The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Akili zao mbovu kweli kweli, wanachuki na viongozi wa Tz badala wachukie viongozi wao kwa kuwageuza ng'ombe [emoji202] ndani ya nchi yao wenyewe.Kila anaekufa ni corona?? Na haya maradhi mengine hayapo kuna maradhi zaidi ya 500 na hayo hayauwi wala hayapo ni sawa?
Hili zezeta msongo wa mawazo lilionao haupimiki, tukiliacha bila ya kulijibu litajiua hili [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji202][emoji202][emoji200][emoji200][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Meko alichomwa sindano ya sumu Nairob hospital akafa. sasa Tanzania itabaki chini ya Kenya milele.
Niliita mtu ms*nge. Nikala ban ya siku mbili. Sikujua mods huku hawapendi jina hilo.What happened to mr Tony, naona kala ban nayeye [emoji3][emoji3][emoji3]
from when mnamiliki jf?Pelekeni siasa zenu kwingine, hii ni section ya kenya,
Serikali yetu imepotea njia kwenye mambo ya kuomba omba deni. Watatupeleka pabaya.
Manyang'au ni mapunga mno.Akili zao mbovu kweli kweli, wanachuki na viongozi wa Tz badala wachukie viongozi wao kwa kuwageuza ng'ombe [emoji202] ndani ya nchi yao wenyewe.
Nikwanin wafrika hatutak kuelew swala la democracy haliendani na level yetu ya uchumi?Nikiangalia vizuri nahisi kama mama anaiangalia 2025 so anatengeneza mazingira kwanza ya kurudi, lazima apambane kuwafurahisha wapiga kura, na atawafurahishaje?
1. Atahakikisha pesa zinarudi mifukoni kwa kuwapa kipaumbele wafanyabishara na investors ili kivyovyote pesa irudi katika mzunguko na zijae mtaani wananchi wawe na imani naye.
2. Ataruhusu uhuru wa habari ili kutengeneza trust kwa mabeberu waweze kumsaidia mikopo ili kumalizia miradi iliyobaki cz hawezi kuruhusu pesa iingie mtaani na at the same time akafanya miradi mikubwa ni ngumu sana.
3. Kwenye kutengeneza trust kwa mabeberu ataruhusu baadhi ya mambo ambayo mtangulizi wake aliyapinga hususan katika suala zima la covid, na hata baadhi ya mikataba iliyokuwa ikiwabana waende 50% na nchi especially kwenye madini.
Hayo ni machache tu ambayo naona yanaenda kutekelezwa ili kuhakikisha anarudi 2025.
My Take: Siasa inarudisha nyuma sana maendeleo ya Afrika kwa kigezo cha democracy but hakuna namna cz tulishachelewa waafrika na kufika walipo wenzetu ni ndoto.
Na ndipo tunapokuja uko sasa mama samia anatuletaa ukoSerikali yetu imepotea njia kwenye mambo ya kuomba omba deni. Watatupeleka pabaya.
Usim-judge mama Samia. Hajaanza kazi bado. Na hata akiomba deni hawezi kufikia ulafi wa Uhuru Kenyatta kwa kuomba deni. Uhuru ameniudhi sana.Na ndipo tunapokuja uko sasa mama samia anatuletaa uko
Umesha sign petition?Serikali yetu imepotea njia kwenye mambo ya kuomba omba deni. Watatupeleka pabaya.
Niliita mtu ms*nge. Nikala ban ya siku mbili. Sikujua mods huku hawapendi jina hilo.
View attachment 1745601
Cc Geza Ulole joto la jiwe
Simon
Watanzania msitumie jina hilo. Mods hawalipendi.
Asante so kwanzia leo ile GDP uozo usiongelee tena 😂😂😂😂Serikali yetu imepotea njia kwenye mambo ya kuomba omba deni. Watatupeleka pabaya.
Ngumu mzee hii nchi haiendeshwi na mtu mmoja mark my wordsNa ndipo tunapokuja uko sasa mama samia anatuletaa uko
Watawapeleka au washawapeleka kuzimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Serikali yetu imepotea njia kwenye mambo ya kuomba omba deni. Watatupeleka pabaya.