President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,718
- 94,411
Sasa kama ninyi hamuundi vifaru sisi tinaunda. Katuwezi kufanana na nyie bado ni wachanga sana mnanyonya nyonyo za wakoloni aka Queen ElizabethWapi nimesema kwamba sisi tunaunda vifaru? The best 007 ndiye anadai kwamba nyinyi mnaunda vifaru.
Boss naomba uelewe tofauti ya armoured personel carrier (APC) ambayo ni ndogo kushinda kifaru na most of them zina migurudumuSasa kama ninyi hamuundi vifaru sisi tinaunda. Katuwezi kufanana na nyie bado ni wachanga sana mnanyonya nyonyo za wakoloni aka Queen Elizabeth
Made in Tanzania
View attachment 1755632
Nimekubia Tanzania hamuiwezi. Nikianza kukuwekea hapa utakimbia humu ndani.Boss naomba uelewe tofauti ya armoured personel carrier (APC) ambayo ni ndogo kushinda kifaru na most of them zina migurudumu
View attachment 1755633View attachment 1755634
Na kifaru ambayo ni nzito na ina tracks badala ya migurudumu
View attachment 1755636View attachment 1755637View attachment 1755638
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa nimekudharau sana ,,,,kwa hiyo hivyo ndiyo vita mlivyopambana kenya na kushinda...?...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Kenya's first peacekeeping deployment was to UNTAG in Namibia; from 1989 to 2001, Kenyan troops took part in UNTAG, UNOSOM, UNPROFOR, UNCRO (Croatia), UNTAES, UNOMIL, UNPREDEP in Macedonia (1996–1999), MONUA in Angola (1997–1999), and UNTAET in East Timor (1999–2001).
Haya, hizo hapo. Najua nyinyi mlipigana mission kama za Rambo na Arnold! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Acha ujinga,USA haiwezi kushindwa vita na kakikundi Kama ISIS,ukweli ni KWAMBA, Marekani hawana maslahi ya maana Afghanistan,au inawezekana,wameishapata walichokuwa wanataka ndio maana wanaondoka,acha ufala,KDF ni waoga na hawana uwezo bana.Hata nyinyi mngekuwa sisi, hamgewashinda hao alshabab, bora sisi twajaribu. USA hadi wa leo wanatoka Afghanistan, na bado Alqaeda na ISIS wapo hawajaisha na hapo ukumbuke ni the USA pamoja na nchi zingine zilikuwa kule. Terrorism sio kitu cha siku moja, so wacheni kuvimba mnapocharaza kundi la vijana ambao hata vifaa vya maana hawana.
Sahi mwambie mwende Libya huko mkasaidie vikosi vya serikali kuangamiza waasi wa ISIS, mtaenda nyie "makomandoo"? 😂 😂 😂
basi ndiyo mjijue kuwa bado wachanga msishindane na nchi ambayo inajua maana ya vita..Nchi na nchi [emoji848] haha Kenya tupigane na nani wakati hatuna uadui na nchi yoyote ile? [emoji23]
Huyo Idi Amin mliyempindua, alijaribu huo utopolo Kenya, ati hadi Nairobi iko mipaka yake, angekuwepo leo ungemuuliza, mbona hakujaribu bahati yake.
In February 1976, the then Uganda leader Idi Amin Dada infuriated Kenyans when he claimed that a large part of Kenya belonged to Uganda.
A couple of days after his remarks, a mass demonstration was organised at Nairobi’s Uhuru Park, where Mzee Jomo Kenyatta declared that Kenya would deal ruthlessly with neighbours who publicly expressed “their sinister intentions”.
Although Amin clarified that he had no intention of going to war but would write to the Queen of England to demand an explanation, his unpredictability was Kenya’s greatest fear.
It was believed that he was being incited by President Siad Barre of Somalia, who was laying a similar claim to the northeastern part of Kenya.
Hakusema hivyo!!! 🤣 🤣 🤣Mzee hizo vifaru mnatengeneza nyie!?
Vita vya Idi Amin, wakati hata vifaa vya kisasa bado kulikuwa hamna,, bure kabisa!basi ndiyo mjijue kuwa bado wachanga msishindane na nchi ambayo inajua maana ya vita..
bado watoto hamtoshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2]
Kazi zenu wakenya ni hizo.Hakusema hivyo!!! 🤣 🤣 🤣
Nikuonyeshe toy za kazi gani
Wapuuze hao[emoji23]Hio toy car ndio mnaita kifaru? Umewahi kuona wapi kifaru yenye migurudumu? Vifaru ambazo mimi nazijua zina chains zinazoitwa tracks. Yaani minyororo badala ya migurudumu. Hii ya migurudumu pengine itakuwa ni armoured personel carrier (APC). Nyinyi hamna na pengine hamtawahi kuwa na uwezo wa kuunda vifaru.
Kifaru kinakaa hivi.
View attachment 1755616View attachment 1755617View attachment 1755618
Kw lugha nyngine tunaita toy[emoji23][emoji23]Sasa kama ninyi hamuundi vifaru sisi tinaunda. Katuwezi kufanana na nyie bado ni wachanga sana mnanyonya nyonyo za wakoloni aka Queen Elizabeth
Made in Tanzania
View attachment 1755632
Unaijua hii wewe. Tukiiweka Dar inaichakaza Nairobi.Vita vya Idi Amin, wakati hata vifaa vya kisasa bado kulikuwa hamna,, bure kabisa!
Hatuiwezi majaribio hzo toy zenu yalifanyiwa wapi[emoji23][emoji23]Nimekubia Tanzania hamuiwezi. Nikianza kukuwekea hapa utakimbia humu ndani.
Wakenya na mavi yao hahahaKw lugha nyngine tunaita toy[emoji23][emoji23]