msishangae kule hadi magazeti wanaelezwa watakachochapisha
View attachment 1740991View attachment 1740992View attachment 1740993View attachment 1740994
hii hatutalipia kuitumia.
Nyie wakunya,haya ni matokeo ya kodi za wa'tanzania eti!!View attachment 1740822View attachment 1740823View attachment 1740824View attachment 1740825View attachment 1740826
Barabara hii itakamilika mwaka wa 2025 kwa hivyo muwe na subira.Hii project imechukua muda sana kuna kitu hakiko sawa kwenye financing!
maybe sababu inatakiwa ifike chalinze 100+kmBarabara hii itakamilika mwaka wa 2025 kwa hivyo muwe na subira.
Serikali yao inaambia Gazeti heading watakayochapisha maana hakuna jinsi gazeti nne zitachapisha heading sawa. Serikali ya kidikteta hii kwenye upande wa uanahabari.msishangae kule hadi magazeti wanaelezwa watakachochapisha
View attachment 1740991View attachment 1740992View attachment 1740993View attachment 1740994
Yaani mnachezewa shere na mkandarasi na mpo hapa mnashangilia tu.yah...maybe sababu inatakiwa ifike chalinze 100+km
Wakenya wengi Huwa niwapuuzi sana sijui kwannSerikali yao inaambia Gazeti heading watakayochapisha maana hakuna jinsi gazeti nne zitachapisha heading sawa. Serikali ya kidikteta hii kwenye upande wa uanahabari.
Tofauti ya pesa ya Tanzania na Kenya ni 1Ksh =Hongera ila tatizo ni kwamba hilo bunda ukiliconvert into Kenya shillings unabakia na pesa za kubebeka kwa mkono tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanatushobokea hadi kero yaniWakenya wengi Huwa niwapuuzi sana sijui kwann
Yaani mnaamini Nyie mpo Vizuri kumbe hovyo kabisa
Yaani wamenukuu Alicho kisema Eti kwakuwa Magazeti manne Yameandika basi Serikali yakidikteta
Hivi Kwanini mnataka ujinga wa Vyombo vyenu uwe wawote!!
nafkiri hilo halikuhusu!!Yaani mnachezewa shere na mkandarasi na mpo hapa mnashangilia tu.
Lkn thamani yake si i akuwa ile ile au?Hongera ila tatizo ni kwamba hilo bunda ukiliconvert into Kenya shillings unabakia na pesa za kubebeka kwa mkono tu.
Hiyo ni highway ndg.Mm naona hao jamaa walikua wanawaza nn barabara haina vituo wala madaraja ya watembea kwa miguu imekaa hovyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamna noma Boss, Ila hizo pia nilibeba kwa mkoni hadi Parking Lot [emoji23]
Ila dhumuni la post ni Kusherekea Maono ya Bwana Mapesa.[emoji23][emoji1476]
Kwaiyo kama ni highway ndio watu wasivuke barabara bila footbridge ni utopolo tuuHiyo ni highway ndg.
Sisi ndio nchi ya kwanza na nchi pekee Africa mashariki na kati kuwa na barabara ya 8 lanes. Barabara yenyewe inaitwa Thika road na ilikamilika mwaka wa 2010. Kuna sehemu za Thika road ambazo zina leni kumi. So uwe na heshima unapozungumza na nchi ambayo imewatangulia kwenye mambo haya.nafkiri hilo halikuhusu!!
usisahau mabwana zenu walikataa kufinance njia4 na sie tunawapigia 8
Ni kweli ulivyosema kwamba footbridge inahitajika sana hususan kwenye highway maana kwenye highway magari huwa yanakwenda kwa maximum speed.Kwaiyo kama ni highway ndio watu wasivuke barabara bila footbridge ni utopolo tuu
Thamani ya pesa inabakia kuwa sawa ila bunda linapunguka ukibadilisha from Tsh to Ksh. Hamna mambo ya kubebana na mabunda huku. Na ukiona mtu amebebana na mabunda ya noti huku ujue huyo amebeba pesa ya thamani kubwa.Tofauti ya pesa ya Tanzania na Kenya ni 1Ksh =
Tsh 20 tu. Sijui wakenya huwa mnabweka bweka kitu gani.
Huo ni ushamba unakusumbua.
nkupe heshma kwa kitu ambacho hakinihusu? Kwan lazima nkuheshimu? huo ni unyan'gau budaa!!Sisi ndio nchi ya kwanza na nchi pekee Africa mashariki na kati kuwa na barabara ya 8 lanes. Barabara yenyewe inaitwa Thika road na ilikamilika mwaka wa 2010. Kuna sehemu za Thika road ambazo zina leni kumi. So uwe na heshima unapozungumza na nchi ambayo imewatangulia kwenye mambo haya.
Sio mimi nasema uipe nchi ya Kenya heshima kwa kuwatangulia kwenye mradi huu. Jifunze kusoma vizuri.nkupe heshma kwa kitu ambacho hakinihusu? Kwan lazima nkuheshimu? huo ni unyan'gau budaa!!
ila ahsante kwa taarifa.
Ingekua 1 Ksh = Tsh 2330 kama US Dollar hizo kelele zingefika Red Planet🤣Tofauti ya pesa ya Tanzania na Kenya ni 1Ksh =
Tsh 20 tu. Sijui wakenya huwa mnabweka bweka kitu gani.
Huo ni ushamba unakusumbua.