Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It was too obvious one plus one was not adding up, lakini wengi wanajifanya kutojua, kwanza hii narrative ya "tunajenga kwa pesa za ndani" was too obvious a fallacy, with weak annual revenue in relation to the budget!!!.,
Can you remember the noise they made here when their government told them that they have ordered electric trains from South Korea? They even made conclusion that it was ITX type of train. The truth is now coming out that no order was made by their govt, those were just propaganda. They are now discussing on mode of acquiring such trains, whether to let the investors to buy and operate them or just to let the govt to buy.

Screenshot_20210410-113345~2.png
 
buda unaandika kama mlevi,

ni propaganda gani unazungumzia hapa!!!
magufuli amejenga reli ndio hiu tunaringia hapa.

magufuli amejenga bwawa la umeme ndio hilo tunawasumbua nalo hapa.

magufuli amenunua ndege kwa pesa za nchi,ndio hizo tunawatambia hapa.

magufuli amerudisha uwajibikaji ofisini,ndio maana unaona africa nzima imemjua haraka kabisa.

magufuli ametuonyesha njia wakati wa corona ulike kwenu hata hamuelewi mshike lipi??

propaganda zipi hapo???
Napitia uzi naona wanaongea tu... yani wanataka tufane kama wao. Kisa nchi yao ime washinda wanataka na sisi tuwe kama wao.

Yani we ukiona comments zao we vunga tu coz utakua unapoteza brain cells zako ata ukiwa jibu.

Hao ndo wakunya bwana tuwa zoe tu.
 
Can you remember the noise they made here when their government told them that they have ordered electric trains from South Korea? They even made conclusion that it was ITX type of train. The truth is now coming out that no order was made by their govt, those were just propaganda. They are now discussing on mode of acquiring such trains, whether to let the investors to buy and operate them or just to let the govt to buy.

View attachment 1748247
Damn what a full... we jama unaishi kwenye zizi au vp. Kwani nani kakuambia huwezi decline the order you made. Inaonekana we ni mlinzi na sio mfanya biashara... afu usijifanye kwamba tume kusahau mr mapesa ....

Na tanzania gov iki involve private companies tu na kuto kuipa govnt a big priority we jua hi sgr itakua na migogoro sana... ndo yale ya KQ.. it's sad... kilasiku nitasema mzee tuta mkumbuka 💔.

Na Mr mapesa nenda ukalinde huku hakukuusu
 
Damn what a full... we jama unaichi kwenye zizia au vp. Kwani nani kakuambia huwezi decline the order you made. Inaonekana we ni mlinzi na sio mfanya biashara... afu usijifanye kwamba tume kusahau mr mapesa ....

Na tanzania gov iki involve private companies tu na kuto kuipa govnt a big priority we jua hi sgr itakua na migogoro sana... ndo yale ya KQ.. it's sad... kilasiku nitasema mzee tuta mkumbuka 💔.

Na Mr mapesa nenda ukalinde huku hakukuusu
Pesa inatafunwa kama miwa😂😂

Uchumi wetu unapaswa kuenenda kwa misingi aliyoijenga mwamba. Kipimo cha uchumi kiwe ubora wa maisha na si figures za kufikirika. The nation was changing for the good. Huo huitwa uchumi shirikishi.

Mfano: Kwenye madini. Kwa miaka mi5 iliyopita tuliweka nguvu kubwa zaidi kuwawezesha wachimbaji wadogo wadogo wengi zaidi. That way tukaanza kuwa na matajiri wadogo wadogo wengi akina Laizer.

Unlike mfumo unaolazimishwa kurejea sasa ambapo uchumi utamilikiwa na watu wachache. Kauli na maamuzi kama "Kitalu C asiweke mtu mkono wake, na hao walioanza 'kuvamia' waondolewe mara moja. Kile kina kazi maalum".

Kwenye mfumo huu our major means of production zitamilikiwa na wageni wachache kwa kisingizio cha uwekezaji. Day light theft.

Huo ndio upuuzi unafanyika kwenye failed states kama Ethiopia, Kenya, na Zambia. GDP kubwa maisha in general magumu.
Tanzania is a very prosperous nation without dependence on external factors like like Kenya, Ethiopia etc., that's why Kenya is a failed state, everything is owned by the white.
What a load of BS

Kudos keep the momentum.
 
