The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Watajua hawajui, Dar km Eastern Europe [emoji3][emoji3][emoji3]Hii Ni Ubungo..Harakati za kukamilisha kituo kikuu Cha mwendokasi na shopping mall.
View attachment 1735573
View attachment 1735574
View attachment 1735575
View attachment 1735576
View attachment 1735577
View attachment 1735578
View attachment 1735579
Hii Ni Ubungo..Harakati za kukamilisha kituo kikuu Cha mwendokasi na shopping mall.
View attachment 1735573
View attachment 1735574
View attachment 1735575
View attachment 1735576
View attachment 1735577
View attachment 1735578
View attachment 1735579
Iyo 30bn ni upande wetu kwao kule wanagesi zaidi yetu ila kituo kikubwa cha kuchakata gesi kitajengwa upande wa tz
Kama hujui sababu usiropoke,kama yule kigogo wako.M7 amesusia kuja katika mazishi ya JPM, Niliwaambia kwamba hatakuja na mkaendelea kumtetea. Endeleeni kumtetea. Mnaonyeshwa madharau ya wazi na mnajifanya kwamba hamuoni.
Hicho kituo chao wanachokiita utra modern hakifikii hata robo ya Kibaha bus terminal[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86][emoji205][emoji205]kuna kituo chao wakenya wamekiita utra modern .. hii [emoji1318] hapo ilipo kinavyoonekana tayar ni utra modern
kuna account ya mkenya with over 130k followers ilipost picha magu kwenye jeneza lake, likaireport hio account twitter.. nashukuru leo wameifunga kbsa.. jaman tuendelee kureport accounts za hawa wakunya.. wengi wao wanatafuta followers/umaarufu kupitia ujinga kama huu
View attachment 1735683
Wanasema bandu bandu _,sasa wanataka kumaliza gogoIla mie sijapenda Chato kutaka kujitoa Geita kwangu mie naona ni ubinafsi! Baada ya ku-divert resources zilizopaswa kwenda Geita kuja Chato! Saa hii wanataka kujitoa kama mji Chato inaweza kuwa mji ndani ya mkoa wa Geita.
Huyu hapa ndo Slovakia[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]afu kama mtu ameona post inaviolate sheria za twitter kama hii.. please screenshot au ilete link humu tuireport wote [emoji41]
Huyu hapa ndo Slovakia[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 1735708
Huyu mda sio mrefu atatolewa Chini ya andaki jamaa mpuuzi Sana 🙄duu[emoji15].. sijaingia fb mda ila leo imebidi niingie nione kama ni kweli imepost hii
Alafu hapo watachukua wilaya gani kupata mkoa au watamega za kagera na GeitaNdiyo maana madam president amejibu hili suala kisiasa. Hakuna sababu yoyote ya maana ya kuwa na mkoa mpya wa Chato na sidhani kama litatekelezeka. Naona kama hakuna vigezo vya kutosha kufanya Chato iwe mkoa kutoka katika mkoa wa Geita zaidi ya maslahi ya watu wachache tu. Hapo inatafutwa justfication ya uwanja wa ndege, hospitali ya kanda, chuo cha veta kujengwa chato badala ya Geita mjini.
Huyu itabd tutumie hata ikiwezekana nusu ya utajiri wetu kumkamata cz ni too much.Huyu hapa ndo Slovakia[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 1735708
Nahisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]anakaakaa komora096 ....
akidakwa watu wengi watzapoteza kazi!! maana watamfyonza uchafu wote ndani!🤣🤣🤣🤣🤣Aisee usiombe🤣🤣🤣🤣
Kweli Sana anatakiwa awe funzo kwa wengine wenye Tabia ya kueneza propaganda'sHuyu itabd tutumie hata ikiwezekana nusu ya utajiri wetu kumkamata cz ni too much.
Sent using Jamii Forums mobile app