The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Ndo mnavyofundishwa hivi darasani, na mbn mnasoma pekeenu tu historia hii isiyojulikana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nchi na nchi [emoji848] haha Kenya tupigane na nani wakati hatuna uadui na nchi yoyote ile? [emoji23]
Huyo Idi Amin mliyempindua, alijaribu huo utopolo Kenya, ati hadi Nairobi iko mipaka yake, angekuwepo leo ungemuuliza, mbona hakujaribu bahati yake.
In February 1976, the then Uganda leader Idi Amin Dada infuriated Kenyans when he claimed that a large part of Kenya belonged to Uganda.
A couple of days after his remarks, a mass demonstration was organised at Nairobi’s Uhuru Park, where Mzee Jomo Kenyatta declared that Kenya would deal ruthlessly with neighbours who publicly expressed “their sinister intentions”.
Although Amin clarified that he had no intention of going to war but would write to the Queen of England to demand an explanation, his unpredictability was Kenya’s greatest fear.
It was believed that he was being incited by President Siad Barre of Somalia, who was laying a similar claim to the northeastern part of Kenya.
Wivu mbaya, yani mpka waturkana unawaonea wivu[emoji23]Wakenya na mavi yao hahaha
View attachment 1755656
Umeumia eehh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kibongo bongo katika icha ya pili kwao ni kifaru
Malizana kwanza na hawa.Kibongo bongo katika icha ya pili kwao ni kifaru
Kuna nchi inaitwa Turkana?Wivu mbaya, yani mpka waturkana unawaonea wivu[emoji23]
So sisi tulikuwa na silaha za kisasa au sio [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji2781][emoji2781][emoji706][emoji706]Vita vya Idi Amin, wakati hata vifaa vya kisasa bado kulikuwa hamna,, bure kabisa!
Kwahiyo waturkana siyo wakenya.Wivu mbaya, yani mpka waturkana unawaonea wivu[emoji23]
So nyie mnamiliki toy au sio [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]Nikuonyeshe toy za kazi gani
Haha, kadanganye watoto. Hata hamjatengeneza hilo APC, South Africa wako na company yao inayotengeneza hayo madude Kenya. Njooni tuwakopeshe! 🤣Sasa kama ninyi hamuundi vifaru sisi tinaunda. Katuwezi kufanana na nyie bado ni wachanga sana mnanyonya nyonyo za wakoloni aka Queen Elizabeth
Made in Tanzania
View attachment 1755632
Nimesema mambo ya kitambo usituletee hapa, Mmarekani yeye alishindwa na Somali, sisi bado tuko, jaribu kufikiria! 🤣So sisi tulikuwa na silaha za kisasa au sio [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji2781][emoji2781][emoji706][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tony254 na komora096 mnasemaje hapa mana kwnz tukubaliane kabla haijaletwa evidence [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haha, kadanganye watoto. Hata hamjatengeneza hilo APC, South Africa wako na company yao inayotengeneza hayo madude Kenya. Njooni tuwakopeshe! [emoji1787]
Jiulize, mbona Nairobi iko Kenya bado na ati mlikuwa mwamuogopa huyo Amin? Si sahi Nai ingekuwa UG basi? 😂 😂Ndo mnavyofundishwa hivi darasani, na mbn mnasoma pekeenu tu historia hii isiyojulikana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba wakati mmarekani anashindwa na Somali alikuwa bado hana silaha za kisasa au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we mbuzi [emoji238] kweli wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimesema mambo ya kitambo usituletee hapa, Mmarekani yeye alishindwa na Somali, sisi bado tuko, jaribu kufikiria! [emoji1787]
Hizo ni peace keeping missions, wacha utopolo ka hukuenda shule. Aliyekwambia ni vita ni nani, yaani hata kusoma kumekushinda! 🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa nimekudharau sana ,,,,kwa hiyo hivyo ndiyo vita mlivyopambana kenya na kushinda...?...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
kudadeki kenya kweli noma
chizi ni chiziView attachment 1755639View attachment 1755640View attachment 1755641
Njooni Somalia, tucheze kamari ka mwaweza, hata UG iliwashinda kitambo, wana experience ya kutosha mbone, wako huku pia. Jileteni vijana, tuchape kazi za kiume, kufa gari, kufa dereva! Wacheni kujificha makambini huko! Dadeki!Kwamba wakati mmarekani anashindwa na Somali alikuwa bado hana silaha za kisasa au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we mbuzi [emoji238] kweli wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukisema Tanzania ni nchi ipo mbele yenu mnatakiwa mtulie. Nyie bado mnapambana na njaaHaha, kadanganye watoto. Hata hamjatengeneza hilo APC, South Africa wako na company yao inayotengeneza hayo madude Kenya. Njooni tuwakopeshe! 🤣
Ushafanya editing tayari, nishakunusa kitambo tu! 🤣Tukisema Tanzania ni nchi ipo mbele yenu mnatakiwa mtulie. Nyie bado mnapambana na njaa
View attachment 1755669
Haya ni maonesho ya mwaka 2015.Ushafanya editing tayari, nishakunusa kitambo tu! 🤣