Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akili yako mbovu imekaa kiupigaji, huna jipya lenye maendeleo kwa nchi.
Ungesema ulichofanya wewe kwa maendeleo ya nchi ningekuona wa maana sana lakini hapa si ajabu unajitutumua tu halafu hata TRA hukujui unaishia kuliona jengo tu kwa nje.
 
Ninakubaliana na wewe, muhimu watanzania tujiandae kwa hali ngumu chini ya uongozi wa huyu mama, sioni matumaini mbele.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Chief,
Unadhani tutaishi maisha magumu katika nyanja zipi chini ya mama? Naamini kila mtu ana karama na namna yake katika uongozi, hawawezi kufanana...ila unaposema tutapitia kipindi kigumu nashindwa kuelewa. Umeona nini ambacho wengi hatujaona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…