Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Good for LDC...you need to modernise your farming anyway

sent from iPhone 7

my people from rural areas of LDC would like to say hi to kenyans.
a7f64b662e04dcdacb04e1c5e645854c.jpg
3f1b49c7ed2eb03cb341b026336e9a39.jpg
989827f61ec140d3e0812a71e4d49285.jpg
4444a355540b42a83609e8344c5a58e8.jpg
2b32efb90c8955c293497aec85786e2d.jpg
77cbd1a209f381a539beb6d6757e8785.jpg
cad406ec78065eb6264fc004dee40f88.jpg
9d11446b390fc11f9d60eec8a96d74d4.jpg
897a2fda6443c1affcf2644a40df0348.jpg
 
Wheat in Timau,Nanyuki Meru county on the slopes of mt Kenya
5c09ebd07a83d01e339999e03ecd5b52.jpg
bdbd33b851b0602e7c69ac40b9c8aeb7.jpg
59eb27debfee46379ae03fd815f1d601.jpg
fa5a5e723327578effe63ddb6c34db5d.jpg

05b40f8e911e08f965f4d36b42ad38de.jpg

54a3973cf78cc5b6a40c7c79dc8eccb5.jpg

f0d03b400d46885e1d90038873d271e4.jpg

f640373714f7ad0395c77eb2d39151c2.jpg

9739059d4efeb41ca5861c5d9d6bd618.jpg

b3806f2fa98f8055f63e9259902fa8b3.jpg

5a45b2fbbff4a2bf573d409af13341f3.jpg

4174125e1e14ee8caaf77e39f41ae076.jpg

c8a56738930469e4e237ffd71ee7b1f0.jpg

5ddfc2d892c4f6e6cd19b2640cbba187.jpg


Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
 
Haha ety "Hunger eating people" why don't you just use Swahili instead of ashaming yourself with such direct translation

sent from iPhone 7
What about this in Kenya.

Kwikwikwi unanifanya nicheke sana. Mnaishi kama wanyama.
 
You guys mkishajipanga na Photos you also demand the same from us. Wengine wetu tumekwama hapa concrete jungle but next month i will be in ushago for elections.I will bring you all the Photos

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
Acha uongo basi picha za Nairobi mnatumaga wenyewe na zinaonesha Nairobi ni mapori yamejaa majengo mjini ya kuhesabu si mlime basi au mabwenyenye yamekamata ardhi zao

Sent from my itel it1516 Plus using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo basi picha za Nairobi mnatumaga wenyewe na zinaonesha Nairobi ni mapori yamejaa majengo mjini ya kuhesabu si mlime basi au mabwenyenye yamekamata ardhi zao

Sent from my itel it1516 Plus using JamiiForums mobile app
ardhi yenye rutuba kenya inamilikiwa na wachache....majority hawana kitu.

halafu wanaomiliki hawajisumbui kulima mazao ya chakula,wanalima maua.
 
hii thread huwa inanifurahisha sana,kuna siku thread huwa nzuri sana kwa wakenya na mbaya kwa watz,na kuna siku thread huwa nzuri kwa watz na mbaya kwa wakenya.

jana na leo thread imekuwa nzuri sana kwa watz....wakenya wanatia huruma.
ha haaaaa ya kweli kabisa
 
huo ndio msimamo wa serikali.
that statement was made official by our prime minister majaliwa kassim majaliwa.

hatupo tayari kuwauzia kila kitu.mahindi tunakoboa wenyewe,kenya tunawauzia unga tu.

pumba za unga zibaki tz ili kulisha mifugo yetu.very smart move by our government.
yas yupo very clear waziri mkuu wetu
 
Kenyan bana ,kupitia Uzi huu nimejua kuna mada izi ukimtajia mkenya anakimbia kwanza anarudi mpaka mambo yapoe
1. Kumiliki ardhi Nairobi
2. Kujenga dream house Nairobi
3. Makazi ya kawaida ya normal citizens wa Nairobi
4. Technology APA ndo wanaleta bla bla kibao uku mpaka karne hii driving licence wanatumia booklets
5. Chakula huu ni mwiba makali sana kwao kwani njaa haijawai muacha jirani yetu mkenya kila mwaka anaililia Tanzania imlishe ,ila mjue kwa sasa tumegoma kuwa spoon feed tunawauzia ugali na uji sio maindi tena
6. Majengo marefu ,apa watakuletea mpaka antenna wanakwambia ndio urefu
7 . public transportation ya jiji LA Nairobi wakisikia ya DSM wanakimbia kwanza

Uzi uendelee niendelee kuwa study

spensa_e
 
Back
Top Bottom