OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Lazima litabisha maana ni mataga hao wanatetea matumbo yaoKura iliibiwa. Wacha mambo mengi. Hapa Africa kura lazima ziibiwe. Hata Kenya kura huwa zinaibiwa.
Wanasema alikuwa raisi wa wanyonge ..ivyo wenye pesa wote ni wapigaji, kana Kwamba bongo hairuhusiwi kuwa pesa unapaswa kuwa mnyonge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote walalahoi
Kila interview utakuta mtu anasema anatujali sana walalahoi, yani wao utajiri hawautaki kabisa raha yao wanaamini matajiri wote na wanaolalamika maisha magumu ni wapigaji...
Sasa hao wote hapo wanawaonea wivu wenye fursa manake wanajua kuna watu watatusua
Tena kati ya wote wale waliohojia kuhusu kifo cha magu sijaona mtu akigusia ki maisha km amemkuzaje, unaskia porojo za ulalahoi tu.
Sasa unaniuliza akat idadi imeonyeshwa hapoKwa hiyo kwa wastani Kenya kila mwaka wanakufa watu 30k+?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ukiweza kufungua acc poa tuu.sio angetumia coinbase mkuu naona iko more user friendly
Magufuli ameirudishia heshima hii nchi, raia wa mataifa mbalimbali wametoa ya moyoni kuhusu viongozi wao kuiga mfano wa Magu ktk uongozi, mfano raia wa Congo wazi wazi wameiambia serikali yao iendeshwe km alivyoiendesha Magu serikali ya awamu ya tano.Nothing more than Magufulis effects, awali walikua hawana hii akili
Locking down the country just for disease killing only 2000 ppl per year.... That is stupid thing ever done by Kenyans
Unashangaa nini ss, hiyo ndiyo Kenya mliyokuwa mnaongopewa kila siku and FYI wengi wao hufa kwa njaa.Kwa hiyo kwa wastani Kenya kila mwaka wanakufa watu 30k+?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mmaenza kujitambua mmoja mmoja eehLocking down the country just for disease killing only 2000 ppl per year.... That is stupid thing ever done by Kenyans
🤣🤣🤣🤣🤣ASA wewe wa kumfunza mbongo Kiswahili ama kweli wakenya Mna visa 🙄Madhaifu au udhaifu. Hata kiswahili hukijui?
Magufuli was genius ever.Locking down the country just for disease killing only 2000 ppl per year.... That is stupid thing ever done by Kenyans
Alafu wanatumia nguvu nyingi kupambana na covid wkt haina impact yyte ukilinganisha na magonjwa mengine.
Rais Magufuli alijali maisha ya kila mtanzania kimaisha,na ndio maana aliwaita wafanyabiashara wa madini amabao wengi wao sio walala hoi Kama unavyotaka kuinyesha upimbi wako hapa hata viongozi wachini kabisa Kama watendaji n.k,alafu Tanzania 🇹🇿 sio Kenya ambapo mwenye nacho ndio binadamu madisikini hana lakeWote walalahoi
Kila interview utakuta mtu anasema anatujali sana walalahoi, yani wao utajiri hawautaki kabisa raha yao wanaamini matajiri wote na wanaolalamika maisha magumu ni wapigaji...
Sasa hao wote hapo wanawaonea wivu wenye fursa manake wanajua kuna watu watatusua
Tena kati ya wote wale waliohojia kuhusu kifo cha magu sijaona mtu akigusia ki maisha km amemkuzaje, unaskia porojo za ulalahoi tu.
Ww pumbavu Sana, unafikiri mm ni ni njaa ya buku saba? nyinyi ndio wale ambao mlikuwa mnaiba kipindi mkwere akiwa madarakani,mkafikiri Magu atakuwa part of your tyrannical rule!Alishinda kihalali wapi wewe Mataga nenda kachukue buku saba yako pale lumumba watoto wasife njaa. Huyu magu kafia madarakani tofauti na Mugabe yeye hakuwa raisi wa nchi tena. Udikteta uchwara kama wa magu ndo umefanya watu wengi wajitokeze eti siyo kisa wanampenda, wengi wamekuja kuhakikisha je ni kweli kafa?? Maana hili ni tukio la kwanza la raisi kufia madarakani kwa hapa bongo halijawahi kutokea..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wewe endelea kuwa mnyonge baba yenu aliyewafanya wanyonge keshakwenda hivyo. Watu tulikuwa tunaogopa kuwekeza maana utaambiwa wewe mpigaji. Aya kachukue buku saba watoto waende chooni. MaTAGA bana[emoji23][emoji23][emoji23]Ww pumbavu Sana, unafikiri mm ni ni njaa ya buku saba? nyinyi ndio wale ambao mlikuwa mnaiba kipindi mkwere akiwa madarakani,mkafikiri Magu atakuwa part of your tyrannical rule!
Kwa hili basi Hayati Magu alicheza sana. Apumzike kwa amaniLocking down the country just for disease killing only 2000 ppl per year.... That is stupid thing ever done by Kenyans
Kwa hili basi mzee Magu alicheza sana. Apumzike kwa amaniUnashangaa nini ss, hiyo ndiyo Kenya mliyokuwa mnaongopewa kila siku and FYI wengi wao hufa kwa njaa.
Hehehe kweli kweli Tanzania ni nchi yangu mkuu ..mimi huwa nazinguaga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwe na heshima ss kwa Tz na watanzania kwa ujumla, umeona unapewa michongo na mTz? Hakuna mkenya wa kuweza kushindana na mTz ktk idara yoyote ile.
Me nazingua mkuu kuwa mpole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ww pumbavu Sana, unafikiri mm ni ni njaa ya buku saba? nyinyi ndio wale ambao mlikuwa mnaiba kipindi mkwere akiwa madarakani,mkafikiri Magu atakuwa part of your tyrannical rule!
Wewe endelea kuwa mnyonge baba yenu aliyewafanya wanyonge keshakwenda hivyo. Watu tulikuwa tunaogopa kuwekeza maana utaambiwa wewe mpigaji. Aya kachukue buku saba watoto waende chooni. MaTAGA bana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app