Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona unadunga hawa watu sindano mzito kabisa. Endelea vivyo hivyo. Wajue Tanzania sio ligi ya Kenya. Wao bado wanacheza baby league.
Msaidie kuleta evidence kwa alioleta alaf umsifu sasa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Muda haujafika kuna techniques za kimaendeleo mzee tulia 🀣🀣🀣
 
Nakuunga mkono, sis shughuli za ufukweni mwa bahari(bandari) ndixo za tupsisha jiji lionekane bomba
 
Hehehe... Inauma najua. Pole mkuu, sio kupenda kwetu! 🀣 🀣 🀣
Nimecheka sana leo kwamba kemya ndio mutemgeze body za benz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona mumeumia kuona huku benz zinatumiaka na ziko za kutosha
 
Wewe lazy guy, evidence yote hadi links ziko huko juu tayari, fanya kazi ya kusoma acha porojo na povu jingi! 🀣
Hii ndio evidence ya zile porojo πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡ unatafuta pakutokea hapa hutoki mzeee leta evidence kwa porojo zote ulizoongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…