My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,603
- 11,896
Hapana kushinda sio rahisi hivyo mkuu wanguDah mkuu umepambana nao sana hawa wachumia tumbo ila ndiyo hivyo tena naona kama wanaenda kushinda hii vita.
CCM isipojiangalia inaenda kufa kifo cha mende, labda mama aanze na ukauzu km alioanza nao JPM cz watamchukulia poa akiwa legelege.Huo mchakato CCM Mtandao ya mzee Jakaya inaenda kuuteka, mama labda achukue washauri manguli kweli kwenye eneo hilo afyeke ile mizizi kabla ya 2022
Aah wewe siunajua historia ya hawa viumbe wa ccm alichokua anafanya magufuli ni mawazo ya nyerere sasa je hawa wataendeleza au ndo walewale ya akina mwinyi na mkapaile iliyopo kwenye ilani itakamilishwa
Jirani zangu Wakenya hii tabia ya vyombo vya habari vya kwenu visipobadirika basi msahau ujirani mwema kamwe.Samia Suluhu set to become Tanzania's first female president
THURSDAY MARCH 18 2021
Tanzania's Vice President Samia Suluhu Hassan. PHOTO | THE CITIZEN | NATION MEDIA GROUP
ADVERTISEMENT
By AGGREY MUTAMBO
More by this Author
Tanzania could have its first female president in Vice President Samia Suluhu following the death of President John Magufuli on Wednesday.
Ms Suluhu is expected to be sworn within the next 24 hours.
According to the law, she will not be acting president, but will take over full powers as head of state and can appoint her own cabinet and even change some of Dr Magufuli's policies.
The Tanzanian Constitution Article 37(5) says when “the Office of the President becomes vacant by reason of death, resignation, loss of electoral qualifications or inability to perform his functions due to physical infirmity or failure to discharge the duties and functions of the Office of the President, then the Vice President shall be sworn in and become the President for the unexpired period of the term of five years and in accordance with conditions set in Article 40.”
After she is sworn in, Ms Suluhu will become the second female head of state in East Africa after Sylvie Kinigi of Burundi, and the third in the wider eastern Africa region after Ethiopia's Sahle-Work Zewde whose post is ceremonial. Ms Kinigi was the acting President in Burundi between October 1993 and February 1994, while Ms Zewde has been president since October 2018.
Ms Suluhu will also be the second Zanzibari after Ali Hassan Mwinyi to lead the United Republic.
According to the law, Ms Suluhu in consultation with her political party, will then propose a new vice president, "and such appointment shall be confirmed by the National Assembly by votes of not less than fifty percent of all the Members of Parliament."
Once Ms Suluhu takes over as president, she will be eligible to contest for one more five-year term as this will be deemed her first term.
In other instances, the Tanzanian law provides that a vice president can be allowed to contest for two terms if he/she replaces a President for less than three years of the five-year term.
Samia Suluhu set to become Tanzania's first female president
Ms Suluhu is expected to be sworn within the next 24 hours.www.theeastafrican.co.ke
MY TAKE
Majirani wameanza ramli za policies change! mind u Samia is a disciple of JPM!!
kuna mtu kaandika huko juu,kifo cha magu kinapilika kenga kuliko tanzania.Jirani zangu Wakenya hii tabia ya vyombo vya habari vya kwenu visipobadirika basi msahau ujirani mwema kamwe.
Ona hii article ya huyu mkenya mwenzenu anachagiza Mama Samia abadili policies za Magufuli, ni sawa lkn haiwahusu na kwanza a change ili iweje? Inaonekana policies za Magufuli zimegusa sn Kenya kuliko Tz? Huu upuuzi ndio unapelekea nisiamini mkenya kabisa cz wana kimbelembele cha husda mno.
