ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nakwambia hakuna yakushinda nakumattTuskys ina 52 outlets Kenya na 7 Uganda...Naivas iko na 42 outlets Kenya competition is real.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Mumemuibia indian man atul shah
Anajuuta sana
Nakwambia hakuna yakushinda nakumattTuskys ina 52 outlets Kenya na 7 Uganda...Naivas iko na 42 outlets Kenya competition is real.
Watamtaifisha anacheza na tanzaniaZote zinafungwa ilianza uchumi sasa nakumatt ila uchumi amekimbia Tanzania na madeni ya watu
But kuna competition nakumatt ikikufa kuna zingineNakwambia hakuna yakushinda nakumatt
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Mumemuibia indian man atul shah
Anajuuta sana
Wa Kenya bana ichi nn sasa , kwa technology mpo nyuma sana karne hii ya 21 mtu anatembea na daftari eti leseniKitabu chao hichoView attachment 537690
Wa Kenya bana ichi nn sasa , kwa technology mpo nyuma sana karne hii ya 21 mtu anatembea na daftari eti leseni
Embu watume na kitambulisho cha taifa (kipande) tuone
Dedicating this jam to all Tanzanians in this thread, my best rap song from tz mwenye aliunda hio beat ni mnoma
Nairobi, Westlands
Nairobi, Westlands
Tuondolee hicho kipori
Upuuzi mtupuThats why multinational companies are scrumbling for Westlands
Wakenya karibuni Zanzibar![]()
kamwe hautajutia kufika mahali hapa![]()
Nakumatt ndio giant na muhindi ame invest na hasara 😀😀😀😀 anajuta alipoBut kuna competition nakumatt ikikufa kuna zingine
Huishi kutapa tapa tu😀😀😀😀😀nyinyi ni madaktari wa mitishamba hahaha. .....
U will respect everything we kaa mkao wa kulaWhen it comes to music I respect bongo musicians but there is nothing else Tanzania beats Kenya apart from music,population and landsize