huyu Mama yupo sawa na tz mnahitaji uongozi kama huu ili mawazo yenu yapanuke....napenda sana mawazo ya huyu mama, amekomaa sana. nampenda bure tu... natamani nikutane naye nimpongeze. Huyu ndiye atawatoa gizani...mlikuwa mmezubaa sanaMe nakwambia ninapofanya kazi raia hawamuelewi kabisa huyu mama, kila mtu ana hasira kichizi na tayari conspiracies kwamba anahusika na kifo cha mzee zinajiumba
Ameanza vibaya sana, yaani Ameanza uongozi wake kwa kumvua nguo mzee na kutuaminisha uongozi wake na maamuzi yake mengi kama sio yote yalikua hovyo 💔😢
Mama yuko sahihihuyu Mama yupo sawa na tz mnahitaji uongozi kama huu ili mawazo yenu yapanuke....napenda sana mawazo ya huyu mama, amekomaa sana. nampenda bure tu... natamani nikutane naye nimpongeze. Huyu ndiye atawatoa gizani...mlikuwa mmezubaa sana
Kuzubaa unamaanisha nini wewe mavi? Sababu misamiati ya kiswahili kwenu ni changamoto, inawezekana ulikua na hoja nzuri tu ila lack of enough vocabulary failed you.huyu Mama yupo sawa na tz mnahitaji uongozi kama huu ili mawazo yenu yapanuke....napenda sana mawazo ya huyu mama, amekomaa sana. nampenda bure tu... natamani nikutane naye nimpongeze. Huyu ndiye atawatoa gizani...mlikuwa mmezubaa sana
this the Lupita y'all was talkin bout?roho zinawauma lupita kuwepo Tanzani\
Bado wapo wapumbavu hawaoni namna Magufuli alivyopambania uchumi wetu, Magufuli alikua ni Tanzania tu yeye na Tanzania, Tanzania na yeye ndio maana hata hakutaka kutoka njeWanochekelea repoti ya CAG niwakumbushe tu kuwa nae ni CCM na Team iliyotake over ni ya Kikwete:
Kibwagizo: USD Exchange Rate Against TZS Kikwete VS Magufuli:
Kikwete: USD to TZ December 2005 = TZS1270, December 2015 = TZS2165: (2165-1270 = 895)
View attachment 1747349 View attachment 1747352
Magufuli: USD to TZ December 2015 = TZS2165, February 2021 = TZS2319: (2319-2165 = 154)
View attachment 1747354 View attachment 1747356
Source: USD TZS Historical Data - Investing.com
hivi na ninyi mmeumizwa kama mimi?maana yake nini hii kwamba hakufanya kizuri hata kimoja?Hiki kitu nimekinote hata mimi lengo ni kupoteza Jpm ili kujenga imani kwa Mama.
Amenifanya nishindwe hata kucheki news yoyote inayomhusu yeye na news za siasa kwa ujumla. Any way, itabidi niwe busy kutafuta ugaliBado wapo wapumbavu hawaoni namna Magufuli alivyopambania uchumi wetu, Magufuli alikua ni Tanzania tu yeye na Tanzania, Tanzania na yeye ndio maana hata hakutaka kutoka nje
Huyu mama yeye sio Tanzania kabisa, yeye ni mabeberu watafurahi au hawatafurahi
Angalia vipaumbele vyake ni
🚮Statistics za covid
🚮Rekebisheni diplomasia
🚮Wapeni wageni work permits
🚮Msiwape stress investors (foreigners)
🚮Fungulieni lawful convicted media
🚮Twitter yake ni English tupu
🚮Followed mabeberu tupu
🚮Acting total badass puppet
Hana maslahi na Tanzania (patriotism) kama Magufuli
Dah huyu mama hamna kitu kabisaaaBado wapo wapumbavu hawaoni namna Magufuli alivyopambania uchumi wetu, Magufuli alikua ni Tanzania tu yeye na Tanzania, Tanzania na yeye ndio maana hata hakutaka kutoka nje
Huyu mama yeye sio Tanzania kabisa, yeye ni mabeberu watafurahi au hawatafurahi
Angalia vipaumbele vyake ni
[emoji706]Statistics za covid
[emoji706]Rekebisheni diplomasia
[emoji706]Wapeni wageni work permits
[emoji706]Msiwape stress investors (foreigners)
[emoji706]Fungulieni lawful convicted media
[emoji706]Twitter yake ni English tupu
[emoji706]Followed mabeberu tupu
[emoji706]Acting total badass puppet
Hana maslahi na Tanzania (patriotism) kama Magufuli
Mkuu, the way wapinzani wanavoplay na bit inaonesha fika hata upinzani hamna bali upinzani tuliokua tunauona mabosi wao ni CCM insiders wenye magroup yao na moja ya haya makundi ni kutumia upinzani kuchafua watu wasiowahitaji, kwakifupi upinzani unatumika vibaya.mkuu tusivunjike moyo ,,huu ni mchezo wa kijinga tu kinyulinyuli type mwisho wa picha sisi ndiyo waamuzi...