Usiwaamini sn Wakenya, ni Wakenya wachache wastaarabu hata humu tunao ila ni wachache sana tena wengine unaweza kuona ni waongeaji wakubwa lkn ni wastaarabu but wengi wao ni wanafki sn, na hako kaugonjwa wameka rithi toka enzi na enzi yn unafki upo kwenye DNA.kuna mtu kaandika huko juu,kifo cha magu kinapilika kenga kuliko tanzania.
hakika mkuu.Usiwaamini sn Wakenya, ni Wakenya wachache wastaarabu hata humu tunao ila ni wachache sana tena wengine unaweza kuona ni waongeaji wakubwa lkn ni wastaarabu but wengi wao ni wanafki sn, na hako kaugonjwa wameka rithi toka enzi na enzi yn unafki upo kwenye DNA.
kinachoniuma bro sio magu kufariki,kinachoniuma na kunikosesha raha ni huyu mama yetu akijichanganya tumekwisha[emoji24][emoji24][emoji24].R.I.p chuma
Mama Samia akijiunga na genge la akina kikwete na wale waarabu wake,baaaasi tunarudi kuleeee
Mkuu unataka kutuambia nini sasa na hizi ramli zenu,
Huko wanapovaa barakoa hawafi? Huo ni mpango mkakati we jamaa ambao waliotumwa wameutimiza, km covid ni hatari hivyo mbn huku mtaani tuna dunda? Alafu one thing shud tell you something baada ya ziara fulani ya watu fulani kutoka bara fulani tukaanza kupata misiba mizito ya viongozi wetu na wengine almanusura na pengine bado hali zao co nzr, ss swali ni je corona ni selective disease? Na mbn baada ya ziara hyo viongozi hasa walio karibu wamefuatana kwa vifo?View attachment 1728874
Hawa wote kwisha,,ogopeni corona,,vaa mask,,R.I.P wazee
He said that we are in war,Huko wanapovaa barakoa hawafi? Huo ni mpango mkakati we jamaa ambao waliotumwa wameutimiza, km covid ni hatari hivyo mbn huku mtaani tuna dunda? Alafu one thing shud tell you something baada ya ziara fulani ya watu fulani kutoka bara fulani tukaanza kupata misiba mizito ya viongozi wetu na wengine almanusura na pengine bado hali zao co nzr, ss swali ni je corona ni selective disease? Na mbn baada ya ziara hyo viongozi hasa walio karibu wamefuatana kwa vifo?
Wake up African man don't play the foolish we are in a war.
Ndo Israeli alivokuambia alipotoa nafsi zao? 🙂View attachment 1728874
Hawa wote kwisha,,ogopeni corona,,vaa mask,,R.I.P wazee
I agree with youHuko wanapovaa barakoa hawafi? Huo ni mpango mkakati we jamaa ambao waliotumwa wameutimiza, km covid ni hatari hivyo mbn huku mtaani tuna dunda? Alafu one thing shud tell you something baada ya ziara fulani ya watu fulani kutoka bara fulani tukaanza kupata misiba mizito ya viongozi wetu na wengine almanusura na pengine bado hali zao co nzr, ss swali ni je corona ni selective disease? Na mbn baada ya ziara hyo viongozi hasa walio karibu wamefuatana kwa vifo?
Wake up African man don't play the foolish we are in a war.
Fwatilia hoja huko nyuma ilisha onyeshwaHuo mradi ulikufa kitambo . Na haupo kabisa . Sasa onesha wako hapo mlisha initiate. Tuone mmefikia wapi?
Safu ya CCM Magufuli aliisuka haswa, Bashiru ni Magufuli damu, Majaliwa ni Magufuli damu, Mangula ni Magufuli damu, Madaraka ni Magufuli damu, Mwinyi ni Magufuli damu, Pinda ni Magufuli damu, Polepole ni Magufuli damu, Samia ni MagufuliDah mkuu umepambana nao sana hawa wachumia tumbo ila ndiyo hivyo tena naona kama wanaenda kushinda hii vita.
All the president men? Really magufuli was assassinated in a mafia style. He was being isolated slowly, anyone with a keen eye can pick this up.i wish he saw this coming, unfortunately he fought dark forces, more stronger than than him.View attachment 1728874
Hawa wote kwisha,,ogopeni corona,,vaa mask,,R.I.P wazee
I'm with you on, this. Something is not right. This man was assassinated.Huko wanapovaa barakoa hawafi? Huo ni mpango mkakati we jamaa ambao waliotumwa wameutimiza, km covid ni hatari hivyo mbn huku mtaani tuna dunda? Alafu one thing shud tell you something baada ya ziara fulani ya watu fulani kutoka bara fulani tukaanza kupata misiba mizito ya viongozi wetu na wengine almanusura na pengine bado hali zao co nzr, ss swali ni je corona ni selective disease? Na mbn baada ya ziara hyo viongozi hasa walio karibu wamefuatana kwa vifo?
Wake up African man don't play the foolish we are in war.