Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

asee.. pitieni hii account inaonyesha scenario kama hizi picha.. brazil ndo inaongoza kuwa hivyo.. btw, hakuna picha hata moja kutoka Tanzania
pitia website yao..watakuonyesha dar es salaam

 
Mbona Dar es Salaam hainanga tarmac kwa access roads. Yaani hata mitaa high end haina barabara ni za vumbi tu.

 

i know this place.. mostly ni pale namanga

hio eneo limesababishwa na wakoloni wenyewe kwamba watu wasivuke mipaka ya makazi (settlements) yao

ila baada ya kuondoka, watu wa kawaida wakaenda kwenye hizo settlement kujenga.. kwetu kwenyewe ni masaki na sisi ni watu wa kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…