Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehehee Bwana Mapesa naona nimekupiga panapouma [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji86][emoji86]
Umesema mwenyewe kuwa Konyagi was a dumb president and you have also said that you lag EA in democracy.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa tupo kwenye majonzi..
nimecheka sana walah mpk nimeulizwa vip tena mbona unafurahi
Huyu jamaa hajui kua masihara Tanzania ni jambo la kawaida . Tutamkera hadi akome. Tanzania everywhere unaweza kuta watu wanaongea na kutaniana kama wanajuana kumbe ndio mara ya kwanza kukutana. Utu ni linalothaminiwa sana. Angalia ile clip ya mama samia anafungua baraza la mawaza wamekosea wamempa kalamu nyeusi . Kaomba very polite "naomba kalamu nyekundu " kutumia neno naomba nyang'au wanaona ni utumwa. Utu unathamani ndio silaha ya kwa inayoilinda Tanzania. Huyo boss mahela tutamkosesha raha hadi akimbie tena
 
Kaka katika kitu nilichokuwa najiuliza ni vipi mbeligiji apate information, mpaka nikahisi labda walinzi wake, mpaka nimehisi labda ni inside job.
 
Mtaendelea tu kufa Kama mende. She is next on line asipojichunga.
Yani unapata wapi ujasiri wa Ku comment baada ya ile sakata kweli Mikenya hainaga haya alafu issue ya kufa mbona watu wanakufa kila siku shame on you πŸ™„πŸ™„
 
Hehehehee mm mikenya nilishajuaga dawa yao ni ground tu hakuna kingine, ukiliona likenya linapiga piga kelele nenda nalo ground kwa hicho hicho kdg ulicho nacho believe me utamchosha mana Wakenya wana ufukara wa kushangaza dunia hii sema majivuno ss.
 
Teargass haya tuambie kuvaa mask na vaccine inazuia nini if within 24hrs watu wanakufa kama njugu?πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…