ni kweli kabisa hzo zote zifuatazo ni impacts za hayati magufuliMkuu zumekuja baada ya kutengenezwa....so hizo ni impacts za miradi iliyoanzishwa na Jpm
Total wameamua kujenga crude oil terminal worthing $1.6 bln!Juhudi za magufuli leo zinaenda kutimia
Ni vita alipigana hayati magufuli maskini tutamkumbuka kwa vita hvi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿Total wameamua kujenga crude oil terminal worthing $1.6 bln!
Unacheka nini? Angalau sisi tunaunda bunduki yetu badala ya kuimport kama nyinyi.
Munaunda bunduki ushuzi mtupu nchi inatapika madeni sahivi hamuwezi kula chakula bila mkopo sasa hvi 🤣🤣🤣Unacheka nini? Angalau sisi tunaunda bunduki yetu badala ya kuimport kama nyinyi.
ASA nyie mnapigana na UK kwa lipi? Labda kwa mfano🙂 Mnawaitaji UK mara Mia Zaid ya wanavyowategemea nyinyi hapo wazee wa kujipendekeza😏Saa hii Kenya inapigana na UK. Hao sio marafiki zetu.
Sisi mbona tunatengeneza artillery zetu?Unacheka nini? Angalau sisi tunaunda bunduki yetu badala ya kuimport kama nyinyi.
Mkuu achana nae huyo[emoji849]aliyekuambia mimi mnyarandwa ni nani?kwahiyo unataka kuniambia hiyo picha uliyoweka ndo wewe mwenyewe?
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Unacheka nini? Angalau sisi tunaunda bunduki yetu badala ya kuimport kama nyinyi.