na kila mwaka wanapokufa watu kwa njaa unafkiri maana yake ni nnDonations cannot sustain the feeding of 50 million people. Such things are just PR between countries. And if you have brains, the 100% dry nation you talk about here always is among the leading producers of oil. Riches doesn't only come from farming.
Kuna Vpn Ninayo tumia nzuri ya kulipia ntawapa free wewe na simon ndugu zangu sema simu ninayo tumia kimeo ASA apart from WhatsApp sijui nta share kivipi?uweze kupata aafu haina advertisement kama zilizopo playsoreTatizo twitter mm inanichosha mpk VPN na VPN yenyewe inasumbua balaa.
Mbona huyo aliyetenguliwa hajapewa muda😝😝Huyu mama nahisi hayuko smart enough kum replace Jiwe, unateua mwenyewe zen within 12 hours unatengeua which means kuna watu wanakuletea majina pasipo kujilidhisha, anyway tumpe muda.
Screenshots yake hii hapaView attachment 1744139View attachment 1744140Kuna Vpn Ninayo tumia nzuri ya kulipia ntawapa free wewe na simon ndugu zangu sema simu ninayo tumia kimeo ASA apart from WhatsApp sijui nta share kivipi?uweze kupata aafu haina advertisement kama zilizopo playsore
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Mbona huyo aliyetenguliwa hajapewa muda[emoji13][emoji13]
Labda utupie link PM mkuu.Kuna Vpn Ninayo tumia nzuri ya kulipia ntawapa free wewe na simon ndugu zangu sema simu ninayo tumia kimeo ASA apart from WhatsApp sijui nta share kivipi?uweze kupata aafu haina advertisement kama zilizopo playsore
Stick with your facts buddy!! I believe no one cares much. You can as well, if you wished to, make your facts universal.na kila mwaka wanapokufa watu kwa njaa unafkiri maana yake ni nn
Uchumi wa kenya ulishakufa na hii ni fact utake usitake 😀😀😀😀😀
Uyu Mama ni replica ya JK, Tutaona maisha yanarudi kua marahisi But akiweza kua mkali kwa wazembe kama JPM hakika atafanya makubwaMama akirudi kutoka Dodoma, hapa mzee alikuwa anatumia gari ili kusikiliza wananchi njiani uko, anyway kila kitabu na nabii wake.View attachment 1743028
Hawa majirani iyo ela siwangeboresha sekta ya afya iwe level za UK kabisa
Alafu ni mkondo wa maji apohako sehem kenyewe ni haka hapa [emoji23]
View attachment 1743537
Hela Zinaenda kwenye matumbo ya politicians🤣🤣🤣🤣Hawa majirani iyo ela siwangeboresha sekta ya afya iwe level za UK kabisa
So sad ndio maana daily utaona majumba uko rundaHela Zinaenda kwenye matumbo ya politicians🤣🤣🤣🤣