Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani hao watu ni wangapi? Wacha fikra za kitoto!
Nan ana mambo ya kitoto? Kwani wako wangapi Kama ww umewahesabu!? Nataka nikuonyeshe misiba miwili ya Marais alafu ndio unioneshe utoto wangu ulipo👇👇

R.Mugabe's funeral

Magufuli's funeral

Najua utaendelea kubisha,lakini ukweli ni kwamba,Magu alishinda kihalali na haupora kura ya mwananchi,mm ni mmoja wa maafisa waliosimamia uchaguzi nikwambie,Magu alishinda kwa halali.Nikwambie tu,ule Uzi ulio weka humu ulizingua Sana aise! frankly speaking!Yaani Hii halaiki ni jibu tosha.
 
Kura iliibiwa. Wacha mambo mengi. Hapa Africa kura lazima ziibiwe. Hata Kenya kura huwa zinaibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…