Halafu Kenya pia tumeinstall scanner kwa SGR yetu. Jamaa Geza Ulole anadhani kwamba Kenya tupo nyuma kama waoWazee wamezoea kulishwa pumba mpka sai wamekomazwa akli zao, haiwezekani jamaa unakiri kabisa eti empty containers zitoke mombasa ziende nairobi bana..
Itabidi watu wamepimwa tezi dume manake sio kw mambo haya
17 loans ziko wapi hapoNioneshe sehemu nime crop ukipata nitag [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Tuletee data hapa km mumepata faida kiasi ganiFaida kubwa sana tumepata kwa kushika soko la ndani kwa 80% ndio faida moja wapi hio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eti bado hujui loss ya kq wapi inatoka
Hizo zinaitwa gantry cranesTuonyeshe hzo zenu kw highways zikifanya kazi
Cc: Tony254 tony hizi kw majina zinaitwaje View attachment 1733283
Mwenzako kasema kuna 17 za loans sasa atuonyesheunaelewa nini maana ya lessor?
Lessor: Definition, Types, vs. Landlord and Lessee
A lessor is a person or entity who owns an asset that is leased under an agreement to a lessee.www.investopedia.com
Msaidie mwenzako kuleta 17 za loansasee kumbe kweli
Hamtumii hzo scanner jomba acha kulialia hapa, eti treni ndio zipite hapo kw hzo gaka zote..Hizi anatumia mamako sio? TRA ndo inatumia mobile container scanners kwa wingi! [emoji116]
Sasa kama huwezi kujua kwanini tuna 3 types of scanners at Dar port! Ina maanisha nn? Mimi nimekuomba uoneshe midaki hii Mombasa port ambayo ni specifically for scanning a moving train be a doubledeck or not!
Tanga port
Dar port
Nachojua mimi the whole of Kenya haina vitu kama hivi [emoji3516]
Asante sana, manake kidogo usione nlikua sizifahamu kw majinaHizo zinaitwa gantry cranes
Msaidie mwenzako kuleta 17 za loans
Nipe maana ya neno "owner" kwanza alafu uje umsaidie mwenzakomim nikikupa gari langu ulitumie afu ukawa unalilipa kidogo kidogo, gari ni la kwako??
Hujaona loan au sio 🤣🤣👇👇👇Sijaona loans hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mimi na wewe nani mjimga jomba
🤣🤣🤣🤣 hvi munafkiri uongoasee kumbe kweli
Utaona tu unajitia uchizi 🤣🤣👇👇Macharia ni waziri wa nn? Tena mbona katika post yake sijaona 17 za loan, we ulizitoa wapi..
Usifananishe zama za Mandela na hizi.3 billion angekifikisha mandela kwanza