COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Yetu ni more than thatMbona yenu mnachochora?
Yetu ni more than thatMbona yenu mnachochora?
Machache yaoYetu ni more than that
Acha ufala ww, kama ulikua hujui nikujuze,Hapa Dar kuna hospital kubwa kadhaa tuanze na referral hospital kwa kila wilaya...ilala kuna amana hospital ,temeke ipo hospital,kinondoni ipo mwananyamala,ipo specialized hospital ya cancer ocean road...finally ipo muhimbili...ukikosa huduma kote uko mwishowe ndio uende Muhimbili...izo ndio hospital kubwa kwa jiji hili...hospital binafsi ni nyingi sitaki kuzizungumzia hapa...Wacheni kupea hawa watz stress bana wawekeeni tu zile medical facilities za counties the national government distributed ata si Nairobi,wapumue kidogo lol
Nairobi this nairobi that stop drama izo..tukishindwa hapa ni south Africa kama vile nyie hufanya au Europe /AsiaWacheni kupea hawa watz stress bana wawekeeni tu zile medical facilities za counties the national government distributed ata si Nairobi,wapumue kidogo lol
Wambie wakenya, mimi halinuhusuPlease paint the building before posting
Acha kujifariji , kwenye medical Field kaa pembeni na Tanzania , by the way ivi Kenya traffic police anafanya nn barabarani kama hana speed gun , hawezi kagua gari wala driving licence digitally ana kagua madaftari eti ndo licence poor Kenyan mnatia haibuWacheni kupea hawa watz stress bana wawekeeni tu zile medical facilities za counties the national government distributed ata si Nairobi,wapumue kidogo lol
Acha kujifariji , kwenye medical Field kaa pembeni na Tanzania , by the way ivi Kenya traffic police anafanya nn barabarani kama hana speed gun , hawezi kagua gari wala driving licence digitally ana kagua madaftari eti ndo licence poor Kenyan mnatia haibu
Stress hzi hapa baada ya sigiriWacheni kupea hawa watz stress bana wawekeeni tu zile medical facilities za counties the national government distributed ata si Nairobi,wapumue kidogo lol
Acha kujifariji , kwenye medical Field kaa pembeni na Tanzania , by the way ivi Kenya traffic police anafanya nn barabarani kama hana speed gun , hawezi kagua gari wala driving licence digitally ana kagua madaftari eti ndo licence poor Kenyan mnatia haibu
Kitabu chao hichoAcha kujifariji , kwenye medical Field kaa pembeni na Tanzania , by the way ivi Kenya traffic police anafanya nn barabarani kama hana speed gun , hawezi kagua gari wala driving licence digitally ana kagua madaftari eti ndo licence poor Kenyan mnatia haibu
Mko na quality doctors?SMHproduce quality doctors first before even dreaming of beating Kenya in medicine.maybe in uganga and uchawi. ......like The way in every Kenyan town you must come across 'mganga daktari kutoka tanga Tanzania Zanzibar etc
Tanzania sio ile ya 90s toa mdudu kichwaniproduce quality doctors first before even dreaming of beating Kenya in medicine.maybe in uganga and uchawi. ......like The way in every Kenyan town you must come across 'mganga daktari kutoka tanga Tanzania Zanzibar etc
Nakumatt ikifungwa kuna ma super mingi sana Kenya...Naivas,Tuskys,choppies etcStress hzi hapa baada ya sigiri
View attachment 537688
Hakuna yakushinda nakumattNakumatt ikifungwa kuna ma super mingi sana Kenya...Naivas,Tuskys,choppies etc
Tuskys ina 52 outlets Kenya na 7 Uganda...Naivas iko na 42 outlets Kenya competition is real.Hakuna yakushinda nakumatt
Aibu haifichwi😀😀😀😀😀😀😀😀
Masikini investor wakihindi nakumatt kaekeza sehemu siko
Majuto mjukuu
Zote zinafungwa ilianza uchumi sasa nakumatt ila uchumi amekimbia Tanzania na madeni ya watuNakumatt ikifungwa kuna ma super mingi sana Kenya...Naivas,Tuskys,choppies etc