Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,221
- 35,616
Kama tusingekuwepo nairaland kule,wakunya wangeshazipeleka hizi picha wakidai hapo ni kunyalandMbezi Luis dar. Wakenya wataendelea kuugulia kwa ndani sisi tunasonga mbele
View attachment 1758535View attachment 1758536View attachment 1758537View attachment 1758538
Dodoma ni Jangwa, watu wanavuna zabibu na kutengeneza mvinyo watu tulewe *****,16. DODOMA
Dodoma ndio makao makuu ya Tanzania. Dodoma umepakana na Morogoro, Manyara, Iringa, Singida
KILIMO CHA ZABIBU DODOMA
View attachment 1758038View attachment 1758039View attachment 1758040View attachment 1758041View attachment 1758042View attachment 1758043
Si gari la kampuni hilo nyie, hebu nipe number plate kwanza! 🤣Haya lia sasa🤣🤣🤣🤣🤣 serena hotel dar
View attachment 1758497
"Mkuu", 😁 hivi unataka sema viwanda vya ku assemble magari hatuna? 😂 😂 😂 Waulize kaka zenyu SA, watawapa majibu! 🤣Haya mambo yanawatesa sana akina Mama Ngina na Kalonzo Msyoka.
Kiwanda cha kuunganisha Magari.
Hatujawaomba wakitaka walete tenaDodoma ni Jangwa, watu wanavuna zabibu na kutengeneza mvinyo watu tulewe *****,
Kuna nchi nyingine wanakufa njaa wanasingizia kuwa wana maeneo ya jangwa na wakati huohuo wanapokea misaada ya chakula toka nchi ambayo ni almost 100% jangwa,
Nani lilaani Kenya?
View attachment 1758630
Curfew ndio wanakimbilia, hakuna mtu anataka kulala selo
Samia hangoki ng'oJamaa kaweka wazi kuhusu mipango ya vigogo wa CCM kutaka kumnyima uenyekiti Rais Samia, kachana sana wazi wazi bila kificho mzee, itafute you tube ujionee, kuna sehemu anakwambia kama hawataki basi wewe kubali ila waambie unatoa kinga ya rais alafu tuanze kuwamulika mipango yao haramu nchini humu, itafute mzee jamaa kaongea mengi mnooo, atari atari kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tunaita maskini akipataHaya mambo yanawatesa sana akina Mama Ngina na Kalonzo Msyoka.
Kiwanda cha kuunganisha Magari.
... Wowowo hulia pwata pwata pwata! 🤣Hii tunaita maskini akipata
GDP ni nn kaka? Uliskia wapi imeandikwa gdp ndio maendeleo..Kweli kabisa just imagine nchi kama Kenya ipo mbele kwenye Gdp, Gdp sio kipimo sahihi cha maendeleo, Kenya ipo hovyo kupitiliza
We jomba mkorofi sana, eti wowowoo[emoji1787][emoji1787]... Wowowo hulia pwata pwata pwata! [emoji1787]
😂 😂 😂We jomba mkorofi sana, eti wowowoo[emoji1787][emoji1787]
Kw kometi hyo ya mwenzako mbona pumba, yani inamaana hajui lolote kuhusu biashara huyo bwege..Mzee mbona siku hizi mmekuwa watu wa kulaumu tu!? Hakuna kitu cha kutuonesha!? Mnapeana zamu.
We mzee tena unajiskia kweli, heri nikuachie dunia mzee baba
Kuna NBS,Kisbo,HBS.Na bado kunama kampuni mengine km superfeo