Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa kachanganyikiwa sana, kikubwa alichobaki nacho ni emojis tu walai
Yani nichanganyikiwe kwa maneno ya porojo 🤣🤣🤣 msaidie kupata evidence mwenzie
 
Vpn sio curfew kwamba ikifika muda muflani hakuna huduma 🤣🤣🤣 curfew ni sheria mliotungiwa na mzungu ili mikopo iendee kudumi 😅😅😅
yaani in 2 hours atapotea humu...! anajifanya ati ameni-mind nimemtukana ati nimemuita mjinga/mshenzi/Mpumbavu yaani mamba anamwambia mwamba mwenzie domo linanuka!
 
Am not the CEO nor the Marketing Director of Mobius Co., so kafanye mwenyewe huo uchunguzi. Na btw, mtu hununua akipendacho kutegemea hela aliyonayo!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nilijua huwezi kutokq kwenye hili swali
 
Kupanua kwani isuzu ni kampuni ya kenya ?? 🤣🤣🤣 isuzu kenya ilishafeli na kashafika mwisho sasa kaona aje moja kwa moja tanzania ajaribu bahati yake
Akili yako pumba sana, aliyesema ni ya kenya ni nani, wako na branch Kenya, eka hiyo kwa akili yako finyu. Alafu ujue wenye kampuni wakitaka kufungua pahali popote pale, hawana shida, hela ipo, kijana.
Hata wakichoka na Kenya watatoka na wengine kuchukua nafasi hiyo! 🤣
 
Nimekuuliza, what's the cause of panicking, wakati naona maajabu... On.. Off... Zipelekeni kwa fundi Johny! Dadeki! 🤣 🤣 🤣
Kwani isuzu ni kampuni ya japan?? Hvi kuna sababu gani yakugungua tanzania wakat kenya ipo?? Na kenya ni pua na mdomo kwann waje tanzania mm nakwambi biashara ya isuzu kenya ilishafika kikomo 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…