Haya mambo yaacheni kufa ni lazima kwa kila kiumbe wamekufa watu mashuhuri juu ya dunia hii cha msingi ni kumuombea mema akapumzike sehemu salamaHata Shigella alimkatisha Samia kufanya ukaguzi wa upakiaji wa mafuta kwenye magari! Inakaa Mkulu alikuwa kashavuta!
👇👇👇👇Samia akiwa Tanga, ummy na Shigela walikua muda wote wameinamisha vichwa chini
Haya mambo yaacheni kufa ni lazima kwa kila kiumbe wamekufa watu mashuhuri juu ya dunia hii cha msingi ni kumuombea mema akapumzike sehemu salama
Ni kweli bro kifo ni kwa kila kiumbePole kwa msiba mkuu. Omboleza kwanza bro. Respect Magufuli, leo hakuna battle. Heshima kwa mzee wa Chato.[emoji120][emoji120][emoji120]
Pole sana bro! He was a true pan Africanist, ni juzi tu nilikua nikiwaza nakusema Mungu hawezi muacha Magufuli because he boldly glorified Him before the whole world, aliposema yeye ana mwamini Mungu kulinda Tanzania kutokana na janga la corona, hapa nilikubaliana na yeye, na kwa hili jambo bro, ata kama ameaga, Tz iko mahali poa. Ukimsifu Mungu hadharani, na yeye hatakuaibisha. Tz is safe, take it from me. The gentleman honoured God before the whole world, wengine wakamkejeli. Kwa hili mimi namkubali. Tanzania itaishi chini ya baraka za binguni.Nimepata Mshtuko sana bro yani usingizi umekara , simba wa africa ametutoka
Mimi nipo safarini am still in a hotel Room hata morali ya kufanya Field work imeisha😔😔😔siku inakua mbaya kwangu😔Moyo unaniuma mm jamaniiii, siwezi kulala kabisa wacha nikeshe tu nimeumia sana sana japo naamini kifo ni haki yetu sisi wanadamu lakini why Magufuli why??
Kweli Sana ahsante yosefPole kwa msiba mkuu. Omboleza kwanza bro. Respect Magufuli, leo hakuna battle. Heshima kwa mzee wa Chato.[emoji120][emoji120][emoji120]
🤝🤝🤝🤝 thanks broPole sana bro! He was a true pan Africanist, ni juzi tu nilikua nikiwaza nakusema Mungu hawezi muacha Magufuli because he boldly glorified Him before the whole world, aliposema yeye ana mwamini Mungu kulinda Tanzania kutokana na janga la corona, hapa nilikubaliana na yeye, na kwa hili jambo bro, ata kama ameaga, Tz iko mahali poa. Ukimsifu Mungu hadharani, na yeye hatakuaibisha. Tz is safe, take it from me. The gentleman honoured God before the whole world, wengine wakamkejeli. Kwa hili mimi namkubali. Tanzania itaishi chini ya baraka za binguni.
👏👏👏👏👏👏 ShukraanPole sana bro! He was a true pan Africanist, ni juzi tu nilikua nikiwaza nakusema Mungu hawezi muacha Magufuli because he boldly glorified Him before the whole world, aliposema yeye ana mwamini Mungu kulinda Tanzania kutokana na janga la corona, hapa nilikubaliana na yeye, na kwa hili jambo bro, ata kama ameaga, Tz iko mahali poa. Ukimsifu Mungu hadharani, na yeye hatakuaibisha. Tz is safe, take it from me. The gentleman honoured God before the whole world, wengine wakamkejeli. Kwa hili mimi namkubali. Tanzania itaishi chini ya baraka za binguni.
Kumbe na wewe unamuamini Mungu? Nilijua waliokua wakipinga himizo lake la kumtegemea Mungu ni atheistsPole sana bro! He was a true pan Africanist, ni juzi tu nilikua nikiwaza nakusema Mungu hawezi muacha Magufuli because he boldly glorified Him before the whole world, aliposema yeye ana mwamini Mungu kulinda Tanzania kutokana na janga la corona, hapa nilikubaliana na yeye, na kwa hili jambo bro, ata kama ameaga, Tz iko mahali poa. Ukimsifu Mungu hadharani, na yeye hatakuaibisha. Tz is safe, take it from me. The gentleman honoured God before the whole world, wengine wakamkejeli. Kwa hili mimi namkubali. Tanzania itaishi chini ya baraka za binguni.
Yeah, I do believe in God.Kumbe na wewe unamuamini Mungu? Nilijua waliokua wakipinga himizo lake la kumtegemea Mungu ni atheists
Sababu kwenye ugonjwa usio na dawa unaoua millions ya wazungu walioweka lock downs, masks, social distances, high level medical care lakini bado wanakufa, nani mwingine wa kumtegemea zaidi ya Mungu?
Makonda akae chonjo!
Very true, mzee wetu angepumzishwa tu mapema watu machungu yapungue.Kuzikwa lini?
Au ndio mpaka siku 14 ziishe?
Dah sometimes Naona Muslims wanafanya vizuri sana kuzika mtu mapema, huwa roho inaniuma kila second kwa mtu ninaempenda mpaka pale atakapozikwa ndio napata relief