Sasa unataka kulinganisha project $540m ya kujenga nyumba za kuishi elfu saba kwa shama la ekari 300 na project ya viwanda ya $4 Billion kwa shamba la ekari 5,000 !!!!! Alafu unadai eti sisi si zise yenu π€£ π€£ π€£ Watanzania mlirogwa na nani.. Mradi ulikua uishe huo na kumejengwa vibaya sana ,take a look .usijipe moyo sisi sio size yenu πππ
Sasa unataka kulinganisha project $540m ya kujenga nyumba za kuishi elfu saba kwa shama la ekari 300 na project ya viwanda ya $4 Billion kwa shamba la ekari 5,000 !!!!!Mbona huulizie dege eco project, nssf etc ziko kibao over 20 projects unafananisha na ushuzi unaoitwa tatu na konza zaidi ya miaka 13 project hazina hata 1% of the render π€£π€£
Naihifadhi hii, nikimaliza majonzi ntakujibuSasa unataka kulinganisha project $540m ya kujenga nyumba za kuishi elfu saba kwa shama la ekari 300 na project ya viwanda ya $4 Billion kwa shamba la ekari 5,000 !!!!! Alafu unadai eti sisi si zise yenu π€£ π€£ π€£ Watanzania mlirogwa na nani.
Kweli nakubal nyinyi si zise yetu, bado mko nyuma sana!
Tatizo la Magu saa nyingine ni kutojua nini anafanya na namna anavyohatarisha maisha yake, hakupaswa kabisa kugusana na watu lakini alikua anagusana mno na watu mpaka saa nyingine unaona namna walinzi wake wanavyosukuma watu wasimguse lakini yeye bado anakomaa kuwafuata watuAll the president men? Really magufuli was assassinated in a mafia style. He was being isolated slowly, anyone with a keen eye can pick this up.i wish he saw this coming, unfortunately he fought dark forces, more stronger than than him.
Mbali na kugusana na watuTatizo la Magu saa nyingine ni kutojua nini anafanya na namna anavyohatarisha maisha yake, hakupaswa kabisa kugusana na watu lakini alikua anagusana mno na watu mpaka saa nyingine unaona namna walinzi wake wanavyosukuma watu wasimguse lakini yeye bado anakomaa kuwafuata watu
Hii mambo ya wanyonge na kutaka kua down to earth president nayo ndio imemcost
I might disagree with you on, this. I don't know him that much because I'm not Tanzanian but from what I have seen his progressive agenda didn't sit well with some quarters especially whites who have certain interest in miningTatizo la Magu saa nyingine ni kutojua nini anafanya na namna anavyohatarisha maisha yake, hakupaswa kabisa kugusana na watu lakini alikua anagusana mno na watu mpaka saa nyingine unaona namna walinzi wake wanavyosukuma watu wasimguse lakini yeye bado anakomaa kuwafuata watu
Hii mambo ya wanyonge na kutaka kua down to earth president nayo ndio imemcost
Sure, alikua anawachukulia poa sana while backup ilikua ndogo, of course angeweza kuendesha movement zake silently but sure bila kuongea kwenye maspika makubwa, tactics zilikua ndogo lakini lengo lilikua sahihi kabisaMbali na kugusana na watu
Jemedari alikua na ujasiri uliopitiliza towards mataifa ya nje
That's how it was, technology ndogo pia ni tatizo kwa waafrika kuendelea mana viongozi wetu majasiri na wenye kujitoa kwa bara lao wanauwawa kizembe sn because of poor technology we have.I'm with you on, this. Something is not right. This man was assassinated.
Ilikuwa lazima awe hivyo kwa sababu yeye co mnafki na kamwe hakuogopa kuipoteza nafsi kwasababu ya kuokoa walio wengi, wapo wachache sana duniani watu wa aina hii. Ktk hali ya ubinadamu unaona km alikuwa anakosea but in reality ndvyo ilivyompasa afanye mana hakuwa mtu wa kawaida km mm au ww.Mbali na kugusana na watu
Jemedari alikua na ujasiri uliopitiliza towards mataifa ya nje
Most of my twitter associates are about to give in entirely.CCM isipojiangalia inaenda kufa kifo cha mende, labda mama aanze na ukauzu km alioanza nao JPM cz watamchukulia poa akiwa legelege.
Hiyo video ni ya Zanzibar maalim Seif sio Rais wetu MAGUFULIAisee poleni sana. Mwili wake ndio huo unasafirishwa.
Hamna tatizo. Nimeitoa. Bloggers wa Kenya ni washenzi sana. Wanapotosha watu kwenye mitandaoHiyo video ni ya Zanzibar maalim Seif sio Rais wetu MAGUFULI
Please please please please
Ulinishangaza sn bwn tony.Hamna tatizo. Nimeitoa. Bloggers wa Kenya ni washenzi sana. Wanapotosha watu kwenye mitandao
Mzee corona ingekua kwa kiwango mnachotangaza wakenya Tanzania wasingebaki watu hivi unajua kwenye public transport watu wanavyojazana asubuhi sana na jioni? Muheshimiwa siku zake zilifika hata mimi na wewe siku zetu zitafika punguza ujuaji ambao hauna evidence hata mojaView attachment 1728874
Hawa wote kwisha,,ogopeni corona,,vaa mask,,R.I.P wazee
Huyu Cyprian Nyakundi ni mjinga sana. Unajua huku Kenya huwezi kujua ni habari gani ya kuaminika na ni gani sio ya kuaminika. Halafu wengi wetu Wakenya hatujui mambo ya TZ sana so kudanganyika ni rahisi sana. Yaani hii era ya social media propaganda ni rahisi sana kusambaa. Huyo blogger huwa ni binadamu wa hovyo sana.Ulinishangaza sn bwn tony.
Magufuli amewafanya muijue Tz nje ndani kuliko cc tunavyoijua Kenya kwa ss naongopa Tony?Huyu Cyprian Nyakundi ni mjinga sana. Unajua huku Kenya huwezi kujua ni habari gani ya kuaminika na ni gani sio ya kuaminika. Halafu wengi wetu Wakenya hatujui mambo ya TZ sana so kudanganyika ni rahisi sana. Yaani hii era ya social media propaganda ni rahisi sana kusambaa. Huyo blogger huwa ni binadamu wa hovyo sana.
Ni ukweli kabisa. Huku karibu kila mtu anamzungumzia Magufuli huku Kenya. Huko Tanzania sidhani kama mnamzungumzia Kenyatta sana kama sisi tunavyomzungumzia Magufuli.Magufuli amewafanya muijue Tz nje ndani kuliko cc tunavyoijua Kenya kwa ss naongopa Tony?
Ndio Nigeria ina GDP kubwa lakini wako na wananchi wengi zaidi, Egypt ni 100m wakati Nigeria ni 200m hio mara mbili zaidi kuumanisha zile hela walizonazo Nigeria zinakua ni chache kutosheleza matumizi ya kila mtu ukilanganisha na Egypt ambao GDP yao ni zaidi ya nusu ya Nigeria.. Kuifikia hii Egypt ni story nyingine, yo dunia imekimbia sana acha sis tushindane GDP while Some other countries ar investing. Me naona GDP ni uongo tu wa mzungu,hiv tujiulize taifa kama Egypt linazidiwa kitu gani na Nigeria .? Nigeria ambayo kutengeneza Eco Atlanta pekee wameshindwa,kuna kitu hapa Cc ichoboy01 The best 007 Tony254 mnijuze tafadhali other wise Mimi kuanzia leo nadharau taifa lolote linaitwa tajir au Lina maendeleo kushinda lingine kwa fact ya GDP