mama anatokwa na maneno tu nahisi ata anachoongea hakielewi
Me mwenyewe nguvu nilizokua nimewekeza kuchochea uzalendo na kumpambania Rais wangu na nchi yangu niilekeze tu zaidi kwenye riziki, ninaoishi nao walinijua kiwango cha uzalendo wangu kwa Tanzania yangu na Rais wanguAmenifanya nishindwe hata kucheki news yoyote inayomhusu yeye na news za siasa kwa ujumla. Any way, itabidi niwe busy kutafuta ugali
very sad,kama kuna nyakati nimesononeshwa basi ni kipindi hiki,kweli kabisa utafikiri serikali imepinduliwa imechukuliwa na wawaasi.Mwanamke mpunbavu sana yuld
Najiuliza na picture gani aliikusudia kwa kusema media zilizofungiwa zivunguliwe, ina maana zilifungwa kwa kuonewa
Mtangulizi wake alivionea na haikupaswa kufungiwa ndio maana sasa anaona wana haki kwa mujibu wa sheria kufunguliwa
Magufuli aliapa kulinda katiba na kusimamia sheria kikamilifu, zoezi ambalo yeye pia kalifanya, ina maana kulikua na sheria za JPM na sasa zimekuja zake mpya tofauti na zile zilizotia hatiani hizo media
Matukio kama haya mara nyingi hufanywa na viongozi wa upinzani wanapoingia madarakani kama ishara ya kuwapa wananchi mtazamo kwamba uongozi uliopo sio kama uliopita
Huyu mwanamke anaenda kutuingiza shimoni mazima, zilipaswa kufanyika figisu mapema tuepushiwe hili zahama.
Imeisha hiyo.. hamna kitu paleHivi hajui maana ya collective responsibility??
Inakuwa kana kwamba yeye kaingia leo pele magogoni.
True he didn't rest in peace, He was rested in peace😭😭Mimi nilishahisi huyu mama kaniulia Rais wangu
Sure, mi mwenyewe natamani nipate hata mchongo Canada nitoke huku kabisa, Mafisadi TZ ishakua donda ndugu ndani ya wiki kadhaa na sasa effect itaingia hadi kwenye mifupaMe mwenyewe nguvu nilizokua nimewekeza kuchochea uzalendo na kumpambania Rais wangu na nchi yangu niilekeze tu zaidi kwenye riziki, ninaoishi nao walinijua kiwango cha uzalendo wangu kwa Tanzania yangu na Rais wangu
Msiba ulivyotokea usiku ule ilibidi wa karibu yangu wapigiane simu kwanza kujadili namna gani watanipa hizo taarifa kwa namna walivyojua ningeathirika, ila Magu kweli kaenda na uzalendo wangu kwa Tanzania yangu, Sina budi kwenda na wasaa uliopo 😭💔😭
Huu ni mdomo wa kusemea pia kama mkileft uzalendo utakuwa wapi,ukishindwa kusema hata ukikunja USO ujumbe utafika tubanane hapa hapaTutaleft wengi mbn kuliko kuendelea na huu upuuzi unaoendelea humu nchini kwa ss.
I won't lie inauma sana... kama movie vilevery sad,kama kuna nyakati nimesononeshwa basi ni kipindi hiki,kweli kabisa utafikiri serikali imepinduliwa imechukuliwa na wawaasi.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app