Mihemko sasa hyo, ungelikuja na ushahidi mbona sitopinga tena na nitakubali tuWw sio tena mjinga umeaza ukichaa sasa[emoji16]
Wakuaminiwa ni KQSo minister of transport ni nani kq au??[emoji1787][emoji1787]
Wote walalahoiNan ana mambo ya kitoto? Kwani wako wangapi Kama ww umewahesabu!? Nataka nikuonyeshe misiba miwili ya Marais alafu ndio unioneshe utoto wangu ulipo[emoji116][emoji116]
R.Mugabe's funeral
View attachment 1734474View attachment 1734474View attachment 1734475
Magufuli's funeral
View attachment 1734477View attachment 1734477View attachment 1734477View attachment 1734479
Najua utaendelea kubisha,lakini ukweli ni kwamba,Magu alishinda kihalali na haupora kura ya mwananchi,mm ni mmoja wa maafisa waliosimamia uchaguzi nikwambie,Magu alishinda kwa halali.Nikwambie tu,ule Uzi ulio weka humu ulizingua Sana aise! frankly speaking!Yaani Hii halaiki ni jibu tosha.
Historia inamtetea sio mimi kaishi sana TanzaniaHuwa mnapenda kumtetea huyu babu sana.
Duh!!bridge ya third mainland ina lanes kumi km sijakoseaHuwa mnasikia neno Lagos mnaona kama ni mchezo
Naona jukwaa la siasa lishakuharibu unaiga mpk misemo yao ya kipuuzi.Wote walalahoi
Kila interview utakuta mtu anasema anatujali sana walalahoi, yani wao utajiri hawautaki kabisa raha yao wanaamini matajiri wote na wanaolalamika maisha magumu ni wapigaji...
Sasa hao wote hapo wanawaonea wivu wenye fursa manake wanajua kuna watu watatusua
Tena kati ya wote wale waliohojia kuhusu kifo cha magu sijaona mtu akigusia ki maisha km amemkuzaje, unaskia porojo za ulalahoi tu.
So mwenye hio wizara sio wakuaminiwa 🤣🤣Wakuaminiwa ni KQ
Zinamilikiwa na nani?? Mama ngina au??😝😝Kwhyo zipo?
Kila siku yanafungwa, hayajawahi kushinda hata cku moja majibwa, yn daily yanat..mbwa tu.Haya mambwa si nilisema mm, yanatupotezea pesa bure kuyalisha, kuyapakiza ndege, ktk pesa ambayo mm inaniuma sn taifa tunaipoteza bure basi ni kuihudumia hii mijibwa Taifa Stars.
Eti tunalipa kocha madola kwa madola ayafundishe majibwa haya!! Inauma sana.
Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...
Safari yetu imefika kiko.owww.jamiiforums.com
Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...
TUMETOLEWA RASMI!!!! Ungana nami kuanzia saa 4 kamili kupata updates za video, Mechi ya Equotorial guniea vs taifa stars HIGHLIGHTS KIPINDI CHA KWANZA 1. CHUPU CHUPU 2. MANULA ANATUSAVE 3. MWAMBA. KIPINDI CHA PILI ASANYE MANULA VIJANA WA EWUATRIAL WAMEDOMINATE SANA MSUVA...www.jamiiforums.com
Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...
Goma itakua drcGuys hii ni nchi gani? 😭😭😭😭😭😭
Sema huwa unaskia Lagos na kuona kama ni mchezoHuwa mnasikia neno Lagos mnaona kama ni mchezo
Jaribu coindirect*comMkuu naomba nielekeze namna gani naweza kuinunua hii coin kabla hijafika dola moja.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile
Nothing more than Magufulis effects, awali walikua hawana hii akiliKwani nini kimetokea mbona undugu unarudi kwa kasi? Nyang'au mzungu uwa hana rafiki wala adui wa kudumu. Kuweni makiniView attachment 1734446View attachment 1734447View attachment 1734448
Ni nani vile walikuwa wanacheza na kadi za undungu na Uganda kipindi cha mchakato wa bomba la mafuta?Huwa mnapenda kumtetea huyu babu sana.
Kwa hiyo kwa wastani Kenya kila mwaka wanakufa watu 30k+?
Alishinda kihalali wapi wewe Mataga nenda kachukue buku saba yako pale lumumba watoto wasife njaa. Huyu magu kafia madarakani tofauti na Mugabe yeye hakuwa raisi wa nchi tena. Udikteta uchwara kama wa magu ndo umefanya watu wengi wajitokeze eti siyo kisa wanampenda, wengi wamekuja kuhakikisha je ni kweli kafa?? Maana hili ni tukio la kwanza la raisi kufia madarakani kwa hapa bongo halijawahi kutokea..Nan ana mambo ya kitoto? Kwani wako wangapi Kama ww umewahesabu!? Nataka nikuonyeshe misiba miwili ya Marais alafu ndio unioneshe utoto wangu ulipo[emoji116][emoji116]
R.Mugabe's funeral
View attachment 1734474View attachment 1734474View attachment 1734475
Magufuli's funeral
View attachment 1734477View attachment 1734477View attachment 1734477View attachment 1734479
Najua utaendelea kubisha,lakini ukweli ni kwamba,Magu alishinda kihalali na haupora kura ya mwananchi,mm ni mmoja wa maafisa waliosimamia uchaguzi nikwambie,Magu alishinda kwa halali.Nikwambie tu,ule Uzi ulio weka humu ulizingua Sana aise! frankly speaking!Yaani Hii halaiki ni jibu tosha.