[emoji23][emoji23] only a low IQ fool ndo ataamini
Kimara Kibaha iko Dar. Mimi nazungumza mambo ya Mwanza.Dah...asee we jamaa...barabara ya kimara kibaha Ina interchange nyingi kama wali kwa plate...hivyo si vitu vya kubrag kwetu kipindi hiki...nyie kujengea kitu Cha mwendokasi it's big stories wakati ss tumejenga mpaka tumechoka...
Naona unakubaliana na mimi kwamba barabara za Mombasa zipo busy kushinda za Mwanza na ndio maana sisi tunahitaji interchange kuondoa msongamano wa magari na nyinyi hamuhitaji interchange maana Mwanza haina magari mengi kama Mombasa.Ww unataka tujenge interchange kwenye sehemu haina mahitaji kwa sasa ??? Nyinyi munajenga overpass kwasababu muna bandari na munataka kuondoa msongamano , sasa sijui wapi unakwama tony??
Tatzo unaforce sana mamboNaona unakubaliana na mimi kwamba barabara za Mombasa zipo busy kushinda za Mwanza na ndio maana sisi tunahitaji interchange kuondoa msongamano wa magari na nyinyi hamuhitaji interchange maana Mwanza haina magari mengi kama Mombasa.
Huo ni uongo. Hata Olympics na World cup haiwezi kupata watazamaji 3 billion ndio itakuwa Muafrika aliyeaga. Unadhani Wazungu wanajali eti kuna rais wa African country aliyeaga? Wengi hata hawajui Tanzania iko upande gani wa dunia na hawataki kujua.
Wivu mpaka viewership ya mazishi ya JPM!! wewe kweli mchawi!! 🤣 🤣 ☝️Huo ni uongo. Hata Olympics na World cup haiwezi kupata watazamaji 3 billion ndio itakuwa Muafrika aliyeaga. Unadhani Wazungu wanajali eti kuna rais wa African country aliyeaga? Wengi hata hawajui Tanzania iko upande gani wa dunia na hawataki kujua.
Magufuli is a special African, hakuna hata media moja duniani ambayo haijatangaza kuhusu kifo cha MagufuliHuo ni uongo. Hata Olympics na World cup haiwezi kupata watazamaji 3 billion ndio itakuwa Muafrika aliyeaga. Unadhani Wazungu wanajali eti kuna rais wa African country aliyeaga? Wengi hata hawajui Tanzania iko upande gani wa dunia na hawataki kujua.
Kwa Hapa Nikidhani inaweza ikawa uongo 4 billion people ni wengi sana ni kama kombe la dunia, hapa tume exaggerate sana
Jaman naombeni tuache kumjibu huyu pimbi anayejiita Opportunity Cost kwani ni lay man kabisa aliyekariri upuuzi. Anadhani yeye anajua zaidi upinzani kuliko sisi wote humu. Kuendelea kumjibu huyu ni kupoteza muda na nguvu zetu. He knows little about this country economically, socially and politically.Rugemila na sethi ?? Majizi walioitia tanesco kwenye madeni makubwa vipi umewasahau
Hata kombe la dunia huwa halifiki 4 billion. Huwa linachezea 1 billion per day. 4 billion ni nusu ya dunia nzima.Kwa Hapa Nikidhani inaweza ikawa uongo 4 billion people ni wengi sana ni kama kombe la dunia, hapa tume exaggerate sana
Ziko busy kwasababu ya bandari na kama sio bandari je?? Mombasa ilishakufa zamani ni bandari ndio kitu inapumulia mashine na bandari yenyewe ina milikuwa na watu unakuta mtu kama joho na family yake wanamuliki bearth kama 5 hapo mombasa alaf munasema kuna uchumi hapo😀😀😀Naona unakubaliana na mimi kwamba barabara za Mombasa zipo busy kushinda za Mwanza na ndio maana sisi tunahitaji interchange kuondoa msongamano wa magari na nyinyi hamuhitaji interchange maana Mwanza haina magari mengi kama Mombasa.
Inasikitisha Majaliwa kuchezwa na hawa mafala wa KenyaHata kombe la dunia huwa halifiki 4 billion. Huwa linachezea 1 billion per day. 4 billion ni nusu ya dunia nzima.
Cc joto la jiwe Geza Ulole
Inasikitisha Majaliwa kuchezwa na hawa mafala wa Kenya
View attachment 1732603
Ila Majaliwa ndo katangaza kabisa! Sijui yule baba kachanganyikiwa?Tatizo ni millard ayo kupost vitu bila kudhibitishaa au kuchunguza watu bilioni nne sio mchezo wewe 🤔
Hata quantity hawaangalii Bali 20%Wenyewe waangalia quantity tu...ndo maana wanapigwa kila siku...
Ndio Tatizo letu wabongo kuongozwa na mihemko ila majaliwa hakumaanisha ni alitaka tuu kutujulisha kuwa msiba huo unafuatiliwa kwa karibu na mataifa ya njee ofcoz wasaidizi wake hawawez kuwa vilaza kiasi ichoIla Majaliwa ndo katangaza kabisa! Sijui yule baba kachanganyikiwa?
Hawa ndo chokoraa wa GI hata picha ipo photoshopped!
Berth zote za Mombasa port zinamilikiwa na serikali ya Kenya. Halafu ni vizuri umekubali kwamba Mombasa ina magari mengi kushinda Mwanza. Trubarg natumai umesikia wewe mwenyewe kwamba Mombasa ipo busy kushinda Mwanza.Ziko busy kwasababu ya bandari na kama sio bandari je?? Mombasa ilishakufa zamani ni bandari ndio kitu inapumulia mashine na bandari yenyewe ina milikuwa na watu unakuta mtu kama joho na family yake wanamuliki bearth kama 5 hapo mombasa alaf munasema kuna uchumi hapo😀😀😀
Sielewi umepost nini? HaielewekiInasikitisha Majaliwa kuchezwa na hawa mafala wa Kenya
View attachment 1732603
pitia vizuri utajua uzushi wa viewership ya 3.9 bln umetoka wapi!Sielewi umepost nini? Haieleweki