Everything is owned by the whites[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23] name those everything one by one nione[emoji1787][emoji23],. propaganda wachia watanzania..,
 
..but by now you guys have seen why propaganda is bad, haina shelf life ndefu, you can't hide uchafu mvunguni for life, one way or the other lazima ukweli ushinde porojo na propaganda. Truth always prevails.
Some things a rather not be said as long the vision is reached. Ivi nyie mnathani ata ma kampuni makubwa yaliopo saivi duniani/countries yalikua transparent to everything they did? Some things are not important to be informed to the public knowledge. Coz kila penye maendeleo hapakosi dosari mnatakiwa mjue hilo jamani... as long tunafika tunapo taka kufika dosen't matter what u do.

Sasa mnathani mama samia ndo ata sukuma hili gurudumu bila kua na dosari? Na yeye akiwa bado anaongoza nchi na wakawa wana anika kila kosa linalo tokea ivi tutafika kweli? Sasa si kila mtu ata onekana ni wale wale tu..

Ivi mnathani china na haya maendeleo yote wanayo pata hawana wapigaji? Lakini wameweza kuendelea kwasabu wamejua ni kipi kina manufa kwa public eye na kipi sio ili mladi maendeleo yana onekana na nchi inazidi kusonga mbele.

Kiukweli DEMOCRACY ndo progaganda nguli. Coz you can come with different type of agenda haijali ya ukweli au uwongo just to hinder what's on the table.

Wafrika jamani tujiongezage. We should think deep.
 
Everything is owned by the whites[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23] name those everything one by one nione[emoji1787][emoji23],. propaganda wachia watanzania..,
Mention things owned by blacks then? Exclude kenyata family🤣🤣🤣 coz hao ndo wenye nchi
 
Mention things owned by blacks then? Exclude kenyata family[emoji1787][emoji1787][emoji1787] coz hao ndo wenye nchi
Stick to your lane for now. Pambaneni na ukweli kwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Stick to your lane for now. Pambaneni na ukweli kwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Obviously ni siasa 7hizo yata pita kama mvua tu... tuta sahau as long matumbo hayakosi msosi 😂😂😂.. it's not that serious
 
Ohh, I see, my bad[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nimeshikwa na nimekubaki kushikamana[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
Tanzania is a very prosperous nation without dependence on external factors like like Kenya, Ethiopia etc., that's why Kenya is a failed state, everything is owned by the white.
What a load of BS

Kudos keep the momentum.

You are missing the Sarcarsm!
Ukweli huwa unakawaida ya maumivu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Do you even read what you write before clicking "post reply"? So, according to your " profound intelligence," President Hassan is using the CAG to ruin every single project that the late Magufuli started because she cannot handle the workload? That's one hell of an assumption! I would gladly be willing to discuss it with you, but it's simply just CONJECTURE! Kwa nini ni ngumu kukubali kuwa kuna mambo mengi serikalini hayakuwekwa wazi hapo nyuma? Tweet niliyoleta ni fact kutoka kwenye ripoti ya CAG, wewe unaniletea tweet ya some random person ambaye simfahamu. Halafu unasema kuwa"maswala ya intelijensia yako nje ya upeo wangu". Ka-discuss hizi conspiracy theories na wenzako kwenye vijiwe vya kahawa!
Braza, jifunze kuhoji mambo, usiwe mtu wa kupokea kila liletwalo kwako
Tujipe muda.
 
Can you remember the noise they made here when their government told them that they have ordered electric trains from South Korea? They even made conclusion that it was ITX type of train. The truth is now coming out that no order was made by their govt, those were just propaganda. They are now discussing on mode of acquiring such trains, whether to let the investors to buy and operate them or just to let the govt to buy.

View attachment 1748247
This shows how dwarf your brain is, do you understand what he was talking?, your IQ is to low to capture the concept, he is advising the Parliament to rethink of allowing private people also to be allowed to buy and operate trains concurrently with Government, currently only government is allowed to use SGR.

Because you are stupid, can't even think twice that, at this stage whereby the first phase is almost 99% completed, how can it be possible that there is no locomotives/trains that have been procured, what was the purpose of building SGR which spent billion of $?, use your fake brain wisely.
 
Back
Top Bottom