana. Unasema wanaweza ila tatizo mfumo mbovu! Sasa wanaweza nini hapo! [emoji23][emoji23][emoji23]. Unaona sasa? Sasa hapo fananisha GDP yenu na hicho ulichoandika halafu uniambie mwenyewe. Shule ulipigwa ada wewe.
Huna hoja weweBibie kiswahili chako kina improve siku hadi siku,ukishakijua sawa sawa sasa utakavyowaringia mungiki wenzio!
Okay okaySawa, haya mabasi ya Moyale Coach yanayosafirisha abiria kutoka Nairobi hadi Moyale ni ya Tanzania, sii ya Kenya.
Mzee tumewawekea makampuni zaidi ya 65 mlikuwa kimya bila kutuonesha chochote. This is childish.Bus kawajaribu mkamharibia bus lake jamaa kawakimbia[emoji23][emoji23]
Ona kitu wewe..body by Master(made in kenya)View attachment 1759687
Ona mpuuzi mwngine naye kaja kuandika pumba, hujui india kilichowafanya wengi wao wabakie katika lindi la umaskini ni nini..India inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya maskini duniani, Japan ina watu wenye kipato kikubwa kuwazidi Marekani
In short Japan population ni 126 million
Wakati India population ni 1.5 billion
Wewe mkenya ni kilaza kupindukia
Dodoma ilichapwa mpka na thika, kuna kipi lipi la maana hko zaidi ya majengo ha serekaliDodoma City Mall
Kuna mkenya alikua anafananisha Dodoma na Isiolo [emoji28]
View attachment 1759488View attachment 1759490View attachment 1759491View attachment 1759492View attachment 1759493
Hoja kwishaa[emoji23][emoji23]Mercedes Benz ni[emoji116][emoji116]View attachment 1759496
Leo nataka nikutoe matongo tongo, we unafikiria sisi tunategemea mi body ya kichina[emoji23][emoji23]Mercedes Benz ni[emoji116][emoji116]View attachment 1759496
Hatutumii michina sisi[emoji23][emoji23]Mzee tumewawekea makampuni zaidi ya 65 mlikuwa kimya bila kutuonesha chochote. This is childish.
Issue ya buses imefungwa. Ondoa takataka zako.
The coach in TurkanaLeo nataka nikutoe matongo tongo, we unafikiria sisi tunategemea mi body ya kichina[emoji23][emoji23]
Cheki body zilizoundwa na kampuni za kenya hzoView attachment 1759691
Mzee mbona unajitesa mwenyewe.Hatutumii michina sisi[emoji23][emoji23]
Nyie sio wakushindana nasi..kenya ni level ya kivyake ukanda wote huu
Najua hutaki lkn jaribu tu hata km hutameza utatema, iko siku moja na wewe utazoea [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]The coach in Turkana
View attachment 1759693
Maskini bus car sijui kashauri na nani jamani kuundiwa body na wachawi[emoji23][emoji23]
Afadhali ukapeleka kamoja, alipojua kapigwa akarudi mbio mbioView attachment 1759695View attachment 1759696
Hilo ni basi sio, pole sana kw kuchanganyikiwa
Moyale ipo chato mzee baba nimepitikiwaHayana number plates tutajuaje kama ni ya Kenya?
Mwanaume mzima unashinda ukipost picha za mwanamke ukimchekelea sura yake, hivi wewe ni shoga?Sura kama Wanyama pwahahahahha!!!
View attachment 1758187
Kama mtu anasura mbaya tusiseme!?Mwanaume mzima unashinda ukipost picha za mwanamke ukimchekelea sura yake, hivi wewe ni shoga?