Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Naona Tanzania ni mwendo wa kula bata kila kona, alafu vipi mbone bado title ya "third world" country bado iko. Hapo hata Europe naona hawatoshi, Tz, huko kila kona ni shibe na hela mfukoni, au sio wazee! 🤣 🤣 🤣 🤣Sasa nimemaliza Task niliyokuwa nimejipatia.
Nawqrudia sasa wanaopiga kelele.
Mzee kama umeingia hapa JF kwa upumbavu wako huu tutakuaibisha.Mimi siposti utopolo wenyu, angalia yamejazana humo ndani! 🤣
Hahah mzeee acha ushamba hiyo ni marcopolo g7 achana nayo. Powered by ScaniaaHiyo "Tanzania bound buses" umeandika wewe, hata huna haya, yaonekana! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Oya kama huna cha kuandika ni vyema ukakaa kimya. Siyo lazima.Naona Tanzania ni mwendo wa kula bata kila kona, alafu vipi mbone bado title ya "third world" country bado iko. Hapo hata Europe naona hawatoshi, Tz, huko kila kona ni shibe na hela mfukoni, au sio wazee! 🤣 🤣 🤣 🤣
Olaa hawa jamaa noma, mabasi ya mwendo kasi eti, BR... What?? Anyway hayo,mbona huwa ndani yako over packed namna ile, hamwogopi kusichafuke hewa humo ndani, itakuwaje??? 😂Unatuletea gari za miaka saba kumi iliyopita, number plate KA mbona ya kitambo sana..watu wako D sasa
Michina hoyeeeeee!![emoji1787][emoji1787]Wao wana kina 'youtong, xan xei, zip tan, mai pei'... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Oyaa aaaa! [emoji1787]
Si nyinyi mmeyaweza maisha, mbona kukifungwa mipaka huku, ishakuwa taabu? 😂Oya kama huna cha kuandika ni vyema ukakaa kimya. Siyo lazima.
This is a battle Mzee. Leta vitu vyenu tuvione.
Unatuletea gari za miaka saba kumi iliyopita, number plate KA mbona ya kitambo sana..watu wako D sasa
Huyo aliyesababisha hayo lazma sahi hana "citizenship status" ya Tz! 🤣 🤣 🤣 🤣Michina hoyeeeeee!![emoji1787][emoji1787]
Jionee mwnywe ndugu hayo maboksi manake nikisema mimi mhogo nitaambiwa nina miziziView attachment 1758167View attachment 1758168View attachment 1758169View attachment 1758170View attachment 1758171
Huja upgrade kitu, hapo nilkuwa yunge aka Young boy bado! 🤣haya basi an upgrage! happy?
Ndio usafiri wenu mkuu kwasababu mabasi machache uko😅😅😅14 seater, ni bus mkuu? Fikiria kwanza kabla ya kuandika. Alafu hizo 14 seater ntakuletea nikuchape nazo, wajua tayari vituko vyetu! 🤣
Kwaio unasema yale majina pale juu, yako kweli kwenye gari lile. Hata kama mnayo, onyesha ya kwenyu sio ku edit gari. Hapa hakuna kindergarten fellas! 🤣Hahah mzeee acha ushamba hiyo ni marcopolo g7 achana nayo. Powered by Scaniaa
Onesheni misufuroa yenyuuView attachment 1758165View attachment 1758163View attachment 1758164
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa nimemaliza Task niliyokuwa nimejipatia.
Nawqrudia sasa wanaopiga kelele.
Jifunzeni kwanza kuoga. Mwambie asafishe hapo katikatiHuja upgrade kitu, hapo nilkuwa yunge aka Young boy bado! 🤣
Mazee, basi linatanuka tanuka km mwanamke asiyekua na adabuHuyo aliyesababisha hayo lazma sahi hana "citizenship status" ya Tz! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Shuttles huwezi gusa, yani hyo sekta achana nayo kabisaNdio usafiri wenu mkuu mzee kwann ubishee[emoji23][emoji23][emoji23] riftvalley shuttle mnapandia afya centre jengo la kijani 14 seater nauli 800 mpaka eldy sijui nakuru
Michina hoyeeeeee!![emoji1787][emoji1787]
Jionee mwnywe ndugu hayo maboksi manake nikisema mimi mhogo nitaambiwa nina miziziView attachment 1758167View attachment 1758168View attachment 1758169View attachment 1758170View attachment 1758171
Safari fupi ka za dakika tano hivi, urefu,bado mwataka tupande Scania na Mercedes?Ndio usafiri wenu mkuu kwasababu mabasi machache uko😅😅😅
Ati? hebu pita hukuShuttles huwezi gusa, yani hyo sekta achana nayo kabisa
Hatutegemei mabasi ya masfa marefu pekeake[emoji1787][emoji1787]Ndio usafiri wenu mkuu kwasababu mabasi machache uko[emoji28][emoji28][emoji28]