Speed ambayo tunakuja nayo haijawahi kuonekana Africa hiii 😀kuna mambo mengi yanaendelea kwa ground Tanzania hii, ambazo ni essential kwa kila mwananchi wakija kuzinduka kwenye usingizi sis tutakuwa tumepiga extra miles😀😀😀Hawa ndiyo maana walimchukia sn Magu mana alikuwa hataki kusikia anapitwa na nchi ya ******* km hii, ni aibu kwa Tz kupitwa GDP na Kenya hata kama wamefoji, ilitakiwa hata wakifoji basi watukaribie na co watupite, ni aibu mnoo.
Ana budi Ila Ku perform na kungaa kwenye role mpya alopewa or else itakua aibu kwake na kwa wananchi.Aisee hapa naona mama kama kateleza Mwigulu wizara ya Fedha? mbona simuamini!
Mm yangu macho siwez kujudge mapema Acha nimpe mwaka kama kweli atatosha mboga kama maguAna budi Ila Ku perform na kungaa kwenye role mpya alopewa or else itakua aibu kwake na kwa wananchi.
Me namuangalia tu, akichemsha mbn kwenye huu uzi mtanichukia, mana jemedari alichokuwa ananifurahisha alikuwa anapiga panapouma. Mm ni graduate wa mda kdg na sijapata mchongo napiga mishe zangu tu ila nilikuwa namkubali sana jemedari mana alikuwa hapendelei wala hayumbishwi, ss huyu mama bado sijamwelewa naona kapiga chini Bashiru, ni safi Mana Bashiru halikuwa chaguo la jemedari sema ilimlazimu kumchagua mana hakuona mbadala, ss mama kapiga chini nahisi zile tuhuma za Bwana fulani huenda ni kweli.Mm
Mm yangu macho siwez kujudge mapema Acha nimpe mwaka kama kweli atatosha mboga kama magu
Tumpe mda mama akiyumba tunamkataa mapema 2025
Kweli Sana hii field ipo sensitive Sana akifanya upuuzi itajulikana tu,tufanye subira tuone performance yake ikojeMe namuangalia tu, akichemsha mbn kwenye huu uzi mtanichukia, mana jemedari alichokuwa ananifurahisha alikuwa anapiga panapouma. Mm ni graduate wa mda kdg na sijapata mchongo napiga mishe zangu tu ila nilikuwa namkubali sana jemedari mana alikuwa hapendelei wala hayumbishwi, ss huyu mama bado sijamwelewa naona kapiga chini Bashiru, ni safi Mana Bashiru halikuwa chaguo la jemedari sema ilimlazimu kumchagua mana hakuona mbadala, ss mama kapiga chini nahisi zile tuhuma za Bwana fulani huenda ni kweli.
Wanaanza kumpoteza ktk siasa ila kapewa ubunge,wangemrudisha ukatibu wa ccmNaona mama kampiga chini Bashiru.
Hana maadili huyu, nahisi ni mpigaji kama alivyosema bwana fulani.Wanaanza kumpoteza ktk siasa ila kapewa ubunge,wangemrudisha ukatibu wa ccm
Magu wakati anamchagua huyu nahisi hakuwa sawa upstairs km unabisha ingia you tube muangalie vzr Magu usoni hakuwa sawa, waislamu wanasema tayari alikuwa alsakaratul maut cjui km nimepatia, ila naamini kabisa km Magu angekuwa vzr kabisa kichwani wala asingempa nafasi adhimu km ile. Ukimuangalia usoni Bashiru ni mpigaji me nakwambia.Wanaanza kumpoteza ktk siasa ila kapewa ubunge,wangemrudisha ukatibu wa ccm
Kiukweli kabisa naona jemedari alikuwa mgonjwa kitambo, na ndiyo maana huenda alimchagua Bashiru pasipokuwa na ufahamu, Bashiru nahisi hana maadili.
Na mm nawaambia soon Dotto James anakuwa substituted.
Mnayaweka mambo yenu wazi then no action is being taken against hao wanaofanya huo ubadhilifu. So hiyo inasidia nini?Tofauti ni kwamba sisi mambo yetu tunayaweka wazi. Hakuna cha fiche fiche na kuhadaa watu
Hehehehee yn kweli kuwa uyaone yn Bashiru kashuka kapanda kashuka.Wanaanza kumpoteza ktk siasa ila kapewa ubunge,wangemrudisha ukatibu wa ccm
We ni mpuuzi sana jomba[emoji23][emoji23]We mkenya mbona unakuwa kilaza!!!!..tuonyeshe baiskeli za abiria za China,hiyo uliyoweka hapo juu sio baiskeli(bicycle)..hizo ulizoweka hapo ni tricycle,si baiskeli...
Jua kutofautisha kati ya bicycle na tricycle.
Nipe wewe hzo tofauti, manake mi ninavyojua msokoto ni msokoto tu..hzo ni baiskeli bado manake hata hizo hapo chini ni tricycle au hujui mzee baba..we umeona modification basi na wewe unafuata maneno ya kizungu[emoji23][emoji23]..We mkenya mbona unakuwa kilaza!!!!..tuonyeshe baiskeli za abiria za China,hiyo uliyoweka hapo juu sio baiskeli(bicycle)..hizo ulizoweka hapo ni tricycle,si baiskeli...
Jua kutofautisha kati ya bicycle na tricycle.
Hata hizi pia ni tricycle[emoji23][emoji23][emoji23]Hata anajua maana ya bi na tri? Msamemehe bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata hii hapa ni tricycle jomba[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo ndio maana hua sishughliki nae