Unaeza niletea evidence kwamba mombasa ina magari mengi kuliko mwanza ukipata nitag🤣🤣🤣Berth zote za Mombasa port zinamilikiwa na serikali ya Kenya. Halafu ni vizuri umekubali kwamba Mombasa ina magari mengi kushinda Mwanza. Trubarg natumai umesikia wewe mwenyewe kwamba Mombasa ipo busy kushinda Mwanza.
Nani alikudanganya bearth zote zinamilikiwa na serekali ????Berth zote za Mombasa port zinamilikiwa na serikali ya Kenya. Halafu ni vizuri umekubali kwamba Mombasa ina magari mengi kushinda Mwanza. Trubarg natumai umesikia wewe mwenyewe kwamba Mombasa ipo busy kushinda Mwanza.
Watu wetu wa intelligence hawafanyi kazi siku hzipitiavizuri utajua uzushi wa viewership ya 3.9 bln umetoka wapi!
Wabongo kinanani, hizi dharau za miaka ya 90 usiziendeleze tafadhali.Ndio Tatizo letu wabongo kuongozwa na mihemko ila majaliwa hakumaanisha ni alitaka tuu kutujulisha kuwa msiba huo unafuatiliwa kwa karibu na mataifa ya njee ofcoz wasaidizi wake hawawez kuwa vilaza kiasi icho
Geza sasa umekubali kwamba mablogger wa Kenya ni hatari kwenye propaganda? Wanachezea serikali yenu akili? Aki jamani, masikini wa Mungu, mnatia huruma.Inasikitisha Majaliwa kuchezwa na hawa mafala wa Kenya
View attachment 1732603
Hahaha Geza Ulole Fundi kitasa badilikeni Watanzania. Yaani serikali ya Tanzania inachezewa na bloggers. Pengine hata hawa bloggers ni watoto wa university hapa Kenya wameamua kusambaza fake news kwenye mitandao. Hata serikali ya Kenya haiwezi kuchezewa akili namna hii. Media zetu zimewapatia stress kwa wiki mbili sasa tena ni zamu ya bloggers wa Kenya. Prime minister mzima anachezewa. Poleni. Lawama sio kwake. Lawama ni kwa media department na spokesman wake. Hao ni jukumu lao kupitia posts zote online na kuchuja zilizo fake news na zilizo halali.Ila Majaliwa ndo katangaza kabisa! Sijui yule baba kachanganyikiwa?
Hawa ndo chokoraa wa Global Intelligence hata picha zao zipo photoshopped!
Huenda mzee baba hakutaka kuwashirikisha wataalamuHahaha Geza Ulole Fundi kitasa badilikeni Watanzania. Yaani serikali ya Tanzania inachezewa na bloggers. Pengine hata hawa bloggers ni watoto wa university hapa Kenya wameamua kusambaza fake news kwenye mitandao. Hata serikali ya Kenya haiwezi kuchezewa akili namna hii. Media zetu zimewapatia stress kwa wiki mbili sasa tena ni zamu ya bloggers wa Kenya. Prime minister mzima anachezewa. Poleni. Lawama sio kwake. Lawama ni kwa media department na spokesman wake. Hao ni jukumu lao kupitia posts zote online na kuchuja zilizo fake news na zilizo halali.
Wewe wachana na Millard Ayo. Millard Ayo hajatangaza kuwa watu 3.4 billion walitazama maombolezi. Waziri Mkuu mwenyewe katangaza na sijui katoa wapi statistics hiyo. Millard Ayo alichofanya ni kuripoti tu maneno ambayo Waziri Mkuu alitamka.Tatizo ni millard ayo kupost vitu bila kudhibitishaa au kuchunguza watu bilioni nne sio mchezo wewe 🤔
Mtu level hio ya PM au President ni sharti ahusishe wataalam vinginevyo matokeo yanakua kama haya. Hata Trump hakupenda kushirikisha wataalam sana ila matokeo ni kuwa alikuwa anapost vitu vya hovyo sana kwenye twitter.Huenda mzee baba hakutaka kuwashirikisha wataalamu
Umeanza kubadilisha kauli yako mwenyewe kwamba Mwanza haina interchange kwa sababu hamna magari ya kutosha?Unaeza niletea evidence kwamba mombasa ina magari mengi kuliko mwanza ukipata nitag🤣🤣🤣
Nipo sure 100% berth zote zinamilikiwa na Serikali ya Kenya.Nani alikudanganya bearth zote zinamilikiwa na serekali ????
Shida sana..na huenda aliletewa hiyo habari na MATAGA akafanya kupanda nayo hewaniMtu level hio ya PM au President ni sharti ahusishe wataalam vinginevyo matokeo yanakua kama haya. Hata Trump hakupenda kushirikisha wataalam sana ila matokeo ni kuwa alikuwa anapost vitu vya hovyo sana kwenye twitter.
yeah what agwan kenya ladies....rusting women
say yeah hiphop,,,,hapo tunawasindikiza na ngoma kali la buster rymes touch it remix....
say hiphop [emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hii ni picha kali ya mwakaView attachment 1708734