Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This guys should know what modern farming is..this is uasin ngishu
d3422b4cc9c5d5c64eb99a2f752a1831.jpg

sent from iPhone 7
you would be surprised to find that a
huge farm like this is owned by a very powerful person in kenya....mkulima wa kawaida hana chake hapo.

by the way,why are you guys avoiding to post photos?....you have been too quick in posting photos of flyovers and buildings...why not farming related photos?....emoji23]
 
wakenya wanachekesha sana...kwenye suala la ukulima wa mazao mbalimbali ya chakula,hawa-post picha bali video tu

wanajuwa video zina mzunguko mkubwa,ukiifungua mpaka kwanza ikupeleke YouTube,pia inakula Mb nyingi kwa mda mchache.

ila kwenye majengo na barabara,haraka sana wana leta picha.janja "yenyu" tumeijua.leteni picha za mazao ya chakula mnayolima huko kenya.

au kama vipi mkubari tu kuwa sisi tupo juu yenyu kwa vyakula EA.
 
what I have been trying to show you is type of food crops being produced by our local farmers in LDC mashinani/ushago.

if your intention is to let me know about the existence of special agricultural projects in kenya universities,then we have same at sokoine university of agriculture... google it for your own benefit.
That sokoine of yours came to Jkuat for benchmarking. ....Hahaha.

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
 
Pesa za upanuzi wa Barabara ya Mwenge to Morocco zimetoka. Sasa kuwa na 9 lanes/ways. Itakuwa na njia Tisa ujenzi utapokamilika. Pia na pesa za Barbara ya Gerezani hadi Kilwa road zimetoka pia. Wakati huohuo Phase 2 ya BRT ikikalibia kuanza na design inakalibia kukamilika. Dar es salaam mwendo mdundo
34680209422_1cd25061dd_b.jpg
34680209422_1cd25061dd_b.jpg
 
wakenya wanachekesha sana...kwenye suala la ukulima wa mazao mbalimbali ya chakula,hawa-post picha bali video tu

wanajuwa video zina mzunguko mkubwa,ukiifungua mpaka kwanza ikupeleke YouTube,pia inakula Mb nyingi kwa mda mchache.

ila kwenye majengo na barabara,haraka sana wana leta picha.janja "yenyu" tumeijua.leteni picha za mazao ya chakula mnayolima huko kenya.any kama vipi mkubari tu kuwa sisi tupo juu kwa vyakula EA.
Of course you poor holloi polloi from LDC cant afford bundles atleast videos are 100% accurate lest you chip in Photos from rwanda claiming to be yours

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
 
That sokoine of yours came to Jkuat for benchmarking. ....Hahaha.

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
sasa nini cha ajabu hapo....tz kuna wachina na wajapan wanakuja kwenye vyuo vyetu vya kilimo kujifunza baadhi ya utaalam....kawaida sana buda.
 
Pesa za upanuzi wa Barabara ya Mwenge to Morocco zimetoka. Sasa kuwa na 9 lanes/ways. Itakuwa na njia Tisa ujenzi utapokamilika. Pia na pesa za Barbara ya Gerezani hadi Kilwa road zimetoka pia. Wakati huohuo Phase 2 ya BRT ikikalibia kuanza na design inakalibia kukamilika. Dar es salaam mwendo mdundoView attachment 539194 View attachment 539194
Always planning. ...Hahaha

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
 
Tule picha. Sisi hizo video zako huwa atufungui zinapoteza muda. Kama YouTube tunaingia kutafuta mambo mengine sio video mtu yupo mwenye gari. Tia picha tuone

Back
Top Bottom